Kamuulize mzee meko.Hivi kazungumzia nini humo kwenye hayo mahojiano ?
Hata magu kasoma bure lakini kalitia taifa hasara kubwa sana.Arudi Tanzania, sidhani kama mebeberu watamsaidia kitu.
Nyerere alimsomesha bure ona sasa anaitumia elimu vibaya.