tundu lissu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apata passport mpya, amshukuru Rais Samia, kurudi Nchini

    Tundu Lissu amepewa passport mpya na Serikali ya Tanzania baada ya ile ya awali kupotea kwa kuibwa kule Ujerumani. Lissu amekabidhiwa passport yake leo na balozi wetu. Lissu amesema Rais Samia anafanya kazi kubwa na nzuri sana hivyo Watanzania wote tumuunge mkono ili tujenge Tanzania mpya...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbowe katoka gerezani, Tundu Lissu yupo kimya, inashangaza! Ukimya unamaanisha nini? Kwanini Mbowe hajamtaja Lissu katika interview zake?

    Freeman Mbowe kwa sasa ni mtu huru kama ilivyo kwa jina lake, kesi yake ilifutwa na Mahakama Kuu, mmoja wa watu waliokuwa wakipiga kampeni ya kuhoji juu ya kesi aliyofunguliwa Mbowe na wenzake watatu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Lissu alifikia hatua ya kuomba kuonana na Rais...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tatu Bila za Tundu Lissu. Terms and condition

    Sote tunakumbuka Juzi juzi baada ya tundu Lisu kumaliza mazungumzo na Rais akiwa Ubelgiji Tundu Kama kawaida yake akili mingi mingi alimuwahi Mama na kuweka hadharani mada walizozungumzia. Kwa Mujibu wa Makamu mwenyekiti alidai kuwa Mh Rais alikubali kuwa atayashughulikia yale yote yanayoikwaza...
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Ameanza Tundu Lissu nchini Ubelgiji kisha impact yake ikawa Freeman Mbowe kufutiwa mashitaka na kisha straight Ikulu kuzungumza na Rais....

    This is absolutely strange indeed. Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka. Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the way kutoka Brussels - Belgium kuonana na kuzungumza na National CHADEMA Vice Chairpersnon, ndugu...
  5. 5

    JamiiForums Tanzania What a coincidence! Alianza Maalim Seif, Tundu Lissu na sasa Mbowe - hii maana yake nini?

    Hii maana yake hasa ni nini? Upinzani Tanzania umekwisha? Chadema walilaumu sana kwanini kipindi kile Maalim alimtafa Magufuli Ikulu na kumsema maalim seif amewasaliti Upinzani, Lakini sasa macho yangu yanashuhudia kile kile kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo - CHADEMA. Wananchi tupate picha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tundu Lissu kurejea nchini na atafanya mikutano nchi nzima, wanachama waombwa kuchangia chama!

    Mjumbe wa kamati kuu na Katibu wa BAWACHA mkoani Mwanza amesema wanamtarajia Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni na kwamba pamoja na kuendesha kikao cha Baraza kuu pia atafanya mikutano nchi nzima. Katibu huyo amewaomba wanachama wa CHADEMA kuchangia chama ili kukiwezesha kutekeleza...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Haya mambo mbona yanachanganya, ina maana Tundu Lissu anarejea Tanzania hivi karibuni?

    Hebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu. Mungu Ibariki Chadema.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Duni Haji: Wapinzani tusipoungana CCM itaendelea kutawala miaka 100 ijayo. Alichoongea Zitto ndicho Lissu alichoongea na Rais Samia

    Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema endapo Wapinzani hawataamka kutoka usingizini na kuungana basi CCM itaendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo. Mzee Duni amesema alichokiongea Zitto Kabwe pale Dodoma mbele ya Rais Samia ndio hicho hicho alichokiongea Tundu Lisu na...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

    Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake. Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA andaeni mapema mgombea wenu wa nafasi ya Rais wa JMT 2025 kwa sababu Tundu Lissu passport yake iliibwa. Msituletee mCCM kama 2015

    Ni ushauri tu kwa sababu CHADEMA wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu. Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga. Mimi napendekeza 2025 CHADEMA imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti yupo Mahabusu, Makamu Mwenyekiti anaugulia risasi 16, viongozi wakaunga juhudi mkono lakini bado chama kipo imara. MUNGU ana makusudi

    Chama cha CUF kimekufa bila mwenyekiti wala kiongozi wao kunyanyaswa waziwazi, walishughulika na matumbo ya viongoz chama kikafa. NCCR ilisambaratishwa bila viongozi kupitia magumu ya Chadema. ACT inajijenga kwa kujimomonyoa kwasababu Toka mwanzo ilianzishwa kupambana na Chama alichotoka...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kumuamimi Tundu Lissu? Kauli zake huwa zina mkanganyiko kila mara

    Mwaka 2020 Tundu Lissu baada ya kumaliza kupiga kura akiwa wilayani Ikungi mkoani Singida alisema kwa kinywa chake kuwa zoezi la uchaguzi limenda vizuri. Lakini baada ya matokeo kutoka Lissu alipaza sauti kuwa huu haukuwa uchaguzi bali wizi na uchafuzi. Na akaondoka nchini kwa escort akisaidiwa...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za Kisayansi kwanini Tundu Lissu alikuja Tanzania kugombea Urais mwaka 2020

    It was a part of his healing process. Alikuwa ana fanya therapy ya kuiponya nafsi Na akili yake Kwa trauma ya tukio la Septemba 7.(Eidha Kwa kujua au Kwa kutokujua) Kwa kutaja madudu yote ya serikali ya awamu ya Tano, kutamka hadharani Nani aliye toa amri ashambuliwe Kwa risasi, Lissu...
  14. chakii

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi. Kwa sasa wamepata taarifa kuwa gari iliyoonekana ni gari nyeupe aina ya Nissan. Naye mkuu wa mkoa wa Dodoma amesema polisi wameshaanza kufanya upelelezi kuhusu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na "Maslahi yangu kwanza"

    Na Mwal. Maziku, Singida Makamanda salaam! Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kitendo cha kiongozi wa CHADEMA Ndugu Lissu kutanguliza maombi binafsi kwa Rais ni usaliti mkubwa usio kubarika. Kwa hakika mtu huyu hakustahili kupewa majukumu ya umakamu Mwenyekiti kwani...
  16. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

    Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania. Pia Rais Samia amesema yeye na Tundu lissu ni mtu na dada yake hawana ugomvi wowote binafsi ukiacha tofauti za vyama tu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tundu Lissu ni mdogo wangu tu, mimi ni Rais na ni dada yake

    Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever). Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na ustawi wa mtu mmoja mmoja tumuungeni mkono Rais wetu kwani ni hakika anatupenda sana kama Taifa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kufuta kesi ya Mbowe sio kuingilia Uhuru wa Mahakama

    Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu anayeishi uhamishoni Ubelgiji ameeleza azma yake ya kurudi nchini Tanzania wakati wowote. Lissu alisema hayo katika mahojiano maalum na VOA baada ya kukutana na rais wa Tanzania Samia suluhu mjini Brussels Jumanne. Akizungumzia...
  19. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa habari picha tupeni mmegundua nini kwenye picha hizo?

    Hakika dunia ni mwalimu mzuri sana hapa ulimwenguni. Yule aliyejihisi amesimama kwa miguu yake kwenye mhimili mkuu leo hii yupo kwenye maficho. Wazee naomba mtupe utofauti wa hizo picha hapo chini.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tupate wapi tena Rais kama huyu?

    Tanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake? 1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake...
Back
Top Bottom