Koloko
JF-Expert Member
- Jul 6, 2026
- 256
- 473
Habari zenu wakubwa
Nimetoka zangu job nimechk narudi home kupumzisha fuvu ili kuwaza kesho mambo yanaendaje
Nimepitia dukan kuchkua baadh ya vitu,kunadogo wakati me nafika dukani nilikuta anapimiwa unga muuzaji alipo maliza akampatia unga then akawa anani hudumia mimi sasa vitu vyangu
Kitendo cha sekunde kadhaa tu,naskia kilio yule dogo kaanguka na ule unga barabarani alivyokuwa ana vuka
Akaamk na kuanza kulia nikamfata nikarudi nae dukani nikamchukulia unga mwengine
Ila
Nikawa nawza licha tu yakuwa makni Next time ila hii kitu atokuja kuisahau mpka kesho