Unatumiaje JamiiForums kujiingizia maokoto?

Mimi huwa natangazaga biashara yangu ya matairi na mabetri ya magari nashukuru Mungu kuna baadhi ya memba wananiungishaga
 
Mm nawaombaga hela wakuu kama nawadai vile!

20240202_220736.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mm nawaombaga hela wakuu kama nawadai vile!

20240202_220736.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom