toyota

  1. JamiiForums Tanzania Jua maana ya vifupisho mbalimbali vinavyotumiwa na kampuni ya Toyota, ie VX, GX etc

  2. JamiiForums Tanzania Nissan TIIDA namba EFU

    Habari za uzima? Nissan TIDA NAMBA EFU MILIONI 16 Gari bado ni mpya kabisa. Kwa mawasiliano zaidi karibu PM.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Raum old inauzwa 8ml

    Nauza Toyota Raum old kwa 8ml. Gari liko Tabata liko vizuri sana mkoa nia ujaza full tank zako nakutembea. Mawasiliano 0758 350 943
  4. JamiiForums Tanzania Msaada jamani hizi gari 3 Mazda CX5, Mitsubish Outlander SportsstyleEditon, Toyota Vanguard

    Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya 1. Utumiaji mafuta 2. uimara 3. Speed 4. Kupatikana vipuri 5. Ukisasa zaidi 6. Mwonekano mzuri. 7. Bei zake sokoni Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota Landcruiser - Bajeti milioni 40

    Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari kwa whatsapp 0656388678. Iwe model ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea. Bei isizidi milioni 40...
  6. JamiiForums Tanzania Nichukue gari ipi kati ya Toyota Voltz, Harrier, Rav 4 old na Premio?

    Habari zenu wakuu Nmejichanga changa nikapata milion 12 za kuvuta kausafiri, nategemea kuvuta kutoka mkononi mwa mtu. Sina hela yakuongezea kuagiza gari mpya sina uwezo huo. ili niondokane na kero za usafiri wetu wa Dar es Salaam wa daladala. Naomba mnishauri kati ya gari hizi ipi itanifaa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toyota yasaini makubaliano ya Kuunda Magari yake nchini Kenya

    Kenya na Toyota Tsusho Corporation ya Japani wametia saini makubaliano ya mfumo wa ushirikiano katika utengenezaji wa magari na maendeleo ya nishati mbadala. Makubaliano hayo yatawezesha Toyota kuanzisha kiwanda cha kutengeneza magari nchini. kampuni imefanya uwekezaji wa awali wa Kshs 800...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Fuel gauge na Consumption ya Toyota Premio

    Wakuu kwema? Siku ya Jumamosi nilisafiri na gari yangu Toyota Premio F(1490cc) kutoka Arusha kuja Dar es Salaam. Ilikuwa ndo mara ya kwanza kusafiri safari ndefu kwa kutumia hii gari kwa hiyo nilitaka kujua pia consumption yake ya mafuta highway iko vipi. Siku ya Ijumaa niliweka full tank na...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Madini gari hii Toyota Land cruiser STK 327 inatumika vibaya kuokota Rushwa na kuwanyanyasa wachimbaji wadogo Chunya

    Leo ninatuma namba ya gari nikijiamini kuwa gari hiyo inamilikiwa na Tume ya madini. Huko gari liliko Kila siku linatumika kukusanya rushwa na kusumbua wachimbaji wadogo. Gari Hilo linafanya ukusanyaji wa rushwa usiku na mchana, siku za kazi na siku za sikukuu. Bosi wa Tume ya madini Chunya...
  10. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Hiace inauzwa 10M tu

    Nauza Toyota Hiace inapiga Daladala Mwanza, bei milioni 10 tu, maongezi yapo. Mawasiliano 0753311398
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya Toyota Allion

    Anayeijua sifa ya hii gari wakubwa kuna mtu anaiuza nawaza kuinunua. Toyota Allion
  12. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota starlet inauzwa

    Toyota starlet inauzwa Bei million 4.3 Cc 1300 Gari ni nzuri Full ac Ipo dar es salaam 0784020604
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Jinsi Toyota Alphard Hybrid inavyofanya kazi na Ubora wake

    1. Je, ni full hybrid? 2. Inaweza kutembea kwa betri engine ikiwa iimezima. 3. Fuel conception ikoje.
  14. JamiiForums Tanzania Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
  15. JamiiForums Tanzania Madiwani nao wanunuliwe Toyota Land cruiser LC300

    Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi. NB: hizi gari zitarahisisha kumtembelea miradi ya maendeleo Kama ilivyoainishwa kwenye ilani
  16. JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari Makali Haya Hapa yanapatikana SHOWROOM kweetu. Ukiwa na pesa pungufu usijali gari utapewa tu

    TUNAPATIKANA UBUNGO STENDI YA ZAMANI YA MKOS MKABALA NA MIC HOTEL NJIA YA KUINGILIA NBC BANK MOROGORO ROAD MAWASILIANO 0711707070 AUDI A4 YEAR : 2013 Stock No: 23/000536 Engine Capacity: 1800CC Mileage:49,524KM TRANSMISSION: AT LEATHER SEAT PRICE:35,000,000/= (With Full Registration) TOYOTA...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Raize, IST mpya

    Hii gari ni ist ijayo. Ambaye amewahi kuwa nayo, tunaomba mrejesho.
  18. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Allion new model (17.5)

    Engine size Cc 1990 (valvematic) Year 2008 Mileage km 59000 only! Full option (cruise control) Full Ac Bei 17.5m GARI HAINA DALALI. Call 0752506120
  19. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Allion new model

    Year 2008 Engine cc1990 (valvematic) Mileage 59000km Full option (cruise control) HAINA DALALI Call 0752506120
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…