tra

  1. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania TRA: Wafanyabiashara wa Mitandaoni mjisajili Ndani ya Mwezi Mmoja!

    WANAOFANYA BIASHARA MTANDAONI BILA KUJISAJILI TRA WAPEWA MWEZI MMOJA KUJISAJILI Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa mitandaoni ambao hawajajisajili na TRA kujisajili mara moja ndani ya kipindi cha mwezi mmoja. Ameyasema...
  2. R

    JamiiForums Tanzania The role of the tra and tax adjudication bodies in realizing vision 2050

    Introduction As Tanzania stands at the crossroads between the concluding aspirations of Vision 2025 and the bold ambitions of Vision 2050, the time has come for a critical national reflection. Beyond political rhetoric and economic blueprints, the true realization of Vision 2050 will depend on...
  3. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa TRA Dar una habari na manyanyaso yanayofanywa na staff wao kwa wateja wanapotembelea matawi yao kupata huduma?

    Nimekuwa nikisikia tu jinsi watu mbalimbali wanavyowalalamikia staff wa TRA Tanzania lakini sasa nimepata kushuhudia mwenyewe maana nina miamala inayonilazimu niwepo mwenyewe huko TRA kuishughulikia. Hawa staff wamejijengea ngome kiasi ambacho si ajabu staff anaweza kumwambia mteja sikuhudumii...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Brave Browser yakataa masharti ya TRA, hivyo hawatoi huduma Tanzania

    Kwa suala la taasisi kuwa na ofisi ndani ya Tanzania limeikubwa Browser ya Brave ambayo ina vitu vingi vizuri na inafanya kazi kama Chrome. Leo nimejaribu kuidownload ili nipate vitu vizuri nimekutana na ujumbe huu Angalia ujumbe huo hapa TRA Notice
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka 4 ya Rais Samia, TRA yakusanya TZS 121 Trilioni

    MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI. Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T. Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni. Makusanyo haya ya Rais...
  6. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Salamu za shukurani kwa walipakodi kwa mwaka wa fedha 2024-2025

    Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA ) imefanikiwa kuvuka malengo iliyowekewa kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024-2025 kwa kukusanya kiasi cha shilingi Trilioni 32.26 sawa na asilimia 103.9 ukilinganisha na lengo la shilingi Trilioni 31..05 . Kwan niaba ya Bodi ya Wakurugenzi ,Menejimenti na...
  7. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

    Habari TRA ! Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini? "MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX" Karibu.
  8. winnerian

    JamiiForums Tanzania Reclaiming Trust: Reforming the Role of TRA in Tanzania’s Economic Development

    In any prosperous economy, an equitable, transparent, and responsible tax system is the cornerstone of sustained development. In Tanzania, the Tanzania Revenue Authority (TRA) plays the central role of mobilizing local revenue through taxation. Yet, the general perception among the majority of...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye TATHIMINI ya Kodi za TRA Kwa magari yanayoagizwa Toka nje ya nchi

    Habari Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo maalum la kufanya TATHIMINI Kwa pamoja ktk magari used yanayotoka nje ya nchi katika Kodi za TRA pekee, Bei halisi za magari nitazitoa katika official website ya beforwad na Kisha kufanya evaluation au TATHIMINI Kwa kiswahili Karibuni Asante 8686153806
  13. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kuanzishwe Kodi mpya ya Kusanyiko la watu

    Habari Tanzania !. Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU". Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu...
  14. shinji

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ajira za TRA zinakiuka kanuni za utumishi? Je, wako juu ya sheria?

    Amani iwe nanyi! Ajira zote za serikali husimamiwa na Sekretarieti ya Ajira, ambapo baada ya mchakato kukamilika, majina ya waliopangiwa vituo hutolewa katika tovuti ili kila mmoja kuona. Hii imekuwa tofauti kwa TRA, ambao walianza vizuri kwa kutoa majina ya walioitwa kwenye usaili. Cha ajabu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini waitwe kazini kwa Email badala ya Tangazo la kuitwa kazini linalotolewa kwa UMMA?

    Salaam Wakuu, Kama mtakumbuka, mwezi Februari mwaka huu, TRA walitangaza nafasi za Kazi kwa Watanzania wenye SIFA. Na takribani Watanzania laki moja na kitu, waliomba zile nafasi, na baada kufanyiwa Usaili uliofanyika tarehe 29 & 30 Mwezi Machi. Baada ya Usaili, Matokeo yalitoka Mwezi April na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania WHO WINS WHEN TAX LAWS ARE UNCLEAR?

    Introduction Taxation represents one of the most consequential exercises of state authority. It directly affects both individual livelihoods and the economic vitality of businesses. Yet, as essential as it is, the authority to tax must be carefully constrained by the law. It must be exercised...
  17. J

    JamiiForums Tanzania TRA yawaita waliofaulu usahili wa mahojiano

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita wale wote ambao wamefaulu usahili wa mahojiano. Wakati huo huo TRA imemshukuru Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuruhusu kuongezwa nafasi zingine 300 katika ajira hii.
  18. caine

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajira 300 za TRA wasailiwa hawajatendewa haki

    Wakuu Habari. Usiku wa leo TRA imetangaza siku ya matokeo ya oral lakini pia ndani ya taarifa hiyo wamesema kulikua kuna ongezeko la ajira 300 ambazo hazikuepo hapo awali katika usaili wa kuandika. Kuna watu wengi wamekosa nafasi ya kwenda oral interview kwa sababu ya ratio na sio kwa sababu...
  19. Kighono kighonk

    JamiiForums Tanzania Wadau ivi tra oral wanayatoa lini au ndo kula kwenda

    Wadau ivi tra oral wanayatoa lini au ndo kula kwenda
  20. proudcitizen

    JamiiForums Tanzania TRA: Tunahitaji ajira zenye Uwazi kama Utumishi sio figisufigisu!

    Wadau, hebu tuzungumze kwa moyo mmoja… TRA waliomba mamlaka ya kuajiri ihamie kutoka UTUMISHI kuja kwao, wakisema wataongeza ufanisi na uwazi kwenye mchakato wa ajira. Lakini tangu waanze kuendesha ajira wao wenyewe, hali imekuwa ya kutia shaka. Mwaka 2023 walifanya usaili lakini hatukuona...
Back
Top Bottom