TRA imeanzisha Mfumo Mpya Unaitwa IDRAS

TRA imeanzisha Mfumo Mpya Unaitwa IDRAS

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
218
Ndugu Mjasiriamali habari,

Kwa miaka kadhaa tumekua tukipiga kelele TRA irahisishe huduma zake ziwe kama za Brela na Tausi maana struggle ilikua ni kubwa.

TRA wameanzisha mfumo unaitwa IDRAS ambao ni mfumo unaokuwezesha

-kusajili Kampuni yako TRA
-Kupata TIN certificate
-Kufanya Tax clearance
-kusajili chombo Cha moto
-transfer ya chombo Cha moto

Pamoja na huduma zote zilizokua zikitolewa kwenye TRA portal bila kwenda ofisini kwao.

Unaweza kufanya huduma zote hizi ukiwa mahali popote wakati wowote.
 
Habari yako ingependeza kama ungeambatanisha na kiunganishi (link) cha kwenda kwenye huo mfumo...
 
Kwangu mie kwa siku ya jana tarehe 27.03.2026 naona bado hawatatua tatizo la msingi wote ambao wako kwenye presumptive tax wanatakiwa kwenda kwenye tax centre zao wakafanyiwe makadirio manual tatizo hili. biashara ndogo ndogo ni wengi mno sasa pata picha wote waende kwenye tax centre zao wakafanyiwe makadirio. Leo mie imenikita maana ni consultant kwenye biashara na issue za kodi nimekaa kimara six hours nasubiri kukadiriwa tuu hapo which wao makadirio ya presumptive ni based na sales za mteja huyo sasa hii si mtu angefanya tuu mwenyewe kwenye mfumo wao waka approve tuu kazi ikaisha why kwenda kurundikana kwenye ofisi za uma pasipo kuwa na sababu za msingi?
🤬🤬🤬🤬🤬
 
Back
Top Bottom