tuhuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama Tuhuma hizi kuhusu Pesa alizopewa Yanga Zina ukweli, Gerson Msigwa Jiuzulu Mara Moja ni Aibu

    Kuna hizi pesa zinatajwa kutolewa eti kwa Jina la Goli la mama, na Yanga wamekabidhiwa milioni 60 wakati ukalali wao ni milioni 20. Jee kwa vile muhusika na mpanga mipango ya fedha hizo ni wewe huu sio WIZI? Ni aibu kwa mtu ambaye pia ni msemaji mkuu wa Serikali kuwa mwizi au kushiriki wizi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa tuhuma za kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni - Arusha

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema wanamtafuta mtu mmoja anayedaiwa kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kufuatia picha mjongeo inayoonekana katika mitandao ya kijamii ikimuonesha...
  3. JamiiForums Tanzania Watu 6 wakamatwa kwa kutuhumiwa kumuua Askari Arusha. Walimshambulia wakidhani ni mwizi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msanii wa Tanzania Matonya Afikishwa Mahakamani Mombasa kwa Tuhuma za Unyanyasaji wa Kijinsia

    Msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania, Matonya, amekamatwa na kufikishwa mahakamani mjini Mombasa akituhumiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia, katika kesi iliyozua mjadala mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki. Matonya, ambaye jina lake halisi ni Sefu Shabani Ramadhan, alifikishwa mbele...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba mjue kuwa report ya CAG siyo final lazima tume iundwe ili kuthibitisha tuhuma ndo maana huwa inajibiwa na ndiyo Haki

    Nashangaa kuona Kuna upinzani washaanza kutoa mapovu it means licha ya kukaa bungeni akina heche hawajui utaratibu wa kufanyia KAZI report ya CAG...shame on you. Huwezi ukamshtaki mtu bila kumpa nafasi ya kujitetea, Hiyo ndo demokrasia lazima tume iwahoji wahusika/serikali itoe ufafanuzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt Ayub Rioba akana tuhuma za yeye kuwa chawa

    Kwa wale walioamua kuendelea kunitukana na kusema mimi 'chawa' na kwamba sasa ninarudi kushika jembe au kusota, nina ujumbe wenu pia! Nilizaliwa ktk familia ya mwalimu wa shule ya msingi. Niliishi maisha ya Mtanzania wa kawaida kabisa. Wali au sukari vilikuwa vitu adimu. Mnavipata tu siku za...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu idara ya kudhibiti ugaidi aliyejiuzulu majuzi anachunguzwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri

    25min ago FBI investigating if top counterterrrorism official who resigned leaked classified info By AP FILE - Joe Kent, then-director of the US National Counterterrorism Center, speaks during a congressional debate at KATU studios, October 7, 2024, in Portland, Oregon. (AP Photo/Jenny Kane...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia amzawadia Gari Mama Kanumba

    Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model. Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
  9. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Temeke: Tumeamfikisha Askofu Mahakamani kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ardhi

    Katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke imefanikisha kumfikisha mahakamani Askofu Renatus Joseph Nyalali, Askofu kutoka kanisa la Hosanna Assemblies of God Tanzania (HAOGT), kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kutoa nyaraka za...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwauliza Matajiri wakubwa kuhusiana na tuhuma za kutokuhudhuria nyumba za Ibada walinijibu kama ifuatavyo

    Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi Siku moja nikachomeka swala la Ibada Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tuhuma za Mganga Mkuu Serengeti, asimamishwe na kuchunguzwa

    kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma ambazo zinathibitika za mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya ya serengeti nashangaa mamlaka zake mkoa ,Tamisemi na wizara zikikaa kimya pasipo kutusaidia watumishi. Ofisi imegeuka sehemu ya madili na kosa aonekane mtu anaenda kinyume ni anapewa uhamisho...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa afya matatani tuhuma za rushwa, Shinyanga

    Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na ukiukwaji wa maadili ya kazi. Hatua hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja akamatwa na polisi, kwa tuhuma ya kumbaka mbuzi hadi kumsababishia kifo

    Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo. Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana...
  14. JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Rungwe, Award Karonga akamatwa tuhuma za uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, ambaye ni kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za uchochezi na makosa mengine ya kijinai. Award Karonga, ambaye ni mkazi wa Katumba, anashikilia nyadhifa za Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

    Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbeya: Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua kijana mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mawazo Msangawale, Miaka 24, Mkazi wa Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma ya mauaji ya kijana wa miaka 18 aitwaye Juveni Baraka Mwambugi aliyekuwa Mkazi wa Isoko Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya. Kamanda wa Polisi Awali, Januari 9, 2026 saa 2...
  17. JamiiForums Tanzania Responded Chuo Kikuu Huria (OUT): Tunachunguza tuhuma za Wahitimu wetu wa Mahafali ya 44 kudaiwa kufoji matokeo ya mitihani

    Muda mfupi baada ya kusambaa kwa andiko la Mdau akielezea tuhuma zinazohusu Chuo Kikuu Huria (OUT) kwamba kuna baadhi ya Wahitimu wamefoji matokeo na vyeti, ufafanuzi umetolewa na chuo hicho. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa - Zaidi ya Wahitimu 300 wa Mahafali ya 44 ya Open University (OUT)...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mathias (25) afikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara limesema kuwa, jana Desemba 30,2025 lilimfikisha Mahakamani Mathias Fabian John (25) kwa tuhuma za mauaji ya Samli Napone (42) aliyekuwa fundi ujenzi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linapenda kuujulisha umma kuwa tarehe 30.12.2025 lilimfikisha mahakamani mtuhumiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

    Anaandika Liberatus Mwang'ombe Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote UPDATE Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House amethibitisha kutekwa kwake. Ameeleza zaidi kuwa polisi wamekiri kumkamata. Tukio la kukamatwa kwake limejiri...
  20. JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Tume ya Jaji Chande kutaka kumsaidia Hangaya dhidi ya mauaji ya Mo29

    KUTOKA kwa Hilda Newton Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox. Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua wataenda kumkaanga ICC ili awamalize kabla kesi haijaanza. Kwanza si Idd Amin Mama keshawambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…