Habari za jioni wakuu, kuna gari moja katika pita zangu nimekutana nayo, ni Subaru Forester SH9 (S-Edition). Engine yake ni turbocharged 2500cc.
Kwa wanaoifahamu gari hii, nilipenda nipate details kama vile drivability, maintenance (je, spare zinaingiliana na SH5 XT?), engine reliability...