tume ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa kifupi jinsi kura zinavyoibiwa kupitia daftari la mpiga kura. Unajua kwanini vyama vinapigania daftari la mpiga kura kuliko Tume ya Uchaguzi?

    Kimsingi zoezi la uandikishaji wa wapiga kura linapaswa kufanywa na kusimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi pekee na sio watendaji wa serkali za mitaa ambao wanawajibika moja kwa moja kwa watawala wa serkali. Jinsi kura zinvyoibwa kupitia daftari la mpiga kura: Unakuta kituo X waliojiandikisha...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Dodoma: Tume ya Uchaguzi yawanoa Maafisa wa Polisi kuelekea uchaguzi

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi (INEC), Kailima Ramadhani amesema wameamua kulijengea uwezo Jeshi la Polisi ili waweze kutambua matakwa ya Sheria za uchaguzi na kuepusha kuyumbishwa na Wanasiasa. Kailima aliyasema hayo katika mafunzo kuhusu sheria za uchaguzi yaliyotolewa na Tume hiyo...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uboreshwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura wakamilika rasmi mkoani Dodoma na Singida

    Siku ya jana Tume Huru Ya Uchaguzi ilikamilisha uboreshaji wa Daftari lake la kudumu lkatika mikoa ya Dodoma na Singida, ambapo uboreshaji katika maeneo hayo ulianza tarehe 25 Septemba 2024 na kumalizika rasmi tarehe 01 Oktoba 2024. Zoezi hilo lilianza rasmi mwezi Julai katika mikoa ya Kigoma...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura

    Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ungepata nafasi ya kuuliza swali kwenye tume ya uchaguzi ungeuliza swali gani?

    Ungepata nafasi ya kuuliza swali kwenye tume ya uchaguzi ungeuliz swali gani? Huenda wengi tuko na maswali ambayo tungehitaji kuyauliz kwenye tume ya uchguzi ila hatujui tunayauliza wapi. Basi ni vyema tutumie uzi huu kuyauliza hyo maswali, mimi nawaomba Mods wayakusanyanye wawape tume ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume yaviasa vyama vya siasa kutoingilia mchakato wa uboreshwaji wa daftari

    Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25, 2024 mkoani Mara. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Wawakilishi...
  7. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mtu asiye kawaida anayeweza kuiamini hii tume ya uchaguzi isiyo huru

    Wasalaam. Ndugu zangu wadanganyika hakika sisi ni wadanganyika na tumekua tukidanganyika tangu kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa mwaka 1992. Hapo nyuma kulikua na chombo cha kusimamia uchaguzi kilichoitwa tume ya uchaguzi Tanzania ambapo viongozi wake wote walichaguliwa na mwenyekiti WA CCM...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, January na Nape ndio Tume ya Uchaguzi?

    Januari na Nape kuondolewa sio faraja kabisa kuelekea Uchaguzi, Hivyo tutafakari ya mwaka 2015 walio yafanya tunaweza kujiuliza ni kweli wameondolewa au watanzania wamefanyiwa kiini macho, Hao vijana ni hatari sana mfumo unaweza kuwa unahadaa umma sio rahisi kihivyo kabisa katikati ya nyakati...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Hivi tume ya uchaguzi kwanini mnafanya haya?!

    Tume ya uchaguzi kumekuwa na ubabaishaji mwingi kwani yanayoendelea mengi ubabaishaji kuanzia upande wa vyakula mpaka malipo. Tukianza na upande wachakula kuna malalamiko mengi waseminishwaji wamenyeshwa chai na viazi mbatata na na kuna baadhi ya wilaya na makande. Sasa sijui kiutaratibu...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi ya Namibia (ECN) yaeleza wasiwasi kuhusu idadi ndogo ya watu wanaojiandikisha kupiga kura Novemba 27, 2024

    Tume ya Uchaguzi ya Namibia (ECN) imeeleza wasiwasi wake kuhusu idadi ndogo ya watu wanaojiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi ujao ikiwa zimebaki wiki mbili tu. Hayo yamesemwa na afisa mkuu wa uchaguzi wa ECN Peter Shaama katika mkutano na waandishi wa habari. Bwana Shaama amesema...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Tabora na Katavi kuwa na ushirikiano kati yao, Serikali, Vyama vya Siasa na wadau wengine wa uchaguzi. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa)...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi huingilia kati kuisadia CCM kama alivyofanya huyu refarii

    Tume ya Taifa ya uchaguzi (sina hakika kama ni HURU) mara zote tangu uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa kama ni sehemu ya wawezeshaji muhimu kwa CCM kushinda uchaguzi. Watu wanaoheshimika wenye hadhi ya ujaji, hufanya mambo ya hovyo yanayowaaibisha ili mradi tu CCM ishinde uchaguzi. Kuzuia utoaji...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mtaenda kwenye uchaguzi Tena ili mje kulalamikia Tume?

    1. Nitashangaa kama CHADEMA watashiriki tena uchaguzi ili waje kulalamikia tena Tume na Wasimamizi wa uchaguzi (Wakurugenzi wa Halmashauri). 2. Hivi hamna strategy ya kufanya mchakato wa Katiba Mpya uendelee ili uchaguzi uwe huru? Chama cha upinzani mmepoa kama SACCOS. Pia soma: Je, CHADEMA...
  14. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  15. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Punguza Gharama za Uchaguzi, Ongeza Ushiriki: Uchaguzi wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu

    Tanzania tuitakayo ni nchi inayoongoza katika demokrasia na utawala bora barani Afrika. Ni nchi ambayo kila raia ana sauti katika kuchagua viongozi wake na kuamua mustakabali wa taifa lake. Ili kufikia Tanzania hii tuitakayo, tunahitaji kuboresha mfumo wetu wa uchaguzi kwa kutumia teknolojia ya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana, Kama uchaguzi sio tume, basi wapinzani wapewe nafasi ya kuunda tume ya uchaguzi

    Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko. Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi. Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaccm anapokiri Uchaguzi wa TAMISEMI 2019 na Uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa wa Mabavu atuambie pia Bila Mabavu CCM ingeshindaje!

    Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi. Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015 watujuze CCM ilipaswa kutumia mbinu gani 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu wa...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inapokea Maombi ya Wafanyakazi wa Kuboresha Daftari la Wapiga Kura Mtandaoni

    Habari, Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti hii si rasmi. Ukweli wake upoje?
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ajira Tume ya uchaguzi iangalie wanaosota mitaani badala ya kuajiri Walimu

    Inasikitisha wakati kuna vijana wanahangaika mjini kutafuta ajira bila mafanikio ni dhahiri kwamba baada ya tangazo la tume ya uchaguzi kutangaza nafasi za kazi kwaajili ya uchaguzi mkuu wengi waliojitokeza kuomba ni waajiriwa tayari. Wengi wao ni walimu na watendaji wa mitaa SERIKALI...
  20. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Kifuatacho ni kubadilishiwa tu jina la Katiba

    Salaam, wazee wenzangu, Kwa akili ya Serkali na wanasiasa wa CCM ninaowaona kwa sasa na namna wanavyotuchukulia watanzania, tukiendelea kukomalia katiba mpya basi watatubadilishia tu jina na kuiita "KATIBA MPYA YA JAMHURI YA KUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2024" Na kwa wingi wa Watanzania...
Back
Top Bottom