tumia

Tumiã River is a river of Amazonas state in north-western Brazil.

View More On Wikipedia.org
  1. Planet Data bundles

    Je kuna raia wengine nje na watu wa africa mashariki wanao tumia JF??

    Naona kuna majukwaa ya zambia sijui zimbabwe kwene communities lakini sijawai ona comment au michango ya hoja ya hawa watu nje n tz n kenya?? Je kuna hap member nje na africa mashariki
  2. Barakha John

    Tumia Hizi Siri 7 Kukagua Simu Ili Usitapeliwe na Kuuziwa Feki / Grade Namba 2

    Tanzania kila inayo itwa leo watu hutapeliwa ,wengi hupotezea kwa sababu ya udogo wa pesa wanazo tapeliwa …. Fikiria kama ukitapeliwa laki 3,4 au MILLIONI. Ni pesa nyingi eeh…. Kama haupo makini unapo enda kununua simu au Laptop hasa kariakoo na wewe ni suala la muda tu kutapeliwa… Kwanini ...
  3. O

    Tumia mfumo ule ule uliojenga jambo hilo kwao kulipinga kama uko kinyume nao

    Mambo ya IMANI yapinge Kwa IMANI Mambo ya SAYANSI Kwa SAYANSI Falsafa Kwa falsafa. Kinyume na hapo hakuna kinachofanyavkazi unabaki na mtazamo wako na wao mtazamo wao. Ukipingana kwa falsafa au fact za kisayansi, Kwa WATU WA Imani, mara nyingi watu wa imani hawatakubali kwa sababu msingi wao...
  4. Mi mi

    Uzi wa nyimbo zilizo tumia AI

    Afichaye dhambi zake
  5. R

    Kitaalamu, chura aweza tumia macho ya tai?

    Salaam! Ikiwa msaidizi mwenye macho ya tai ameona umuhimu wa chura kupewa macho ya tai Ili kuona sawa sawa, Kitaalamu hili linawezekana? Karibuni 🙏
  6. FORBIDDEN HISTORY

    Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  7. A

    Tumia mbinu hii kupandisha mauzo ya Biashara Yako Mara Kumi zaidi ndani ya siku 30

    Je Ungependa kupandisha mauzo Ya Biashara Yako Ndani Ya Siku 30 Kama jibu lako Ni Ndio Naomba Uniazime Dakika zako Tano Nikuoneshe Jinsi Ya Kufanya Hivyo Twende pamoja Kwenye Ulimwengu Wa Mauzo Kuna Siri Inatumiwa Na kampuni Chache Sana Kupandisha Mauzo Ya Kampuni zao Kama Vile...
  8. Bullshit

    N haramu kumtakia heri ya xmas ndugu yako mkristo ila si haramu tumia iphone CEO Gay

    Ebu jaribu kunielezea ili nielewe.
  9. canular

    Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  10. Fbn

    Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  11. Eliucha

    M-Koba na M-wekeza?

    Je, kikundi cha M-Koba kinaweza tumia huduma ya M-wekeza? Na kama kinaweza, Je utaratibu ukoje?
  12. Hyrax

    Life Code: Ukitaka kuishi muda mrefu duniani tumia life style za kizamani

    Code 001.
  13. Clean Energies Group

    Usizime Moto wa Gesi, Mafuta au Umeme kwa Kutumia Maji badala yake Tumia Njia Hizi

    USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI! Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi! Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa! Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
  14. Zekoddo

    Naweza tumia E-office kwa kutumia simu..?

    Wakuu, naweza kutumia E-office kwa simu au ni mpaka kiwe na PC..? kwa wale wanaotumia Government mailing system..
  15. Y

    Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Habari zenu wanajamii. Penye wengi pana mengi, Naombeni mnisaidie mawazo au ushauri, nina degree (I graduated last year). Nimepambana kwenye ajira ila naona wakati wangu bado japo sija give up sichoki kuapply. Kwa hiyo nkaona its better kuendelea na Plan B, Sasa hapa kuna biashara nmeifanyia...
  16. Mganguzi

    GE2025 Samia Suluhu, tumia tu TV kunadi sera zako kuliko kutumia mabilioni kufanya kampeni. CCM haina mpinzani yeyote! Mpinzani yuko jela!

    Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
  17. Mwachiluwi

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
  18. CNO

    Tumia pesa kupata pesa

    ujanja ni pesa yako isitoke hivihivi, kama nimekosea mtaniambia
  19. stabilityman

    Kama unataka taa za nje ziwe zina jiwasha zenyewe giza likiingia tumia hiki kifaa haya wale wa smart house hii inakuhusu

    Kifaa kinachowasha taa pindi jua linapozama au giza kuingia kinajulikana kama Photocell Sensor au Light Sensor Switch. 🔹 Jinsi Kinavyofanya Kazi: ✅ Hugundua mwanga wa jua – Kifaa hiki kina sensor inayotambua kiwango cha mwanga wa mazingira. ✅ Huzima taa wakati wa mchana – Ikiwa kuna mwanga wa...
  20. youngkato

    Tumia hizi 48 Laws of power kwenye bishara yako part 2

    13. Ask for help based on mutual gain. Huwa tunasema, ukitaka msaada toa msaada kwanza. Mfano mwenzako anauza vitamba ila ni fundi cherehani, mwambie utakuwa unanunua vitambaa kwake na yeye wakija wateja awe anawaelekeza kushona kwako. Au kwa kuingia patnership ya kugawana wateja, Nakutangaza...
Back
Top Bottom