Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi.
Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi wananchi, ni watumishi wetu wananchi.
Tatu mnatumia social networks zenu kutoa taarifa kwa umma kuhusu...
DAR ES SALAAM: IN efforts to strengthen Tanzania’s communications infrastructure and expand access to reliable internet services across the country, the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL) has officially launched a new high-speed internet service dubbed “Faiba Supersonic Experience...
Haya mashirika inatakiwa yaendeshwe na mtu mwenye taaluma hata ya Utawala upande wa IT na sio mwana siasa. Sasa TTCL kwanini nyie kila Jpili mnazima Internet mpaka Jtatu mchana ?
Hii huduma raia na walipa kodi wanalipia hamkupaswa kuzima au kupangia mtu atumieje maana ni pesa zake mwenyewe...
Mlikuja vizuri, mkatufungia router ndani, mkachukua details zetu na mkatutumia control number tukalipia 55,000.
Cha kusikitisha tangu tulipie mwaka jana mwezi wa 8 hadi leo huduma haijawahi kupatikana. Tukiuliza tunajibiwa kuwa Power hakuna kwani wateja wamejaa.
Tafadhali sana turudishieni pesa...
TTCL ni moja ya taasisi muhimu sana katika historia ya mawasiliano Tanzania. Ilikuwa uti wa mgongo wa mawasiliano ya taifa kwa miaka mingi. Hata hivyo, leo hii TTCL inaonekana kufeli au kuendelea kufanya underperform licha ya kuwa na rasilimali, miundombinu na nafasi ya kipekee kama shirika la...
Kumekuwa na changamoto ya ajira kwenye kampuni ya TTCL kwa zaidi ya miaka 3 sasa. Watu wanafanya sana kazi za internship bila kuajiriwa. Pia mikataba yao siyo mizuri; kwa zaidi ya miaka sasa intern wanalipwa tu posho, lakini hawana ajira za kudumu. Pia hawana bima wala NSSF.
Watu wanaambiwa...
Hivi ninyi TTCL hii ndiyo nyumbani kumenoga?
Yaani huduma za kifedha kwenu ni chamgamoto kubwa sana tena sana.
Yaani mnashindwa kuunganisha na mitandao mingine.
Pesa zikiingia kwenye namba ya TTCL ni lazima uende kwa wakala na mbaya zaidi mawakala wenu kupatikana ni mtihani mkubwa
Hata...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa na tabia ya kuwataka wateja kulipia gharama (Rushwa) za miundombinu ikiwemo nguzo ili waweze kupata...
Tanzania stands on the cusp of a digital revolution, with a strategic vision to become a major player in the regional and global digital economy. At the core of this transformation lies the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL), our nation's foundational telecommunications company. To...
Kwakweli kwenye sekta ya Teknolojia hasa huduma za kifedha hizi kampuni zinatia hasira sana.
Jana nimefanya muamala kwa T-Pesa (TTCL) kwenda HaloPesa (Halotel) haukukamilika, nikawapigia simu huduma kwa wateja, masaa 24 yamepita muamala haujakamilika na pesa haijarudi kwenye akaunti.
Leo...
Wakuu aliyemuelewa Waziri atueleweshe na sisi anasema kuwa;
"Mfano Shirika la TTCL ambayo chini ya wizara yangu. Ingekuwa mashirika haya yanapata hasara kwa aina hiyo ambayo ni hasara ya kawaida ambayo tunaijua kwenye biashara zetu ndogo ndogo maana yake yangesimama, yangekufa. Lakini...
Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya...
Kutokana na report ya CAG Shirika la TTCL chini ya waziri Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano limeongeza hasara kutoka Sh 4.32billioni mwaka 2022 hadi 27.7billioni mwaka 2023 licha ya serikali kufanya uwekezaji mkubwa.
Kazi ya kwanza ya waziri Nape alipochukua wizara ilikuwa ni kufukuza...
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi, ametoa siku 14 kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL) kuhakikisha linaongeza nguvu ya mtandao wa mawasiliano ya simu na internet, katika kituo cha pamoja cha Forodha cha Kasumulu, kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na...
Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL.
Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji.
Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma.
Ili linawakumba sana...
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450.
Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
Direct to point
Kutokana na changamoto ya mashirika ya umma kusua sua kutoa huduma kwa wananchi na kuwepo kwa ufanisi mdogo wa mashirika haya. Lakini mbali ya hapo haya mashirika yameendelea kula ruzukunza seikali miongo na miongo bila ya kuzaa matunda mfano posta, ttcl, tanesco, tazara, air...
Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida.
Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua nishati ambayo haitoshi kuundesha,licha ya kuepo kwa nguzo za umeme karibu.
Ni zaidi ya kero...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.