Nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc

Wadau,wazoefu na mafundi,kwa kipato changu cha kawaida nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc,vigezo
1.ulaji mdogo wa mafuta
2.upatikanaji na unafuu wa spare
3.uimara wa gari rafu road
4.uimara wa vipuri.
Karibu kila kitu kipo sawa sawa na vinaingiliana. Hakuna utofauti wa kimsingi zaidi ya choice ya mtu kutokana nq muonekano. Ni gari mapacha (kurwa na Doto)
 
binadamu tuna dharau na kiburi sana,mungu atusaidie kwa kweli,tungekuwa tunaishi miaka 1000,cjui ingekuwaje aisee..
Hoja ya jamaa ni ya muhimu saaana japo kaileta kwa dharau!! Hizo gari zako ndugu yangu hazina mwendelezo. Toyota washaacha kuzotengeneza kitambo so nakushauri uchukue gari zenye mwendelezo kwa ajiri ya uhakika wa spea. Mungu akutie nguvu upate usafiri binafsi
 
hoja nzuri sana,na ni ushauri mzuri,ila kwa nchi maskini za kiafrika,hata gari kama toyota sterlet zilizoachwa kutengenezwa,miaka ya 2000 kushuka chini,bado gari ni nyingi mtaani,na spea zimejaa tele,sembuse gari za 2004?kwa mtazamo wangu,asilimia zaidi ya 70,ya gari zilizopo tz,ni za miaka 2010 kushuka chini.
 
Umeshaona mtu anaulizia toyota starlet
Pia kumbuka bandarini kuna kodi ya uchakavu jwa magari ya zamani,just to let you know brother
 
Wadau,wazoefu na mafundi,kwa kipato changu cha kawaida nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc,vigezo
1.ulaji mdogo wa mafuta
2.upatikanaji na unafuu wa spare
3.uimara wa gari rafu road
4.uimara wa vipuri.
izo gari zote ni corolla hatchbacks zina share same engine and ishu zingine so hamna utofauti ata muonekano ni ngumu sana kuzitofautisha, zina utofauti mdgo allex ina space kubwa kidgo compared to runx, ila runx ina stability slighly higher than allex fuel consumption ni umo umo
 
asante mkuu,kwa ufafanuzi mzuri.
 
Hoja ya jamaa ni ya muhimu saaana japo kaileta kwa dharau!! Hizo gari zako ndugu yangu hazina mwendelezo. Toyota washaacha kuzotengeneza kitambo so nakushauri uchukue gari zenye mwendelezo kwa ajiri ya uhakika wa spea. Mungu akutie nguvu upate usafiri binafsi
Gari za toyota hata kama hazina muendelezo spea zinaingilina na hizo hzo gari zenye muendelezo, kuna gari yoyote ya toyota ya kitambo ilikosa spea?
 
Wadau,wazoefu na mafundi,kwa kipato changu cha kawaida nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc,vigezo
1.ulaji mdogo wa mafuta
2.upatikanaji na unafuu wa spare
3.uimara wa gari rafu road
4.uimara wa vipuri.
Zinaingili kila kitu, utofauti upo kwenye ukubwa wa body, Allex ni kubwa kuliko runx, pia Allex matumizi yake ya mafuta ni mazuri kuliko Runx. Runx ipo stable barabarani kuliko Allex
 
Back
Top Bottom