tundu antipas lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanzoni nililaumu Lissu na Heche kuwa mikononi mwa dola, kwa kilichotokea Oktoba 29, hawa watu kwasasa wangekuwa marehemu

    Mungu anaweza kukunusuru kutoka kwenye janga fulani bila wewe kujua. Kwa tulichokiona kuanzia Oktoba 29, 2025, bila shaka Tundu Lissu na John Heche wangekuwa uraiani sasa hivi tusingekuwa nao. Ni dhahiri, serikali hii dhalimu ingewaua wakiwa makazini kwao, hata kama wasingeandamana. Kama...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu yaahirishwa hadi Novemba 3, 2025, shahidi wa nne wa Jamhuri ‘akwama mkoani’

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu imehairishwa leo, Ijumaa Oktoba 24.2025 hadi Novemba 03.2025 Kesi hiyo imehairishwa kufuatia ombi la Jamhuri lililowasilishwa Mahakamani hapo likieleza kuwa, leo...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ninadhani Lissu ni salama zaidi huko mahabusu kuliko huku uraiani

    Kwa yaliyotokea kwa Heche, Polepole, ukimya wa Gwajima, naona kabisa bora Lisu aendelee kukaa hukohuko mahabusu kuliko uraiani. Nchi inatisha kwa sasa, na Lisu ndiye mtu pekee anayetazamiwa na wengi kuwavusha kwenye nchi ya ahadi. Sasa tuangalie upande wa pili kama Lisu akarudi uraiani na...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania Lissu amkaba Shahidi wa Jamhuri Mahakamani, ahoji elimu yake ya 'Mafriji' kasomea wapi

    Kumsikiliza Lissu akiwasulubu mashahidi wa mchongo wa Jamhuri ni jambo la kufurahisha sana. Leo kamkaba shahidi wa pili kuhusu elimu yake ya kuunga unga kwenye kesi yake ya Ugaidi. Ni polisi, mtaalamu wa cyber ila kasomea kutengeneza mafriji.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Lissu amewaambia niko tayari kukaa Gerezani kuliko kuachiliwa na kuondoka ndani ya nchi yangu

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, akizungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu ambako inaendelea kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema amesikia kuwa wapo watu waliomfuata Lissu na kumwambia akubali kuachiliwa huru kwa sharti la kuondoka...
  6. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu ni mtu na nusu

    Huyu jamaa anawahangaisha sana CCM. Amekula chuma nusu kufa, Amepigwa kesi ya uhaini, Anaongea ukweli bila kupepesa macho. Haogopi kitu chochote na yupo tayari kwa lolote muda wowote, Kikwete amewahi kusema bora Slaa awe rais kuliko Lissu kukalia kiti cha ubunge. Huyu jamaa siku akihukumiwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Kesi ya Lissu kuahirishwa hadi Septemba 9, 2025, raia wameanza kuimba 'Rais!…Rais!…. Rais!'

    Kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho Septemba 9, 2025 baada ya kuomba muda zaidi kupitia nyaraka za committal proceedings. Lissu aliwasilisha hoja kuwa nyaraka alizopewa akiwa gerezani zinatofautiana na zile alizokabidhiwa leo na Mahakama Kuu...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo: Nikiwa Rais namwachia huru Tundu Lissu,Atengeneze katiba mpya

    Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo, ameahidi kumuachia huru mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, endapo atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo Septemba 4, 2025 katika mkutano wa kampeni...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

    Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia" === Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amemshambulia vikali aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Tunaendaje kwenye Uchaguzi wakati Mpinzani wa Kweli yuko Gerezani?

    Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Chadema achana na maigizo ya ccm, Lissu ukitoka jela nenda kahubiri injili ya ukombozi CCM washatepeta

    Hata msipoahiriki uchaguzi 2030 mtakuja mkiwa Moto ,,,nendeni mkahubiri injili ,,Lissu sina mashaka na uadilifu wake anaweza kuongoza chombo kwa uadilifu bila kutamani shekeli za watawala na hatimae kujenga uungwaji mkono utakaoleta kimbunga achana na akina Zitto nk. Wao Wana mission zao...
  12. X factor

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa kumpa moyo, faraja au kumtakia heri Tundu Antipas Lissu

    Ndugu Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na kuwekwa death row pale ukonga huku akikumbana na manyanyaso chungu nzima kutoka Kwa askari magereza...
  13. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwangwi wa Baragumu la NRNE bado unalitetemesha Taifa; ni sauti ya Mungu kwa watanzania, na Lissu ndio Nabii!

    Shikamooni Wajumbe! Mlimsikia Mke wenu mkubwa? Kaeni mkao kuyasikia ya Ukweni! Kama ambavyo kuna watanzania wenzetu hatunao sasa, waliotamani kuona reforms za uchaguzi zikifanyika, lakini hawakulishughudia hilo likitokea kwenye maisha yao; yawezekana pia hata kizazi hiki kisishughuhudie hilo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Anaandika Boniface Jacob: Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

    Hii hapa taarifa yake Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya. Ujumbe wao kwa pamoja ni.... 1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kama Mzee Philip Mangula alilishwa Sumu na WanaCCM wenzake, je kwa huyu shujaa Lissu inashindikana akiwa mikononi mwa watesi wake?

    Tafakari kwa lina! 👇
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

    Wana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu. Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika Ana historia yake maalum .. Ana mengi...
  17. FYATU

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa haya anayopitia Lissu, kama akibahatika kupata Urais hatolipiza kisasi?

    Au atafanya kama alivyofanya Nelson Mandela?. Kila nikifuatilia taarifa za kinachoendelea kwa Mwanasiasa huyu na yanayosemwasemwa kuhusu kaliba yake kwamba hupenda kuwashughulikia wanaoshughulikia basi mabaki wa kujiuliza, vipi kama?.
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Shujaa Mtanganyika Tundu Antipas Lissu

    Shujaa wa Tanganyika 👇
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili wa Lissu Jebra Kambole aweka wazi kuhusu ugumu wanaopitia mawakili kumuona Lissu gerezani

    Wakili wa Tundu Lissu Jebra Kambole kwa niaba ya mawakili wengine wanaomtetea amesema wamekuwa wakipta ugumu wa kuonana na kufanya mazungumzo ya faragha na kushauriiana na mteja wao pindi wanapokwenda kumtembelea Gereza la ukonga. Malamamiko hayo yalitolewa pia na Lissu kuwa hapati uhuru wa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Benson Kigaila: Nilizungumzia Kesi ya Mbowe kwa kuijua, ya Lissu sijui alivyokamatwa. Mimi kulaani haisaidii chochote

    Benson Kigaila, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwasasa ni Kada wa CHAUMMA ameeleza kuwa wakati "Nilizungumzia kesi ya Mbowe ya ugaidi kwa kuwa nilikuwa najua mwenendo wa kesi ulivyokuwa, hii ya Tundu Lissu sijui alivyokamatwa" Kupata matukio na...
Back
Top Bottom