trafiki

  1. Chuki yangu na trafiki imegoma kuondoka

    Huwa najitahidi sana kuwa Positive na kuwachukulia hawa watu kama wafanyakazi wengine wenye wajibu wao kisheria, lakini hawa watu wamejiweka kwenye zone yao ya ULAFI, KUKOSA UTU, TAMAA NA UPUMBAVU. Imagine hawa watu wako pale kujipatia elfu 5 na elfu 2 za watu bila huruma, hawanaga utamaduni wa...
  2. R

    Angalia Rushwa (rushwatozo) ya trafiki toka Tanga mpaka Lushoto kabla ya Kinana kuingilia kati

    Nimehojiana na dereva alivyokuwa anatoa rushwa kwa trafiki na kumshukuru Kinana kupunguza trafiki barabarani. Unatoka Tanga kwenda Lushoto. Unatoa rushwa as follows 1. Ukitoka Tanga stend ya zamani kabla ya kufika Kange stend unatoa 2,000 2. Kange stend kabla ya kuanza safari ya L:ushotondoka...
  3. Trafiki pigeni marufuku hizi taa na angalieni honi

    Kaitka miaka hii michache nyuma maendeleo ya teknolojia yamepelekea kutengenezwa taa za vimuli vimuli kwenye magari ambazo nionavyo mimi ni hatari kwa maisha yetu. Nazungumzia zile taa za kuashiria kupinda au kusimama kwa vyombo vya moto. Taa hizi sasa zimekuwa zikitumika ovyo kiasi kwamba...
  4. DOKEZO Hawa Trafiki wanakera sana, njaa zitawaua

    Hakuna kitu kinakera kama kila saa na kila siku unakamatwa na traffic hata kama huna kosa watakutafutia visababu. Hawa jamaa ni watu wa hovyo sana, ndo maana huishia kufa masikini, kinachowatesa ni njaa zao, wivu na roho mbaya dhidi ya wenye magari, kwani kuna mtu aliwatuma wafanye kazi za...
  5. R

    Toa tozo nzuri au nikuandikie makosa yote maana kesho ya Kinana sijui kama nitakuwepo hapa barabarani - Trafiki

    Yamenikumba leo, nikatafakari nifanyeje maana gari ina makosa (ingawa si mengi) na nilimuunga mkono Comred Kinana kwa kero hizi za trafiki! Kilichofuatia ngoja nikiweke sirini. Nchi ya tozo, Tonzonia, sasa trafiki nao wana tozo zao, mwendo mdundo. johnthebaptist
  6. Ongezeko la ajali barabarani linahusiana na kauli ya kuondoa trafiki barabarani?

    Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka. Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa...
  7. Hongera Mzee Kinana, Trafiki wamepungua

    Habari za jumapili wana JF, nimetoka unyamwezini na kuwa Kenya tangu kampeni hadi Uchaguzi jana nikaamua kuja nyumbani kutokea Namanga Arusha Moshi kisha Dar es salaam. Kwakweli niseme wazi idadi ya trafiki na kero zao imepungua mnoo. Nilishangaa Arusha mjini kupita vituo vingi bila trafiki...
  8. B

    Jeshi la Polisi na hasa Trafiki lifumuliwe na kuundwa upya

    Kwa muda mrefu jeshi la polisi na hasa kitengo cha usalama barabarani limekuwa likilalamikiwa kwa kushamiri kwa vitendo vya rushwa. Si polisi wa vyeo vidogo au vikubwa wote lao moja. Inafahamika jitihada wafanyazo polisi vitengo vingine, ili wapate kupangiwa kitengo hiki cha walamba asali...
  9. C

    Trafiki wengi ilikuwa vijiwe vya kukusanya Rushwa kwa madereva na kuchelewesha safari za watu

    Wakuu, Hivi mnajua huo utrafiki ulikua unatafutwa kwa nguvu sana ikiwamo askari wenyewe kuhonga ili wapangiwe kua trafiki? Hapa ukweli wanaujua vizuri wao wenyewe. Tunapenda ukaguzi barabarani wenye tija lakini kama alivostuka mzee kinana ndio watu wengi hujiuliza kila hatua chache...
  10. R

    Mzee Kinana, trafiki wengi wako barabarani kwa vile kuna pesa zisizo na jasho. Nini kifanyike?

