tukutane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wenye tatizo la usikuvu hafifu kama langu tukutane hapa kupeana faraja

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 kwa sasa naishi iringa mjini, nimeondoka dar february baada ya kula sana msoto nikaamua ngoja niende sehemu ambayo hakuna anaenijua nipate utulivu wa akili, hapa iringa nimepewa hifadhi ya kulala tu na ndugu. Twende kwenye main topic sasa, nina tatizo la...
  2. Maana halisi ya "If you do me, I do you", tukutane Mahakamani

    Unyama mwingi mwaisa.
  3. Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
  4. Wale wapenzi wa Reggae tukutane hapa! Taja ngoma yako unayoikubali

    Binafsi namkubali sana Gregory Isaacs na lile kundi la UB40
  5. Wale backbenchers darasani tukutane hapa!

    Habari za wakati! Natumai muwazima wa afya backbenchers wenzangu, kwakweli life mtaani limekuwa gumu mnoo imefikia hatua hata mtu akikusalimia unahisi ndio mchawi wako. Vipi mabackbenchers wenzangu mmetoboa kimaisha? Maana nilikuwa mkorofi darasani sisikilizi walimu, mtoro mimi sasa najuta huku...
  6. B

    Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir

    Kelele zimepigwa sana. Kwa hakika zimesikika. Katokea Msigwa eti kutaka utulivu huku tozo zikiendelea. Kelele za kudai haki nazo zimeendelea kusikika huku zikiangukia kwenye masikio yaliyoziba. Ni nani aliye mgeni wa vilio hivi? Ni Samia, Majaliwa, Juma au Tulia? Tuende wapi kumbe? "Mtaji wa...
  7. Ambao hatujahesabiwa na hatutahesabiwa tukutane hapa

    Jamani mjiandae kuhesabiwa. Mimi bado sijahesabiwa na sitahesabiwa. Niko tayari kuhesabiwa endapo serikali itaweka wazi mfumo wake wa kuajiri B.O.T na TISS. Kwenye issue za ajira muhimu wanabandika matangazo ya kazi ofisini kwao tu ila kwenye sensa na uchaguzi mpaka wahadzabe wanafikiwa.
  8. Kero nilizokumbana nazo kwenye nyumba za kupanga

    Habari wanaJF, Ama kweli ule usemi wa ukichoka kero za nyumba za kupanga jenga yako bado inaniumiza mpka leo kwa vitabia flani ivi vya kiswahili huku kwetu changanyikeni ambazo sizielewi. Kwanza hapa naamini kuna watakaosoma hii article ni wapangaji wenzetu wenye tabia hizi. (1)Utakuta wadada...
  9. Wenye Tatizo la Shinikizo la Damu (High & Low Blood Pressure) Tukutane hapa

    Habari wanajanvi, napenda kutumia fursa hii kuwasalimu, Moja kwa Moja niende kwenye Mada nimefungua uzi huu ili tupeane uzoefu wale ambao tunapbana na tatizo hili. Mimi ni muhanga wa tatizo hili shinikizo la juu la damu - Hypertension kwa zaidi ya mwaka sasa. Tatizo langu lilianza hivi, siku...
  10. Wanao nunua spare za magari tukutane hapa

    Mzigo Mpya Umeingia Shock dust Cover za Ist ZImeingia jaman bei ya Jumla ni kama Bure .. karibuni dukani tunawauzia kwa bei ya jumla kuanzia Pc 4 tupo kariakoo mtaa wa Swahili na Udowe Kwa Mawasiliano nipigie au nicheck whats app +255 766 999 775
  11. Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

    Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa. Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak... Je...
  12. Waajiriwa wapya tunaosubiria barua ya ajira ili kuripoti Julai 1, 2022 tukutane hapa

    Wale wote waliofaulu usaili ambao wanatarajia kuajiriwa kuanzia tarehe 1.7.2022 na Bado hawajapatiwa barua Za kuripoti kazini tarehe hiyo kufuatia tangazo na maagizo ya serikali kupitia kwa Waziri JENESTER Mhagama tukutane hapa.
  13. Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

    Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka. Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka. Changamoto na faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwanini...
  14. Wale wenye GPA kuanzia 2.1 mpaka 3.4 tukutane hapa tuyajenge hapa

    Huu uzi ni kwaajili ya wale ambao GPA zetu zipo chini ya 3.5 Naomba tupeane mrejesho kama hizi GPA zetu zimetuathiri chochote mtaani? Mimi binafsi GPA yangu ni 3.1 net, tangia nimeingia kitaa sijawahi kukosa kazi kwa kigezo cha GPA. Na kazini nafanya kazi na wenye GPA zao za 4.3 na tunapata...
  15. Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

    Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄). Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na 1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano) 2.Kuongea na watu...
  16. Ambao tumeachwa kwenye kupanda madaraja japo tulistahili tukutane hapa

    Serikali iliahidi kupandisha madaraja watumishi ambao walipanda madaraja kuishia 2017 kurudi nyuma, na kwamba katika mshahara wa mwezi Mei 2022 wote wliostahili wangebadilishiwa mshahara. Mimi ni miongoni mwa ambao hawakubadilishiwa. Tatizo ni nini? Kuna kauli ya serikali juu ya ambao...
  17. K

    GROUP O - TUKUTANE

    Hili ni group adhimu kuliko magroup yote ya damu, hata leo ukienda hospital wakakupima una hili group lazima wakutafuta? Kipi special kwenye hili group na nini tufanye kuisaidia nchi hasa palepanapotekea uhitaji wa damu lakini ni ngumu kuipata, Tujadiliane
  18. Fundi Maiko Tukutane hapa!!

    Dah! Aisee Acheni jamani Yanatukuta mengi Hamjui tu,Utundu wa kujifanya Fundi umeme kila switch nyumbani naweka mwenyewe kuna siku Nikavamia ile Inaitwa Junction Box kwa Jirani...Acheni Jamani Kumbe Tangu siku Ile Sishangai kuona samaki Anazama Baharini.
  19. Ambao huwa tunasubiri majibu mpaka wapenzi wetu wanaoa au kuolewa na watu wengine, tukutane hapa

    Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama? Eneo linaloongoza kwa vitimbi na kashkash nyingi katika maisha ya mwanadamu ni suala la mahusiano. Sasa leo nataka tujuzane yule mtu...
  20. Tusiopenda kusoma makala ndefu na tunapenda kujifunza na kufahamu zaidi tukutane hapa

    Habari hizi ni za kutoka kwenye mtandao wa kijamii FAHAMU ZAIDI.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…