Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
Wakuu habari za nyie...
Mara nyingi nimekuwa nikiskia watu wanaambizana,. "Ukijiajiri unakuwa na mda mwingi wa kupumzika Kwasabu Kila kitu unajiamulia mwenyewe ufanye au usifanye".. kiuhalisia naona kama hii kauli haina ukweli,. Ila tuachane nayo tu kwanza tujikite kwenye mada
Tukiachana...
Kuna jamaa hapa kijiweni kasema kama ulikuwa hauna unafuu kabla ya 2015, umebakia hivyo hivyo had hii sasa yan unaishi kwa mishe to mishe zisizoeleweka
Hellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.
Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao...
Kwanza nakupa pongezi kwa moyo wako wa huruma kwa hatua ulizochukua za kumsafirisha Katibu Mwenezi wa BAWACHA Sigrada Mligo kwenda kupata matibabu ya kibingwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma.
Itakumbukwa Sigrada Mligo alipigwa na mlinzi binafsi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John...
Je ushawahi kutapeliwa, Kuibiwa au kudhurumiwa tuambie ulifanikiwa kulejesha, Hatua zipi ulizochokuwa au Ukasamehe.
Binafsi nilishawahi kuibiwa Piki Piki kipindi nipo Chuo kikuu, Nilimpa kijana mwezangu kwa Siku Lejesho elfu 7 akaleta kama miezi miwili badae akasema ameibiwa ,hakuwa na jelaha...
Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume kataa ndoa wanaongezeka na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu.
Wewe huyo bebi wako uliyenaye 2025 ulimchagua kwa kigezo gani?
Nini kilikuvutia, na je bado yuko vile vile au amebadilika?
Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari
Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje...
Suala la Mpina halipuuziki. Sema nasi tusikie. Mbunge Luhaga J. Mpina alidai bungeni kuwa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge kuhusu sakata la uingizwaji wa sukari nchini. Alidai, pamoja na mambo mangine kuwa Bashe alisema uongo zaidi ya mara kumi.
Kwa mujibu wa Mpina, Waziri...
Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha.
Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
• Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.