tra

  1. Superfly

    Je, naweza kusajili jina la biashara na nisianze kupeleka kodi TRA?

    Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi. Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN namba. Sasa nahofia naweza kuingia kwenye sakata la kodi ya mapato mapema wakat biashara bado...
  2. Hismastersvoice

    TRA wapangaji hatuhitaji maelezo ya kirafiki kuhusu KODI YA ZUIO, hizo namba zenu za simu zitumieni wenyewe

    TRA mnatupa namba za simu eti kwa maelezo zaidi. Mimi mpangaji na mpokeaji simu hatuwezi kutatua tatizo kupitia simu, kodi ua ZUIO inahitaji maelezo ya kina kutoka uongozi na si marisepshenisti. Tunataka kodi ya ZUIO ilipwe na mwenye nyumba na si mpangaji.
  3. Shahed kamikaze

    Hili la kodi kwa wapangaji TRA wameupiga mwingi

    Hakika ukusanyaji wa mapato utaongezeka kwa maendeleo ya nchi yetu. Hongereni TRA kwa kuliona hili, hongera mama yetu Samia Suluhu Hassan. TRA iangalie maeneo mengine na kupanua zaidi wigo wa kodi. Kodi ndio maendeleo ya nchi. Kazi iendelee.
  4. BARD AI

    Bunge laipa TRA siku 30 kufanya maboresho ya mifumo yake

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwezi mmoja (sawa na siku 30) kuipelekea mpango kazi wa namna walivyojipanga kukabiliana na hoja za kikaguzi zilizoainishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Makamu Mwenyekiti wa PAC...
  5. J

    TRA yawakumbusha wapangaji kuwalipia wenye nyumba kodi ya pango.

    #TANZANIA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesisitiza wapangaji katika nyumba za kupanga kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Source-MwanzoTv
  6. N

    Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa; Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
  7. kelvin patrick

    Tozo ni kwa sababu TRA wameshindwa kukusanya kodi vizuri

    Tatizo hii nchi wameshindwa kukunya kodi vizuri za TRA sababu kuu biashara karibu kubwa zote zinamikono ya viongozi wa hii nchi. Ukiomba risit utapigwa maneno kuwa machne mbovu na mizgo wanayonunua unakuta inapita bandarini bila ushuru. Matokeo yake wanaona ngoja watumie mbinu yakuwaumiza watu...
  8. profesawaaganojipya

    Je, kuna App yoyote ya kutambua risiti za TRA?

    Ndugu wana jamvi naomba msaada,nitawezaje kujua kama risiti niliyopewa nifeki au sio feki,je kuna app yeyote ya kutambua risiti za tra?
  9. LUS0MYA

    Tangazo la TRA kuhusu ukusanyaji mapato kwa wapangaji kuathiri sensa

    Tangazo la TRA kuwatumia wapangaji kukusanya kodi ya zuio kwenye upangaji wa nyumba linaweza kuathiri zoezi la sensa kwani upo uwezekano wa baadhi ya taarifa za umiliki wa ardhi, nyumba kufichwa kuogopa kulipa kodi stahiki. Ni muhimu kwa taasisi kama TRA kukaa kimya kuliko kutoa matamko...
  10. Kijakazi

    TRA ya USA waruhusiwa kuua ikibidi kukusanya kodi ya Serikali

    Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!
  11. Ngongo

    E-Filing System TRA una matatizo

    Heshima sana wanajamvi, Mamlaka ya mapato Tanzania ilibadili mfumo wake wa ku fill kodi mbali mbali kupitia mfumo mpya ambao badala ya kurahisisha kazi umeongeza ugumu wa kazi. Unaweza kuchukua siku nzima ukihangaika kuufungua tu .Bado utasumbuka masaa mengi kurudia rudia kila mara na...
  12. kanga

    Ushauri wenu wabobezi kuhusu gharama za TRA kulipia 20ft Container kutoka China

    Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM...
  13. M

    KWELI TRA Wakanusha suala la Mtandao wao kusumbua nchi nzima

    TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua. Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake. Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na...
  14. muafi

    TRA toeni Bonus kwa kila mwenye Risiti 100 za EFD, Mtaongeza mapato maradufu kuliko kutumia nguvu!

    TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti za EFD nilisikia TRA wameanzisha mchongo kwa baadhi ya wakazi wa dar kwamba ukikutwa na TRA umenunua...
  15. goroko77

    TRA fanyeni kazi zenu ipasavyo, Wahindi na Wachina wanalichezea taifa hili

    Habari za muda, Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo...
  16. Lord denning

    TRA yakusanya Trilioni 22 mwaka wa fedha 2021/22, Nauliza tena Nani kama Samia?

    Hakuna bunduki, hakuna vitisho na kwa mara ya kwanza , mamlaka ya mapato Tanzania inakusanya Trilion 22.28 . Nani kama Samia?
  17. amu

    TRA Mwanza kuna shida gani?

    Mnamo tarehe 4 June nililipia sh 70,000 kwa ajili ya driving licence, nikaambiwa nitatumiwa ujumbe mfupi wa maneno nikaifate. Hadi leo tarehe 30 June sijapata huo ujumbe katikati hapo nilienda kufatilia wakaniambia mashine ya kuprint imeharibika. Ina mana mpaka leo mashine imeharibika?au kuna...
  18. Bexb

    Je, ulisajili kampuni na hujafungua e-filing ya TRA?

    Habari ya jioni wakuu. Kuna baadhi ya watu walifungua/kusajili kampuni lakini wakawa kama wameitelekeza iwe ni kwa kufanyia kazi kwa muda mfupi na kuiacha ama kutoifanyia kazi kabisa baada ya kuisajili. Mjue kuwa taarifa zenu zipo TRA tena nyie mliofungua kampuni kuanzia mwaka 2018 ndio hadi...
Back
Top Bottom