    Logic ya trafiki wengi barabarani iko hivi: (something like a syllogism) 1. Kuwa barabarani ni pesa 2. Kitengo cha Trafiki ni wengi sana (kila mmoja mwenye upenyo amampeleka mwanae/nduguye utrafiki 3. Automatically ili kila mmoja lazima apate pesa, 4. Lazima kuwe na vituo vingi vya kusimamisha...
  11. Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinanana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura kufanya tathimini ili kuona uwezekano wa kupunguza idadi ya Askari wa usalama barabarani ambao wanalalamikiwa na Wananchi...
  12. Jinsi trafiki Dar wanavyopata pesa bila kutumia nguvu

    Habari, Nimetumia nafsi ya kwanza si kwamba Mimi ni trafiki , hapana bali nawasilisha mazungumzo tu niliyofanya na rafiki yangu mmoja ambaye sasa kahamia Trafiki kutoka kwenye kitengo kingine cha kipolisi hapahapa jijini Dar es salaam. Huyu kijana ambaye anapenda sana maisha ya starehe...
  13. Trafiki: Abiria wa Makumbusho-Posta wastaarabu siyo kama wale wa ruti ya Mbagala

    "Utakuta watu wa route hii ya Makumbusho Posta wana ustaarabu, akikuta gari limejaa kwanza hapandi, tofauti na route za Mbagala, hata mwonekano wa kondakta na dereva wa gari la Posta uko smart, "- Sgt Amin Iddi, Traffic Dar. "Umepanda pikipiki dereva anaenda isivyo wewe unashindwa kumwambia...
  14. Mkuu wa Usalama Barabarani: Marufuku Trafiki na dereva kuzunguka nyuma ya gari

    Kutokana na malalamiko ya rushwa dhidi ya askari Polisi Usalama Barabarani (Trafiki), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Wilbrod Mutafungwa amepiga marufuku madereva kushuka na kuwafuata askari nyuma ya gari. Mutafungwa alitoa kauli hiyo katika mahojiano na Gazeti la Mwangaza...
  15. Tabia ya Trafiki kula kwa urefu wa kamba zao imekithiri. Mamlaka ziingilie kati kukomesha rushwa za waziwazi

    Kuna magari almaarufu kama daladala , haya magari yakisimamishwa na Polisi hasa hawa wa usalama barabarani dereva akisimama tu JAMBO LA AJABU SANA KONDA HUSHUKA KAMA NINJA NA KUKIMBILIA KWA POLISI NA MARA HIYO HIYO POLISI hukenua meno na kuruhusu gari iondoke. Nachojiuliza Mkuu wa Polisi haoni...
  16. Magari ya trafiki na polisi hayana bima

    Utafiti wangu rasmi. Magari karibia wote ya kutembelea hayana bima. Hii but kila ninaposimamishwa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huwa nashuka naenda kuangalia kama magari Yao yana bima. Na hiki ni kipindi kile bima zilikuwa zinabandikwa kwenye kio. Sasa hizi za kidijitali ndo kabisa. Polisi...
  17. TRAFIKI POLISI SINGIDA: Mjiandae kwa maafa makubwa yatakayosababishwa na escort za mabasi

    Hii tabia ya kusimamisha mabasi kabla ya kutoka manyoni ukiwa unatoka Dodoma mpaka yafike 15 halafu mna aescort kwa kilometa kadhaa then wanaachiwa huko wapambanie msubiri ajali mbaya ya kugongana wao kwa wao kwa sababu zifuatazo 1: kwanza madereva wa mabasi wakifatana wengi wana hulka ya...
  18. Taasisi ya kuzuia Rushwa Kenya inaonesha jinsi ya kupunguza rushwa ya matrafiki

    Waswahili wanasemaga kuwa iga kilicho bora. Takukuru ya nchini Kenya inaonyesha jinsi ya angalau kupunguza rushwa ya matraffic nchini humo. Hii style ingetufaa hapa kwetu maana haina haja ya upelelezi tena hapo.
  19. K

    Ombi: Trafiki wabuni tochi kwa ajili ya kudhibiti bodaboda

    Kama mliweza za magari nadhani hata bodaboda mtaweza. Hizo spidi zao kwakweli ni za kufa mtu!
  20. Ushauri: Trafiki watafute mbinu nyingine ya kusimamisha magari wasisimame katikati ya barabara

    Natoa tahadhari kwa JESHI la POLISI wawe makini na ule mfumo wao wa KUSIMAMISHA MAGARI wakiwa wamesimama katikati ya barabara Tena wakati mwingine high way. Kuna polisi wema japo kwasasa jeshi la polisi Lina madoa mabaya Sasa ni Bora tukatoa tahadhari kuwaepusha wale wema wasije kukutana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…