Motor Trend is an American automobile magazine. It first appeared in September 1949, and is notable for introducing the first Car of the Year designation, also in 1949. Petersen Publishing Company in Los Angeles published Motor Trend until 1998, when it was sold to British publisher EMAP, who then sold the former Petersen magazines to Primedia in 2001. It bears the tagline "The Magazine for a Motoring World". Petersen Publishing As of 2019, it is published by Motor Trend Group. It has a monthly circulation of over one million readers.
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
BREAKING NEWS: X Influencers React to Hilda Baci’s NLP Testimony Ahead of March 13 Conference at Tafawa Balewa Square
LAGOS — Social media platform X (formerly Twitter) erupted in debate this week following a viral testimonial video by Nigerian entrepreneur and Guinness World Record holder...
Social media platforms were set abuzz on Tuesday as loved-up video clips of Senior Pastor of The Masters Place International Church, Pastor Korede Komaiya, and his wife, Dr Esther Komaiya, went viral, sparking widespread reactions and heated debates across relationship circles.
In the...
EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?
Utangulizi
Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi, hasa mtandaoni. Wauzaji wa kemikali za ujenzi, wakandarasi, mafundi pamoja na wamiliki wa majengo...
Huyu aliyepanga maandamano siku ya uchaguzi nimpe maua yake
Sasahivi kwenye Kampeini za uchaguzi wazungumzaji wote wanazungumzia maandamano tu.
Madaraja makubwa kama Tazara,Kuta za majengo ya serikali yameanza kuchorwa SAMIA MUST GO. Hii kwangu sio good sign.
Leo hii Samia ni wakuwaambia...
Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
Maria Sarungi
NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️
Pole zako kaka Humphrey
Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana!
Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa...
Bado haijaisha mpaka iishe kabisa tulikuwa tunatekana wenyewe sasa tumeingia kimataifa zaidi.
We've written to @_AfricanUnion, @achpr_cadhp, @jumuiya, @SADC_News with a copy to international partners demanding immediate action and accountability from @SuluhuSamia on missing activist @AAgather...
Kufuatia sekeseke la machafuko na mgogoro wa kisiasa mara baada ya uchaguzi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa majadiliano/makubaliano ya kurejesha amani nchini Kenya.
Inasemekana Mh. Martha Karua aliingia kwenye malumbano personal na Mzee Annan na BWM mpaka ikafikia hatua ya...
Yaani naona wanaume wanapukutika tu. Yaani ukiacha ajali na vifo vya uzazi, wanaume wanakufa sana.
Ukizingatia tu idadi ya viongozi wetu wakuu wote waliofariki wake zao wapo
Karume, Nyerere,mwinyi, mkapa Lowasa Membe, Magufuli nk
Kuna tatizo gani niwaombe mabingwq waje na research ili tujue...
Mwaka jana kuna mtu kaenda kujifungua hospitali binafsi sitaitaja jina ila gharama zinawezafika hadi million 20 kuna mda unajiuliza tunaelekea wapi mbona wamepewa uhuru mkubwa sana
Kumbuka hata marekani walianza hivi hivi sahivi ni kilio kwenye gharama za afya maelezo mengine yapo kwenye video
Sasa hivi vijana mmeamua kujiajiri kwenye kilimo na mna post miradi yenu, sasa mabinti nao wameishangiamo humo kuhakikisha hakuna pesa yoyote ya mwanaume itakayoachwq kuliwa regardless ni sekta ipi🤣
Vijana kazi mnayo.
Kuna wakati warembo wetu hawakutaka kusikia kitu kinaitwa soka ila soka la bongo lilipo fanyia investment na promotion ya nguvu basi dada zetu hao wakatia kambi🤣 ili wawe na show off na gears za ki-soka
Kuna wakati mwanamke mnene na makalio alionekana kama kama mzigo fulani hivi akawa...
Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara.
Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa?
Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili.
Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi?
Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
Zamani kidogo kama miaka 15 nyuma ukisikia msiba mara nyingi unakuta ni mtu pamoja na kuwa mzee wa walau zaidi ya miaka 65 ila utakuta hata ukimuangalia utaambiwa kabisa bwana huyu alikuwa mgonjwa wa ugonjwa ABCDE na hata ukimuangalia marehemu unakuta kweli kachokaa, yaani magonjwa yamempiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.