tumbaku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Malipo ya Wakulima wa Tumbaku Kigoma yanatakiwa kutoka ndani ya wiki 2, tunaenda mwezi wa 3 hatujalipwa

    Mimi ni Mkulima wa Tumbaku katika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tangu tumemaliza mnada ni miezi miwili sasa imepita tunaelekea wa tatu lakini hadi leo wamekuwa wakisogeza mbele tarehe za malipo. Mkataba unasema malipo yafanyike ndani ya wiki mbili baada ya mnada, naomba ufikishe ujumbe huu...
  2. W

    GE2025 Bashe amlisha kiapo Mwaifunga jukwaani, amuahidi kiwanda cha tumbaku Tabora

    Mgombea Ubunge Jimbo la Nzega mjini na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Septemba 19,2025 akiwa katika mkutano wa Kampeni kata ya Gongoni Jimbo la Tabora mjini amemlisha kiapo cha kuwatumikia Wananchi Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini Hawa Mwaifunga mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano...
  3. Roving Journalist

    DC Tanganyika aagiza Wakulima wa Tumbaku walipwe haraka iwezekanavyo fedha zao

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, Onesmo Buswelu ameuta uongozi wa Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati kulipa haraka malipo yaliyocheleweshwa ya Wakulima wa zao hilo. Buswelu amesema kuwa leo Jumatano Mwezi August, 2025, jua linapochwea Wakuliwa wawe...
  4. Roving Journalist

    Zaituni Tembo: Kweli hatujawalipa Wakulima wa Tumbaku, kwa sasa tuna Bima ya Mkopo kutoka Benki ya NMB

    Meneja wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Zaituni Tembo amekiri kuwa hawajafanya malipo kwa Wakulima wa zao la Tumbaku ambao walijitokeza na kulalamikia chama hicho kuhusu kutowalipa kisha wakatuma ujumbe kwa Waziri wa Kilimo kuwa aliagiza walipwe lakini...
  5. Roving Journalist

    KERO Responded Wakulima wa tumbaku Mpanda Kati walalamikia makato ya 3% na kutolipwa fedha zao

    Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kutoa maagizo kwamba kabla ya siku kuu ya Nanenane Wakulima wote...
  6. J

    Uzalishaji wa Tumbaku umeongezeka mara mbili kwa kipindi cha miaka minne

    Akiongea na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora anasema Serikali ya Awamu ya Sita imetoa TZS 52.8 bilioni kwa ruzuku ya mbolea, mbegu na miradi ya umwagiliaji ili kuongeza tija na usalama wa chakula. Skimu za umwagiliaji nazo zimeongezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 46 mwaka 2025 na eneo...
  7. S

    VIBALI VYA BIASHARA YA TUMBAKU TANZANIA, na upatikanaji wake.

    habari ndugu zangu. naomba kujua vibali vinavyohitajika hapa Tanzania ili kuniwezesha kufanya biashara ya TUmbaku ndani na nje ya Tanzania. ( kununua na kuuza nje ya Tanzania)
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani Asema Tumbaku Bora Huanzia Shambani

    MBUNGE CHEREHANI ASEMA TUMBAKU BORA HUANZIA SHAMBANI Wakulima wa zao la Tumbaku hapa Nchini wameaswa kuzingatia kanuni bora za kilimo cha zao hilo ili kuzalisha kwa tija na kupata soko la uhakika kutokana na kuendelea kuimarika kwa bei katika masoko. Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani: Ondoeni Tozo ya Mionzi kwa Wanunuzi wa Tumbaku

    MBUNGE CHEREHANI: ONDOENI TOZO YA MIONZI KWA WANUNUZI WA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Kilimo kuondoa tozo ya mionzi kwa nunuzi wa zao la Tumbaku, kwani inawaumiza sana wanunuzi ambayo inasababisha wakulima kupunguziwa bei ya kuuza zao hilo. Pia...
  10. ipyax

    Nahitaji magunia ya kuwekea tumbaku

    Waheshimiwa nakuja kwenu kwa heshima na taadhima siku ya leo, nahitaji magunia ya kuwekea tumbaku (Heysian bags). Hapo Tanzania naweza nikaipata wapi kwa bei nzuri?
  11. Mbepo yamba

    Hussein Bashe ataacha lini kuwahadaa watanzania kwa ruzuku ya tumbaku?

    Wana bodies, Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku . Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo na bei ingeshuka kwa kiwango cha kuridhisha Hata hivyo ulipofika wakati wa kulipa mikopo ya pembejeo...
  12. Torra Siabba

    DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  13. Pfizer

    Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  14. Miss Zomboko

    Mei 31: Siku ya Kimataifa ya kuzuia Matumizi ya Tumbaku

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Matumizi ya Tumbaku huadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Mei. Siku hii ina lengo la kuongeza uelewa kuhusu madhara ya kiafya, kijamii, na kiuchumi yanayosababishwa na matumizi ya tumbaku.
  15. M

    SoC04 Athari za kiafya na kiuchumi zitokanazo na bidhaa zitakanazo na zao la tumbaku ni nyingi kuliko faida za uzalishaji; tunahitaji sera mpya kwenye hili

    Zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo kwa kiasi kikubwa iliaminika kwa miaka mingi kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Hili sio jambo la kufichika kutokana na ukweli kuwa maeneo mengi ambayo watu huzalisha tumbaku, wengi wameamini kuwa ukuaji wao kiuchumi...
  16. robinson crusoe

    Nani mmiliki wa kiwanda kipya cha Tumbaku ndani ya eneo la wazi Morogoro?

    Tulianza na shopping mall Dodoma, sasa tena ni kiwanda cha Tumbaku. Yasemekama wahusika ni wale wale! Ukiingia mjini Morogoro, umbali kidogo kutoka mzunguko wa Msamvu kuelekea Iringa, unakutana na daraja la reli na pembeni yake unakuta shughuli za ujenzi wa kiwanda kipya cha Tumbaku. Eneo hili...
  17. Hamza Nsiha

    Nini mbadala wa Nishati ya kuni katika kilimo cha tumbaku?

    Habari ndugu wana JamiiForums, nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusiana na jitihada za sekta yetu ya Nishati katika kuibua njia mbalimbali ambazo zimekuwa na tija katika utunzaji wa mazingira kama vile Makaa ya mawe, Gesi asilia n.k. Njia hizi zimeleta mapinduzi katika kuinua Tanzania ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani Aishauri Serikali - Punguzeni Kodi Zinazowabana Wanunuzi wa Tumbaku

    MBUNGE CHEREHANI AISHAURI SERIKALI IPUNGUZE KODI ZINAZOWABANA WANUNUZI WA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kuendelea kupunguza kodi zinazowabana wanunuzi wa tumbaku nchini ili wakulima wa zao hilo waendelee kupata faida kubwa. Mheshimiwa Cherehani...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aloyce Andrew Kwezi Aishauri Wizara ya Kilimo Kujenga Kiwanda cha Kuchakata Tumbaku Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
  20. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iondoe Makato ya Miti Kilimo cha Tumbaku

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo na kujibiwa na Naibu Waziri Kilimo Mhe. Anthony Mavunde. "Wakulima wa...
Back
Top Bottom