tundu lissu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

    Ujumbe wake ni huu:
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apongeza kufutwa kwa kesi, atamani kauli ya Serikali ya Rais Samia

    Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani. Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu aliyepongeza kufutw akwa kesi hizo kwa kusema ni JAMBO JEMA. Licha ya kwamba hakuna mahali ambapo Serikali...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

    Hii ni habari iliyoandikwa na gazeti la MWANANCHI la leo. Wakati ni habari iliyotarajiwa ifurike maoni mitandaoni kinyume chake ni kama vile haipo kabisa. Hata mimi humu nimei post mara ya kwanza ikafutwa na sijui kama hii mara ya pili haitafutwa. ======== Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: International pressure na internal mobilisation majibu ya Katiba Mpya Tanzania

    Katika madahalo wa Twitter Spaces wa Maria Sarungi, Tundu Lissu ameongea mambo mengi juu ya duru za siasa ya Tanzania na mistakabali wa chaguzi ya 2020 na nini kifanyike kabla ya 2025. Likaja swali, je ni kwa namna gani tutaweza kupata tume huru ya uchaguzi na kuwa na chaguzi huru kwa maneno...
  5. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

    Umoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe. ============ Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ikiingiliwa uhuru wake unapotea automatically. Tundu Lissu kusema Mbowe siyo gaidi haikuwa jukumu lake

    Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba. Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli. Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

    Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!. Je ameamua kufuata mkondo wa Swahiba wake Zitto Zuberi Kabwe aliyekaribia kumsajili ACT-Wazalendo kuwa tusitegemee kuona akikosoa Kama Awamu iliyopita. Nilimsikia kuwa alishawahi kupigiwa simu kwamba Mama...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Salim Mwalimu na Margit Hellwig-Boette, Wakutana Botswana

    Salaam Wakuu Balozi wa Ujerumani Nchini Botswana Margit Hellwig-Boette leo Nov. 08, 2021 akiteta na Makamu Mwenyekiti na Mgombea Urais wa 2020 Tundu Lissu na Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na Mgombea Mwenza wa Lissu wakati wa mkutano wa Kimataifa unaohusu Uchaguzi Afrika...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai sasa ni kama anafanya kazi zilizoachwa na Lissu na Mnyika Bungeni. Tumerudi kwenye Bunge la chama kimoja

    Baada ya mkutano wa Bunge kuanza juzi ambapo kimsingi ni kama vile ni Bunge la CCM watupu Spika Ndugai ameonekana akibeba jukumu la kuikosoa na kuipa ushauri mbadala Serikali kazi ambayo ilikuwa ikifanywa kwa weledi mkubwa na Tundu Lissu, J J Mnyika na Zitto Kabwe walipokuwa bungeni. Bunge la...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni pamoja na kuwa tayari kufa kwa ajili ya watu unaowaongoza. Nimeliona hili kwa Magufuli na Mbowe, siyo kwa Lissu na Lema

    Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja. Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

    Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what. Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm. Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia...
  12. JamiiForums Tanzania Ipo siku Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa Tanzania, ni suala la muda tu

    Sijui nitakua hai au nitakua nimekufa lakini nawaambia kuna siku lissu atakuja kuwa Rais wa JMT Huyu ndo atakuja kuliponya hili taifa dhidi ya matatizo yote tuliyopitia Mimi namuombea nguvu, uzima na afya tele tu najua ni suala la muda tu Ila Watanzania tuna matatizo makubwa aisee hivi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

    Hapo kakutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya. Hakuna kurudi nyuma katika mapambano ya kumdhibiti mkoloni mweusi.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusaidie kisheria imekaaje hii

    Zimenunuliwa ndege kwa mikataba ya kificho. Kuna na mikataba mingi tu imefanywa kwa kificho. Hoja ya msaada wako ni hii: 1. Kwa sheria za kimataifa (maana za ndani haiwezekani) Mtanzania ambaye ana maslahi na pesa zinazotumiwa katika kununua ndege hizo, hawezi kufungua kesi/mashitaka katika...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia inatekeleza miradi yenye thamani ya TZS 53bl mkoani Singida

    Anyampanda isomeni hii polepole kwa kutulia mtajua ni kwa kiasi gani Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan anawapenda watu wa Singinda, _________________________________________ SERIKALI imetoa Sh.Bilioni 52.975 mkoani Singida kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo...
  16. JamiiForums Tanzania DPP dismisses inflammatory charges against Tundu Lissu

    Criminal Case No.208 / 2016 against Tundu Lissu and three others in Kisutu Court, has been dismissed by the DPP in accordance with Section 91 (1) of the Criminal Procedure Code. All the suspects are free. In addition to Lissu, the other accused were Mawio Newspaper Editor, Simon Mkina, Jabir...
  17. JamiiForums Tanzania DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

    Criminal Case No.208/2016 iliyokuwa ikimkabili Tundu Lissu na wenzake watatu katika Mahakama ya Kisutu, imefutwa na DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai. Watuhumiwa wote wako huru. Mbali na Lissu washtakiwa wengine walikuwa ni Mhariri wa Gazeti la...
  18. JamiiForums Tanzania Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

    NOTE: å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea... å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ni vema wagombea wa vyama vyote wakajitangaza mapema ili tuwapime

    Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima. Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao. Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia. Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu...
  20. JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

    Baada ya Rais Samia leo kuweka bayana kuwa atajitosa kuwania urais mwaka 2025 ni dhahiri sasa mpambano wa kuwania kiti hicho utakuwa kati yake na makamu mwenyekiti wa Chadema aliyekimbilia Ubelgiji Tundu Lissu. Kuanzia sasa wananchi wataanza kuwachekecha kwenye chujio kali la nani anafaa zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…