Kwanza nakupa pongezi kwa moyo wako wa huruma kwa hatua ulizochukua za kumsafirisha Katibu Mwenezi wa BAWACHA Sigrada Mligo kwenda kupata matibabu ya kibingwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma.
Itakumbukwa Sigrada Mligo alipigwa na mlinzi binafsi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche katika mkutano wa ndani hapo Makambako na kupelekea kupoteza fahamu. Sigrada Mligo alilazwa katika hospitali ya Ilembula mkoani Njombe.
Sasa tungependa kufahamu je hali yake inaendeleaje? Kwa mara ya mwisho ulionekana ukimtakia hali hapo hospitalini.