Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu hata kujisajili.
Hali hiyo imesababisha hata wanaohitaji huduma nyingine za kimtandao nao...
Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi.
Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate.
Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua...
Ndugu ..
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo,
Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili...
Ndugu zangu.
1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ?
2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri...
Habari zenu wana jukwaa?
Hivi hizi ajira za tra let's say sisi watu wenye shahada za uhasibu naona kama kuna kada nyingi sana tunaingia,mfano tax management, customs,accounts officer, auditing etc.
Je inaruhusiwa kuomba zaidi ya nafasi moja?
Nisaidieni maana me sijawahi kuomba hizi kazi za...
Habarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.
Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
TRA ilizinduwa mfumo huo na kueleza una maboresho na utakaosaidia kurahisisha uondoshaji wa Hivi...
Mamlaka ya mapato Tanzania inawakumbusha walipa kodi kuwasilisha ritani na kufanya malipo ya kodi ya zuio, PAYE na SDL kwa mwezi Januari 2025 kabla au mnamo Februari 7, 2025.
Jengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu
==============
Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo - Dar es salaam.
Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini?
Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
ccm
katika
kugombea
kugombea urais
kugombea urais 2025
kumteua
meneja
rais
rais samia
samia
samia kugombea urais 2025
sheria
tanga
tra
umma
urais
urais 2025
utumishi
utumishi wa umma
Kumekua na tabia za kupigiwa simu na watu wanaojiita mawakala wa TRA wakitangaza biashara zao za kuuza electronic efd machines kwamba unaweza kutoa efd receipt kupitia simu ya mkononi. Natambua kwamba hilo linawezekana lakini, swali langu ni kwamba wanatoa wapi hizi namba zetu? na...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda, amesema Siku ya Mlipakodi ni tukio maalum linalolenga kutambua na kuwashukuru walipakodi wa kada zote kwa mchango wao katika maendeleo ya taifa.
Akizungumza Januari 23, 2025, jijini Dar es Salaam, wakati wa maadhimisho...
Naona utaratibu unazidi kubadirika.
Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari.
Admin kutoka Mapato TRA Tanzania njoo ufafanue.
Ndg zangu habarini za majukumu?
Naomba ushauri au msaada nini nifanye juu ya hili:
Mimi ni mjasiliamali nafanya uchuuzi na taasisi za umma na serikali, mwaka jana wote biashara haikuwa nzuri hasa baada ya mfumo mpya wa manunuzi yaani Nest kuanzishwa hivyo kupelekea ushindani kuwa mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.