Siku chache zilizopita mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM na makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan alinukuliwa ktk moja ya mikutano yake ya kampeni akisema..
Hata kama kura hazitatosha mwaka huu, wao (i.e CCM) wana uhakika wa kuunda serikali na kuendelea kutawala kwa miaka mingine...
Siasa zenye tija na manufaa kwa nchi yetu.
Vyama vyote vya siasa vyenye nia njema na watu wa Nchi hii ni muda muafaka kutembelea maeneo ya vijijini na vitongojini ili kujionea hali ya maendeleo, bado changamoto ni kubwa sana tena kwenye yale mambo ya msingi kabisa hasa Maji, Umeme, Afya, Elimu...
Huku siku zikiyoyoma kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, mgombea Urais anayependwa na wengi na ambaye anatarajiwa kushinda kiti hicho kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni za kuomba nafasi hiyo kubwa kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha.
Kama kawaida mimi mtumishi wako nitakuletea...
Habari wana jamvi!
Naam, baada ya waraka namba moja,nimewiwa tena kuandika waraka namba mbili. Lengo ni lile lie kuzisaka kura kwa udi na uvumba. Kwa maoni yangu mheshimiwa Rais mtarajiwa nakuomba siku zilizo baki kila siku usikose kuyazungumzia masuala mtambuka yafuatayo kwani yanawagusa...
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kusema kuwa ameshindwa kwa haki.
Amesema wakishinda lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikawapora ushindi wao, atawaingiza watu barabarani kuteteta ushindi wao.
Amesema CHADEMA...
Natoa ushauri kwa CHADEMA
Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe.
Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna mikoa takribani 7 au 8 hajaifikia.
Aidha kuna viraka vya majimbo ndani ya mikoa aliyokwisha itembelea...
Wote hamkumwelewa Samia,
Samia kasema kwamba hata tukimpigia kura Tundu Lissu CCM ndiyo watakaoendesha serikali. Bahati mbaya wengi wetu hawajaielewa hii kauli anamaanishanini. Wengi wanamtukana na yeye anafurahia matusi maana kuna kilichojificha ambacho hatukijadili.
Hali iko hivi. Samia...
Nimekuwa nikimsikia Tundu Lissu akilalamikia kanuni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020.
Kweli ana haki ya kulalamika maana inawezekana kabisa mawakala wasipewe fomu za matokeo na hivyo kukosa ushahidi wa matokeo. Nadhani mkurugenzi wa uchaguzi alisemee hili. Soma kanuni husika:
Kanuni za...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.
Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.
Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi...
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu.
Lissu amerudisha hamasa katika siasa za...
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora .
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
========
Wananchi wa...
Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu.
Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale...
Wakuu natanguliza salamu , pia nawaombeni radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu lukuki zinazohusu uchaguzi , muda uliobaki ni mfupi na hatuna namna zaidi ya kuvurumisha hewani taarifa za Mgombea huyu mwenye mvuto kuliko wote na ambaye ni tegemeo la wananchi .
Leo tena Mh Tundu Lissu anaendelea na...
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)
Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari...
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha...
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea...