tra

  1. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NIDA abadilishwe ili kuongeza mapato na ufanisi ili ijitegemee na kupeleka mapato serikalini kama TRA

    Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe. Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA. Serikali yetu ifanye yafuatayo: Mkurugenzi abadilishwe. Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
  2. JamiiForums Tanzania Asasi za Kiraia zaitaka TRA kuwaondolea kodi ili Watekeleze Majukumu yao kwa Uhuru

    Chama cha Wanasheria Tanganyika kimewaleta pamoja Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji nchii. Akiongea Mkoani Morogoro, leo Tarehe...
  3. JamiiForums Tanzania Kuhusu mgogoro unaosemekana ulitokea Handeni kati ya Wafanyabiashara na TRA Handeni

    Binafsi nimefanya utafiti nimejiridhisha pasi na shaka kuwa kile kinachodaiwa kwamba ulikuwa ni mgogoro kati ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Handeni na TRA, hususani Manager wa TRA Handeni mpaka kufikia hatua ya baadhi ya Wafanyabiashara kufunga maduka, ni mpango ulioratibiwa na baadhi ya...
  4. JamiiForums Tanzania TRA na DC Muheza watatua changamoto za kikodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya Muheza Mh. Zainab Abdallah wameendesha kliniki ya kodi katika viwanja vya Bombani Muheza mkoani Tanga. Kliniki hiyo imefanyika kwa kusikiliza na kutatua chamgamoto za kikodi kwa wafanyabiashara wa Muheza. Aidha wafanyabiashara...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye. Mfumo wa hakiki stamp wa TRA

    Kwa siku tatu sasa ukitaka kuhakiki ubora Pombe kali konyagi.k vant nk mfumo unatoa mesage.MANTANANCE MODE AU SERVER UNAVAILABILITY TRY AGAON LATER . Vile vili kuna hisia watu kuanza kupata shida kunywa vinywaji vikali. Je kuna shida gani? Wahusika tunaomba mrejesho haraka.
  6. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo utakaoboresha ukusanywaji wa kodi na nchini (Tanzania)

    Utangulizi Takwimu za mapato yakuswanyayo na shirika husika (TRA) katika maeneo/shughuli mbalimbali, zimeonekana kupaa juu siku hadi siku na hii imechochewa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali katika kutoa elimu kwa wauzaji na wanunuzi wa bidhaa/huduma mbalimbali,,,, Sambamba na...
  7. JamiiForums Tanzania Swali kwa TRA na NEMC

    Naomba kufahamishwa kodi ya basi jipya la umeme toka China la thamani ya dola za kimarekani 6000 nitalipa sh ngapi.. Na ninyi watu wa mazingira je?mwaweza kunipa kibali cha unafuu niletapo basi hili?...nikiwa na maana kwamba halichafui mazingira....
  8. JamiiForums Tanzania TRA Muheza na DC kuna nini?

    Nimesiiliza sana clip ya DC wa Muheza na mpaka sasa nimeshindwa elewa kuna nini. Kwanza nikiri mimi nafanya biashara japo siyo kubwa ila nakumbuka kama sikosei ilikuwa sikukuu ya Iddi Mh Rais alisema baadhi yetu wafanyabiashara tumeanza kuiibia Serikali kwa kudanganya na kukwepa kodi. Kila...
  9. JamiiForums Tanzania TRA yaendesha Elimu juu ya athari za magendo Kigoma

    Leo tarehe 02.05.2024, TRA imetoa elimu juu ya athari za magendo kama vile kuhatarisha afya kwa kuingiza bidhaa zisizo na ubora kwa wakazi wa soko la Gwanumpu lililopo Ujirani Mwema mpakani mwa Tanzania na Burundi.
  10. JamiiForums Tanzania Pesa wanayolipwa Polisi Trafiki na wafanyakazi wa TRA haiendani na maisha yao

    Hawa watu wanaofanya kazi katika hizo sekta Mara kwa Mara huwa nakutana nao. Ila kinachonishangaza kwao, kwa pesa wanazopata ukiondoa mishahara wanayolipwa hawa jamaa, wanapata pesa nyingi sana. Sasa maendeleo Yao na Pesa wanazopata haviendani, pia usiombe ukutanenao ukiwa na mzigo, kweli...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa wafanyakazi wa TRA uchunguzwe

    Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe. Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee. watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Habari za wakati huu wadau wa maendeleo, leo nimekuja tena kuangazia namna TRA inaweza kuchukua hatua ili iweze kuongeza ukusanyaji wa mapato nchini. Kama tunavyojua kodi ndio inayotumika kufanya maendeleo na kugharamia shughuli za kila siku za serikali, lakini TRA inashindwa kukusanya mapato ya...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

    TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa mishahara mkononi hamna payee kwa serikali. -Anakata NSSF kwa wafanyakazi lakini hawasilishi michango...
  14. JamiiForums Tanzania TRA inawakarabisha wananchi wote kutembelea banda letu

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakarabisha wananchi wote kutembelea banda letu katika uzinduzi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa 2024 utakaofanyika katika viwanja vya Chuo kikuu cha Ushirika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro tarehe 2/4/2024. Aidha TRA itaendelea kutoa elimu ya kodi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuagiza gari, kodi za TRA, usajili hadi kumfikia mtumiaji

    Habari za mida hii wanajf. Kama kichwa kinavyosomeka. Kuna jambo huwa najiuliza kwenye suala zima la kuagiza gari kwa kutumia beforward, tcv, sbt, n.k. Nikipitia kwenye websites zao unakuta kwenye bei ya gari ni Tsh. 5,000,000/- na kwenye bei ya jumla sehemu ya Clearing & forwarding kwa port ya...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata control number mtandaoni TRA

    Nina Shida na kupata control number tra ili nilipie Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika na mwezi ushaisha nikikaa mpk tarehe 1 penati naombeni mnisaidie namna ya kuipata conyrol number kwenye tovuti yake
  17. A

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wenu unasuasua mno

    Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero
  18. JamiiForums Tanzania TRA inapenda kuwakumbusha wafanyabiashara kufanya makadirio mapema

  19. JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA kuwa wazi nchi nzima tarehe 23 na 24 Machi, 2024

  20. E

    JamiiForums Tanzania Mamkala ya Mapato Tanzania (TRA) inabagua baadhi ya shahada wakati wa kuajiri

    Mimi ni mmoja wa wahitimu wa elimu ya juu. Bachelor of commerce in banking and finance. Swali langu kwa TRA ni kwamba kwanini watu waliosoma finance wanaruhusiwa kuomba kazi TRA na watu waliosoma Banking and finance wanakataliwa? Watambue kwamba watu wa banking and finance ni lazima wasome...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…