tra

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua maswali ya ICT tutorial assistant kuanzia step ya kwanza mpaka mwisho na aliefanya TRA

    Msaada kujua maswali ya ICT tutorial assistant kuanzia step ya kwanza mpaka mwisho na aliefanya TRA
  2. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wenu mpya wa leseni kimtandao unafanya kazi kuwa ngumu badala ya kurahisisha

    Kupitia mfumo mpya wa kuomba leseni za undeshaji magari, mambo yanaonekana kuwa magumu badala ya rahisi. Unapohitaji leseni kwajili ya kuendesha magari ya abiria na mitambo inakupasa kuhudhuria chuo kilichothibitishwa na serikali, baada ya kutoka chuo, unaenda police kitengo cha usalama...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi wa TRA nao wanakatwa PAYE kama kada nyingine?

    Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. 🤣🤣🤣Raha sana hii nchi. Sasa wenzetu na mimi waliopo TRA nao wanakatwa? Au ndiyo wana compensate kwa bonus?
  4. World light

    JamiiForums Tanzania Ombi maalumu: Tafadhali mwenye mawasiliano na Mjumbe yoyote aliyeteuliwa na Rais kupitia Upya misururu ya Kodi TRA anifikishie ujumbe huu muhimu

    Ukinunua dai Risiti, Ukiuza toa Risiti. Mhe Mjumbe habari, Kwanza, natumia jukwaa hili kukupongeza wewe binafsi pamoja na wenzako wote kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa wajumbe wa Kamati hii maalum ya kusikiliza sauti za wasiokuwa na sauti juu...
  5. stevennelson

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya upataji wa lessen

    Mi nmeend TRA kukata lessen sasa wanataka EFD kutoka seem nliyosoma nmerudi chuo wanasema izo zilifutika mana toka nimalize ilikua mwaka jana na lessen nmeend kukata mwaka huu naiyo ishu ya tra yakutaka EFD wameianzisha siku so nyingi nafanyaje kwa wazoefu msaada
  6. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Chawa mwanadamizi Mwijaku atoa povu baada ya TRA kumtaka alipe kodi

    Nikajua ukiwa chawa, haubugudhiwi.🤣🤣 TRA wamefatilia makampuni ambayo Mwijaku anayotangaza biashara nao, na kutaka makampuni hayo yalipe kodi kwa mamlaka hiyo. Mwijaku baada ya kupata taarifa hiyo akatoa povu. Hajaamini macho yake. TRA nyoosheni hivyohivyo, hakuna kucheka na wowote
  7. sued's

    JamiiForums Tanzania KERO TRA Temeke ni changamoto sana kwenye ufanyaji wao wa kazi

    Wakuu nimekuja kwenu, ofisi za TRA Temeke zina fikirisha sanaa katika uwajibikaji wao Nili-register TRA TIN Number mwaka 2020 branch ya Mbagala sasa nataka nihamishe ile TIN number location isome Ilala hapo ndo kimbembe aisee Hawa jamaa nimefanya process zotee online barua nimeandika na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu ameenda kwa mganga ili kuwekwa sawa kwa ajili ya kupata hizi kazi za TRA.

    Wakuu heri ya jumapili. Sijajua ni kuchanganyikiwa au vipi,kuna jamaa yangu kafunga safari kaenda huko kwao Magu kwa mganga ili tu awekwe sawa kwa ajili ya hizi kazi za tra zilizotangazwa majuzi. Jamaa mwanzo alinidokeza hilo jambo na akawa ananishawishi na mimi niunge tera but mimi sio muumini...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara na Dereva Kortini kwa Umiliki Haramu wa Ethanol na Kugushi Stempu za TRA

    Mfanyabiashara, Novita Shirima (49) na dereva, Justine Mbise (29) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka sita, ikiwemo kumiliki kemikali aina ya ethanol kinyume cha sheria, kughushi stempu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutumia...
  10. aka2030

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo mpya wa kurenew leseni ya udereva TRA ni sumbufu

    Kama hamkuwa mmejipanga bora mngeacha kwanza Siku 3 server ipo chini Siku 2 mtu hawezi kupokea OTP Mmeleta kero sana
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

    Heshima sana wanajamvi. TRA wametangaza ajira mpya 1,574. Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao. Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja wa GSM kwenye ligi anauleta mpaka TRA na bandarini

    GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu. Siku chache kabla ya Hayati Magufuli kuapishwa alijua kuwa segerea inamuhusu,akaifunga kampuni yaje ya Home...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo kwa kushirikina na TRA yatoa vitenge 200 kwa wajawazito

    Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi msaada wa vitenge 200 kwa wanawake wajawazito katika Hosptali ya Wilaya ya Kalambo na vituo vya kutolea huduma za afya kama sehemu ya kurejesha faida kwa wananchi. Mkuu wa Wilaya...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa magari na online TRA calculator

    Mimi binafsi napotaka kuagiza gari, nachukua details za ile gari halafu nakuja kukadiria bei ya ushuru kupitia Calculator ya TRA, tuseme napata Mil 12,355,000 kama ushuru. Unaagiza gari baada ya wiki tatu ushuru unaongozeka kidogo hadi mil 13+ kawaida kabisa kutoka na value ya USD KUPANDA NA...
  15. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania JAMANI HIZI AJIRA ZA TRA NA WALIOSOMA BAED ANAWEZA KUOMBA?

    Kwema wakuu, kama mada inavojieleza alie liona tangazo anakaribishwa alete mawazo
  16. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mfumo wa kutuma maombi ya ajira kwa nafasi za kazi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA))

    Kwa muda takribani wiki sasa, nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo wa ajira wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) bila mafanikio. Niwaombe Mamlaka watoke hadharani na kutoa tamko kuhusu changamoto hizi na mwelekeo (Way forward). Kuna wakati napata hisia mbaya kwamba tayari...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  18. S

    JamiiForums Tanzania TIN Number kutoonekana kwenye Recruitment portal ya TRA

    Habari Wadau, Nakutana na changamoto ya usajili wa TIN number kwenye recruitment portal ya TRA, ambapo kila nikijaribu kuingiza number husika za TIN na kuzi-save, mfumo unaleta msg kwamba zimekuwa saved successfuly, lakini baada ya muda sehemu ya TIN yenye asterisk inabaki wazi tena. Je, kwa...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TRA yafanya ziara vituo vya forodha ukanda wa Pwani ili kudhibiti shughuli za magendo

    Kamishna wa Idara ya Upelelezi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hashimu Ngoda amefanya ziara ya kutembelea vituo vya forodha ukanda wa pwani katika maeneo ya Kunduchi, Mbweni pamoja na Bagamoyo lengo likiwa ni kuangalia utendaji wa shughuli za forodha katika kudhibiti shughuli za...
  20. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Anza mwaka kwa kufanya makadirio ya kodi kwa wakati: fanya makadirio ya kodi ya mapato mapema na uepuke adhabu

    Miongozo ya Makadirio ya Kodi ya Mapato kwa Mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (Marekebisho ya 2023) Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2023), inamtaka mlipa kodi (binafsi au kampuni) kuandaa na kuwasilisha makadirio...
Back
Top Bottom