Habari,
Nikiwa kama mdau wa kuuza na kununua magari used na mapya kutoka japan imenibidi leo ni share hili jambo la card mpya zinazotolewa na TRA kwa sasa.
Kadi za mwanzo zilikuwa ni hard copy,card ambayo imetenge ezwa kwa material na kuwekwa seal maalum ambazo sisi kama (car dealer's),ilikuwa...