Nataka kununua Toyota Crown Althele

Habarini Wakuu
Nataka kununua Toyota Crown Althele
ya 2005-6 nataka kujua fuel consumption na Services
Na Kusafiria Dar-Moshi inaweza kucost pesa ngapi kwa Fuel
Kodi yake haiwezi kuwa kubwa sana
 
Habarini Wakuu,

Nataka kununua Toyota Crown Althele ya 2005-6 nataka kujua fuel consumption na Services.

Na Kusafiria Dar-Moshi inaweza kucost pesa ngapi kwa Fuel
gharama ya mafuta si fixed....inategemea bei ya eneo husika na uendeshaji wako. Kama ni mtu unapenda gari iende kwa kasi sana/engine rpm iwe juu utatumia mafuta mengi. Ukiwa unaendesha kiutu uzima ukizingatia mwendo wa kawaida na huwashi ac sana au huwashi kabisa, utatumia mafuta machahe
 
Habarini Wakuu,

Nataka kununua Toyota Crown Althele ya 2005-6 nataka kujua fuel consumption na Services.

Na Kusafiria Dar-Moshi inaweza kucost pesa ngapi kwa Fuel

Kapitie uzi wa “crown the japannese benz”

Watu wameshare views kibao kuhusu crown

Ushauri:nunua hiyo gari lakini

Kulingana na ombi lako jitahidi

Tafuta either 4GR kuanzia 2006 au
3GR 2004-2008

Hizi zote zina 6speed auto gearbox
Zinachanganya faster with good fuel efficiency

Achana na 4GR za 2004-2005

Na kama unaagiza mwenyewe japan

Check japanesevehicle ipo black moja kali 4GR 2006

CIF ni kama 10ml
TRA andaa 7,6ml

IMG_1192.jpg
 
Kapitie uzi wa “crown the japannese benz”

Watu wameshare views kibao kuhusu crown

Ushauri:nunua hiyo gari lakini

Kulingana na ombi lako jitahidi

Tafuta either 4GR kuanzia 2006 au
3GR 2004-2008

Hizi zote zina 6speed auto gearbox
Zinachanganya faster with good fuel efficiency

Achana na 4GR za 2004-2005

Na kama unaagiza mwenyewe japan

Check japanesevehicle ipo black moja kali 4GR 2006

CIF ni kama 10ml
TRA andaa 7,6ml

View attachment 2571064
Huu mkwaju uko vyedi haswaa, hizo moka za after market rims ni unyama mwengine!
 
Aliagiza yeye kwama yeye (yeye mwenyewe) au alienda kwa zile kampuni za kuwaagizia watu magari?
Yeye alichagua aina anayotaka, mpaka rangi na kila kitu, kwenye kampuni akaenda kupilia tu, gali ikaletwa ,ila kuagiza unatakiwa uwe mvumilivu maana gari inafika baada ya siku 60 na kuendelea
 
Habari!nunua ila swala la mafuta mkuu wala Mimi sikudanganyi haili Kama IST and the like,hii ni gari kubwa ina nguvu with comfortability.
 
Back
Top Bottom