tume ya uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Idi Amin alipoanzisha Tume kuchunguza watu kupotea na kutekwa, ripoti haikuwahi kuwekwa hadharani!

    Wakuu, Mwaka 1974, Rais Idi Amin kupitia Tangazo la Kisheria Na. 2 la mwaka 1974 alianzisha Tume ya Uchunguzi kuhusu Watu Waliopotea nchini Uganda, ikiwa ni jitihada ya kuchunguza matukio ya watu kutoweka yaliyoripotiwa tangu alipochukua madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi mwaka 1971. Tume...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jebra: Mahakama imepanga kusikiliza kesi ya uteuzi wa Tume ya Jaji Chande kipindi ambacho muda wa Tume unakuwa umekwisha

    Wakili Jebra Kambole anasema: Mahakama imepanga kusikiliza kesi ya Kupinga Uteuzi wa tume tarehe 10/02/2026 baada ya muda wa Tume kuisha. Bila kujali maslahi mapana ya kesi na kuzingatia hati ya dharula, wakati wa likizo kuna Jaji huwa anabaki kwa kesi za dharula kama hizi. Baadae kikiwaka...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi: Puuzieni wanaoshawishi msitoe maoni, shirikianeni na tume

    Tume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume. Wito huo umetolewa Desemba 26 kupitia taarifa ya tume kwa umma iliyobainisha kuwepo kwa watu au makundi ya watu yanayotekeleza...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Enyi Tume ya uchunguzi, nendeni kwa Chacha Dereva aitwae na watawala AFISA msafirishaji, aliyevunjwa miguu na polisi ana mengi

    Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko? Kwanza niwambie siji. Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS. TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Message za tume ya uchunguzi wa mauwaji ya 29/10/2025 - 3/11/2025

    Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume. Sina tatizo na massages hizo. Shida yangu, ni,, je wako tayari kuupokea ukweli na watauandika ulivyo, watauwakilisha ulivyo na...
  6. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Mwasipu: Ombi la kufungua maombi ya msingi yamekubaliwa, maombi ya tume ya uchunguzi kusitisha shughuli zake yamekataliwa

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imewaruhusu waleta maombi kufungua kesi ya msingi, katika shauri namba 30210/2025 linalohusu kupinga uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuteua Tume Huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani nchini yaliyotokea Oktoba 29...
  7. Dam55

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa Kauli zilizotelewa leo na Rais Samia, Tume ya uchunguzi ya 29 Oktoba ivunjwe mara moja haina maana tena kuwepo

    Kwa matamshi yake ya leo ni dhahiri mambo yote yalio tokea 29 Oktoba yalikuwa na baraka zote kutoka kwa Rais na watendaji wake. Hivyo basi tume iliyoundwa kamwe haiwezi kuwa na majibu yenye kuleta furaha na matumaini kwa raia kwamba wahusika wa mauaji ya 29 October watakamatwa. Tume ivunjwe...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.” Ameeleza kuwa, kwa kuwa Kanisa Katoliki linamiliki hospitali...
  9. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi isiache kuhoji waliosimamia Uchaguzi. Waliosimamia wapo tayari kutoa ushirikiano

    Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watinga Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga Tume iliyoteuliwa na Samia kufanya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uhalifu wakati wa Uchaguzi’

    Mawakili wetu na wanaharakati hawajapoa. Wameenda Mahakama Kuu kupinga Tume iliyoteuliwa na Rais Samia kufanya Uchunguzi wa Matukio. Wananchi watatu wakiongozwa na dada Rose Mwakitwange na Mawakili wao wameamua kuingilia kati suala hili. =============== Kesi hii inapinga uamuzi wa Rais kuunda...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mchunguzi anayekuja kuchunguza Tanzania sio mashirika ya kimataifa wala nani bali ni ICC pekee. Huyu atachunguza mpaka tume ya uchunguzi

    Mchunguzi anayekuja kuchunguza Tanzania sio mashirika ya kimataifa wala nani bali ni ICC pekee huyu atachunguza mpaka hiyo tume ya uchunguzi ya Samia Huyu mchunguzi na yeye anakuja na satellite, mtasikia mengi zaidi akiianza kazi, huenda kuna makaburi mengi zaidi ya halaiki Huyu atachunguza...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Rais Samia: Sababu za mashaka na maswali mtambuka —Je, itavuka kiunzi au itakwaa kisiki?

    Baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, mjadala kuhusu mwenendo na matukio yaliyohusisha uvunjifu wa haki za binadamu umeendelea kushika kasi ndani na nje ya Tanzania. Malalamiko kutoka kwa wadau wa ndani, asasi za kiraia, pamoja na Jumuiya za Kimataifa yaliibua hitaji la uchunguzi...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 ni Tume ya Watanzania

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema uundwaji wa tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea siku na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ni hatua muhimu ya kitaifa, akisisitiza kuwa tume hiyo ni ya Watanzania na imeundwa kwa masilahi ya nchi, si kwa malengo ya kisiasa. Ametoa...
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuhusu kiongozi wa CHADEMA kudai atakinukisha suala lipo Mahakamani. Je, tume ya uchunguzi inachuguzaje suala hili?

    Tutakinukisha. Hii kauli ndio msingi wa kesi ya uhaini inayomhusu Lissu. Mahakama ni chombo huru. Tume itapoingilia suala hili na kuanza kuchunguza ni kuingilia kesi iliyopo mahakamani. Kama ndio hivyo Lissu aachiwe huru alafu Tume ichunguze alivyokinukisha. My take, mpaka sasa hivi Lissu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya itamke, pale ambapo senti ya serikali imetumika kwenye Tume ya Uchunguzi, ripoti lazima iwekwe wazi

    Ya Mzee Kibao ilisemaje? Huyu Jaji Othman ashaandika ripoti ngapi kwa mfano? Ziko wapi? Au huyo Balozi Ombeni Sefue, mshamsikia kwenye matume mangapi ? Ziko wapi ripoti alizoshiriki? Kwa nn huwa hawadai ripoti zao zifanyiwe kazi kama ambavyo Jaji Warioba anaishi akihubiri rasimu ya Katiba...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Lema na Sugu wamepongeza tume ya uchunguzi

    LEMA, SUGU WAMPONGEZA DKT. SAMIA KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA UVUNJIFU WA AMANI Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamempongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Malisa: Hakuna Mtu au Taasisi inayoweza kuhonga mamilioni ya vijana nchi nzima. Kama ilifanyika Vyombo vya Ulinzi ni DHAIFU

    Anandika Godlisten Malisa... "Mimi binafsi siamini kama vijana walihongwa. Hakuna mtu wala taasisi inayoweza kuhonga mamilioni ya vijana nchi nzima. "Na kama ilifanyika hivyo basi vyombo vya ulinzi ni dhaifu. Kama yupo mtu anaweza kuhonga vijana nchi nzima na vyombo vya ulinzi visijue mpaka...
  19. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

    MOSI,Mahakama ya kimataifa ya uhalifu, almaarufu kama The International Criminal Court (ICC) imeanzishwa na MKATABA WA ROMA (THE ROME STATUTE), na huwa inafanya kazi chini ya kanuni iitwayo The Complementarity Principle. Kanuni hii (The Complentarity Principle) imetajwa kwenye aya ya kumi ya...
  20. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais hawezi kujiundia tume ya uchunguzi wakati yeye na chama chake ndiyo chanzo cha yote

    Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
Back
Top Bottom