tundu antipas lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Lema, Heche, Msigwa, mliwaandaa nani na nani? Bora Lissu ana Sarungi, Magoti na Mwabukusi

    Siasa za Bongo ni ngumu sana, Moja ya watu ambao Mh Mbowe aliwapenda sana ni Mh Lema hata kimpakia kwenye Elikopita kwenye ziara mbali mbali za kukijenga chama. Mh Mbowe kwa mapenzi yake alikuwa akimwanda Lema kwa kumjulisha mara kwa mara yakuwa amechoka anaitaji kupumzika lakini lakini Lema...
  2. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu asitetee nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti?

    Kwanini Mheshimiwa Lissu asipambane kutetea nafasi aliyonayo kwa sasa huku akizidi kukusanya uzoefu? Shida ni nini?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Lissu ni matendo, matamko na mwenendo wa anayofanya sasa, ni namna anavyotafuta hicho anachokihitaji na madhara yake kwa CHADEMA

    Ana haki ya kutafuta hivcho "cheo" , shida ni namna anavyokifuta hicho cheo/Uenyekiti bila kuangalia matokeo ya hicho anachokifanya kwa ustawi wa chama chake! 1. Amekipasua chama vipande 3.......Lisu, Mbowe na wa kujitoa Chadema na kuangalia mabo yao 2. Amwanufaisha CCM/washindani wao wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad Slaa anamchafua Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni

    Dr Wilbroad Slaa aliyeikimbia Chadema katikati ya mapambano ya kukamata dola mwaka 2015 na kutunukiwa ubalozi kwa sasa ndiye mpiga debe mkuu wa Tundu Lissu kutaka kukamata uongozi ndani ya chama hicho Dr Wilbroad Slaa aliyesema Tundu Lissu alipigwa risasi na wanachadema wenyewe huku Freeman...
  5. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Taarifa za ndani zinadai Mbowe anashinikiza Lissu akatwe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa

    Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake. John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yericko Nyerere: Lissu anakiuka Katiba, Miongozo na Maadili ya CHADEMA

    Akizungumza kupitia Clouds TV, Yericko Nyerere amesema: "Kwa mujibu wa muongozo wa CHADEMA toleo la 2012 mgombea Lissu si hilo la rushwa ambalo linatafsirika amevunja muongozo, yako mengi zaidi bahati nzuri kipindi kipo tutajaribu kupitia moja baada ya nyingine." "Kwa mujibu wa miongozo yetu...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasiasa Pekee wa CCM anayeweza kushindana na Tundu Lissu kwenye nafasi ya Urais ni Paul Makonda

    Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu. Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa. TUNDU LISSU ana Mvuto sana Kwa Gen-Z maana ndio kizazi chenye Elimu inayowatoa Ujinga, na KURA za mijini ambapo wasomi na wale wanaamini CCM imekaa sana madarakani inabidi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

    Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake! Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea. TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF...
  10. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ni akili kubwa sana, ghafla kamtoa Mbowe kwenye ulingo wa siasa za upinzani

    Kweli siasa ni sayansi, anachokifanya Lissu ni sayansi ya siasa, inahitaji akili zaidi kuliko nguvu, pesa au ujanja ujanja. Nani anaweza kuamini kuwa leo hii Mbowe tayari yuko nje wa mkondo wa siasa za upinzani? Yote hayo ni matokeo ya harakati za Tundu Lissu katika kuwania uenyekiti wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa chama chochote cha siasa

    Lissu anafiti kwenye taaluma aliyonayo ya sheria lakini hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa chama chochote cha siasa. Lissu ni mlopokaji, ana lugha mbovu ni mtu ambaye hana utulivu, busara ndiyo kakosa kabisa. Ni mtu ambaye anapenda machafuko katika nchi, ana amini maandamano ya wananchi ni NJIA...
  12. WOWOWO

    JamiiForums Tanzania Kwa Heche humuoni Tundu Lissu, tofauti ni kubwa. Siioni Chadema ya Lissu/Heche ikidumu

    Nimetenga muda sana kufuatilia hotuba ya John Heche akıtangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA. Nimemsikiliza kwa makini Tundu Antipas Lisu (TAL) na kisha Ezeckiel Dibojo Wenje kabla ya Heche kuna mambo kadhaa yanahitaji jicho na fikra tunduizi. Mosi, ukimsikiliza Heche, mbali na...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ikitokea bahati mbaya mtu kama Lissu na wafuasi wake wa Itikadi kali anakuwa Rais, tutarajie hali ya vyuma kukaza kama awamu ya Magufuli

    Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli. Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni Vyama vya siasa na in fact huyo Lisu anaweza kuwa Dikteta zaidi ya Mwendazake. Soma hapa Wenje: 2020...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Sina tabia ya kumshambulia kiongozi mwenzangu hata napokuwa siridhiki, Katiba kumbana Lissu

    Akijibu swali la Salim Kikeke Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amekiri kuwa mara kadhaa amekuwa akikaa na Makamu wake, Tundu Lissu na kujadili mambo yanayohusu Chama na baadae anakuja kuzisikia taarifa hizo zimetoka nje. Soma, Pia: Freeman Mbowe: Shutma za Lissu...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    "Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza. Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Apewe Lissu atapambana na CCM? Kwa njia ipi?

    Pekee ambae ameweza kupambana na CCM ni maalim Seif. Mpaka anaondoka ktk dunia Maalim amekuwa makamo wa Rais na kukiacha chama chake kikikuwa sehemu ya serekali. Hii imetokea baada ya maalim kukubalika Pemba 98% karibu uhai wake wote. Na kukubalika Unguja angalau 70%. Haikuwa kazi rahisi...
  18. jamal9090

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu akiri Chadema kupoteza maelfu ya Wanachama kwa mpigo

    𝐋𝐈𝐒𝐒𝐔 𝐀𝐊𝐈𝐑𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐎𝐓𝐄𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐄𝐋𝐅𝐔 𝐘𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐏𝐈𝐆𝐎. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameonesha mfadhaiko mkubwa, baada ya kukiri hadharani kuwa chama chake kimepoteza zaidi ya wanachama 50,000 kwa mpigo. Ushuhuda huo umetolewa na Lissu baada ya kuonekana kuna kundi kubwa la...
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu kupokea fedha za Abdul, kutoka kwa Lissu kuna ukweli kidogo na uongo mwingi

    TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tanzania Bara, alishusha tuhuma kuhusu mtu anayeitwa Abdul, mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda nyumbani kwake kumhonga. Alizungumza kwa mara ya kwanza Iringa Mei 2024 kwenye mkutano wa hadhara. Aliendelea kurejea maneno hayo katika mikutano...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Madeleka: Kama Lissu hafai, CHADEMA haifai kuaminiwa pia

    "Unaposema leo kuwa Lissu hafai, mtu mliyemuamini nyinyi (CHADEMA) wenyewe, kama Lissu hafai basi CHADEMA haifai. Kama Tundu Lissu wanamuona hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, CHADEMA haifai kuendelea kuaminiwa na Watanzania" Soma, Pia: • Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
Back
Top Bottom