tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tukio limefanya nitafute mwenza

    N
  2. JamiiForums Tanzania Tukio gani mtoto wako aliwahi kukufanyia ukashindwa hata kumpiga?

    Watoto wana vituko sana mda mwingine unaweza piga uue mfano huyu wangu aliondoka na rimoti mpaka shuleni tafuta limot tafuta haionekani kaja toka shule kakuta watu wanatafuta rimot ndio anasema nilibeba mimi hii hapa nikamwangalia huna jinsi unamuacha Nyingine Nikiwa mtoto kuna siku niligoma...
  3. JamiiForums Tanzania Nimekutana na tukio limeniathiri kiakili kabisa

    Wakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu . NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini huku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje nilistuka sana infacts sijawahi shuhudia live binadamu akiwa katika Hali iyo Nika imagine maumivu...
  4. JamiiForums Tanzania Kama hili tukio ni la kweli basi iko siku na mimi litanitukia!

    Sijui ni madini gani hayo, lakini naamini yatakuwa ya thamani sana. "Kesho" nikikutana nayo shambani kwangu sitayaacha. 1. Ni madini gani hayo? 2. Hiyo video ni halisi au ni ya kutengenezwa? 3. Tanzania kuna madini kama hayo?
  5. JamiiForums Tanzania Akienda Rais Samia ndiyo atabadili nini labda kwa tukio lililotokea?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili Kariakoo muda huu kwa ajili ya kujionea hali halisi ya zoezi zima la uokoaji ambao unaendelea na kuzungumza na wananchi wa Kariakoo. Chanzo: manaratv Angerejea kutoka Ziarani Brazil Siku ile ile ya Tukio...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi viongozi wakuu wa dini kwenye tukio lakuanguka kwa jengo la Kariakoo? Unaridhika na response yao?

    Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai. Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

    Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance Sasa najiuliza Kariakoo...
  8. JamiiForums Tanzania Tukio gani limekukuta la kusahau kitu ulichokuwa unataka kufanya na unakijua hadi ukajicheka mwenyewe baada ya kumbukumbu kurejea

    Katika maisha kuna muda akili zetu zinasahau vitu vidogo vidogo tunavyovijua ila baada ya dakika chache kumbukumbu hurudi. Kuna stori moja nilishawahi kuisoma humu JF mtu mmoja alienda msituni kutafuta kuni na shoka lake begani lakini alipofika kule alilala kwa dakika 15, alipoamka alianza...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM akielezea tukio la Vijana waliodaiwa kupigwa risasi na Askari Zanzibar

    Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Nungwi, Ali Adibu Mbwana Pia Polisi walisema gari lilikuwa halina Plate Number, mzigo huu hapa Pia soma: ~ Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji ~ Jeshi la Polisi kuunda...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Polisi Kilimanjaro wadaiwa kushikilia simu za tajiri tukio la kumwagiwa tindikali kada wa CCM Idrisa Makishe

    Jiehi la plisi mkoani Kilimanjaro,linashilikia simu za kiganjani za mfanyabiashara maarufu mjini moshi(jia tunalo)akihusishwa na tukio la kumwagiwa kimiminika kinachoaminika kuwa ni tindikali kada wa ccm,Idrisa Makishe. Makishe(38)mkazi wa Bomambuzi Manispaa ya Moshi,yupo kitandani akipambania...
  11. JamiiForums Tanzania Kuelekea Derby ya Kariakoo kesho, tabiri tukio gani la kisiasa litajitokeza

    Kama mnavyojua, Simba na Yanga ndio mtaji wa wanasiasa wa Tanzania. Hebu tabiri unahisi tukio gani la kisiasa lazma litajitokeza uwanjani?
  12. JamiiForums Tanzania Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini

    Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa. Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Linasubiriwa tukio lolote litokee nchini Iran ili liunganishwe na shambulizi la Israel

    Niaje waungwana, Waungwana najua wengi humu mnashauku kubwa sana ya kutaka kujua ni kwanini Israel mpaka leo tar 10/10 haijaishambulia Iran, licha ya kusema na kuapa kuwa itaishambulia na kuiangamiza Iran from day one ya shambulizi lile la pili la Iran nchini Israel ambalo lililenga shabaha...
  14. JamiiForums Tanzania TBC mnampaje mtangazaji kama huyu kazi ya kutangaza tukio la ngazi ya kitaifa?

    UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza? Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Salam Kutoka Marekani: Waafrika wakaandaa tukio la kutuunganisha

    Basi ndugu zangu, tulikuwa na tukio la kutukutanisha watu wa Afrika kwa hapa nilipo. Tukakutana kupata muziki wa kiafirka na vyakula vya kiafrika. Tumekula Fufuu, Jolof, wali nk. Tukasikiliza mziki mzuri wa kiafrika takriban kutoka kila eneo. Mzee wenu kwenye kumwaga miuno niko vizuri...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaokemea Kuuawa Kikatili kabisa kwa Mzee Kibao ni watu wa CCM na UVCCM na ukiwatizama Usoni huoni Uhalisia wa Wao Kuumizwa na Tukio husika?

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya uchunguzi juu ya kukithiri kwa vitendo vya utekaji na mauaji vinavyochafua taswira ya Taifa. Chanzo...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa tukio la kuuliwa Ali Kibao nawatetea polisi.Ni kundi lenye nia mbaya na nchi

    Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma. Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika. Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala. Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na...
  18. JamiiForums Tanzania Muliro: Aelezea tukio la mhalifu kujeruhiwa kwa risasi maeneo ya Tanganyika Packers

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Askari wa Jeshi hilo wamemjeruhi Mtu mmoja kwa risasi katika eneo la Tanganyika Packers wakati alipokuwa eneo hilo na mwenzake wakiwapora na kuwatishia Maisha Watu waliokuwa wakipita eneo hilo kwa kutumia mapanga.
  19. JamiiForums Tanzania Tukio gani ulilishuhudia mgahawani/hotelini likakutia kinyaa?

    Enzi huzo nipo chuo, mida ya asubuhi nimeenda mgahawani kupata supu then niingie zangu pindi. Basi bwana, nikafika nikaagiza supu nikawa nasubiriwa niletewe. Sasa kuna vile vitambaa vya kufutia meza vile, mmoja wa wahudumu alifuta meza kisha akaondoka nacho akelekea nacho kwenye sufuria la...
  20. JamiiForums Tanzania Makundi haya hayajatoa tamko lolote la kulaani na kukemea tukio la binti aliyebakwa na kuingiliwa kinyume na maumbile

    Kwanza nitoe pongezi kwa chombo cha habari cha Wasafi media kipindi kinachoendeshwa na Zembwela, Maulid kitenge (mshambuliaji) na Gerald Hando, kwa kweli kila nikifungulia redio kwenye hiki kipindi na kutana na wazee wa minyama wakikumbusha na kulitaka jeshi la polisi lijitokeze hadharani kuwapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…