toto

  1. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Azam kukaa kwenu na wachezaji kwa ajili ya kuikabili Yanga leo ni danganya toto

    Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo. Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Raisi akiingilia suala la Dube kama alivyofanya Kwa Fei Toto, Azam waliowahi kusaidiwa tatizo linalofanana wana ujasiri wa kumgomea ?

    Kwa Fei ilikubali, kwa Dube itakataa ?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Prince Dube na Fei Toto ni tofauti, huyu mwanasheria wa Yanga mbona sio muelewa?

    Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote Lakini kwa Feisal...
  4. JamiiForums Tanzania Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo. Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi
  6. JamiiForums Tanzania Hongera sana Feisal Salum (fei toto), umeonyesha kwamba wewe ni mchezaji muhimu sana, na umeonyesha kwamba unapaswa ucheze kwa dk 80 ama 90

    Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo, ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10 Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
  7. JamiiForums Tanzania Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

    Hii habariya leo 6/01/2023 kutokea kwa kiboko ya mazayuni, Hezbollah imenifanya nicheke tu. Leo Hezbollah wameshambulia kambi ya anga yenye ndege na miundombinu ya kujihami angani kama vile "iron Dome" ya mazayuni. Cha kustuwa ni kuwa Hebollah wametumia aina 62 tofauti za missiles kwa muda...
  8. JamiiForums Tanzania Fei toto katoa Assists 2, Azam ikiua 3-0 kigoma

    Match ipo dakika ya 80 Magoli ya Azam yamefungwa na Kipre Jr Silla Allasane diao Kijana wetu bora Fei toto katoa Assist moja safi sana.
  9. JamiiForums Tanzania Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

    Katika matukio yasiyo ya kawaida Tanzania mojawapo ni kama hili lililotokea Morogoro. Nakuwachia mwenyewe ujionee nisitie yangu:
  10. JamiiForums Tanzania Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

    Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake. "Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyepandisha gharama za Toto Afya kadi ni muuaji. Magufuli tunamkubuka kwa hili

    Kama unatibiwa india. Au unatoka familia yenye ukwasi huwezi kujua mateso wanayopata watanzania wa kawaida.. Watu wanatumia mitishamba au kwenda kwa mwaposa badala ya kwenda hospital kukwepa gharama kubwa za matibabu. Uongo mkubwa wanakwambia mtoto chini ya miaka 5 anatibiwa bure. Hata kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Taarifa mpya ya NHIF kuhusu Toto Afya Kadi

    Ujue ukweli kuhusu Toto Afya Kadi.
  13. JamiiForums Tanzania Shangwe Ayo: Kuhusu Toto Afya Kadi, Serikali Isicheze na Afya Zetu

    Toto afya kadi au bima ya afya kwa wote; Serikali isitafute njia ya mkato kulinda afya zetu Utangulizi Katika mjadala unaoendelea nchini kuhusu hatima ya Toto Afya Kadi baada ya kauli za Serikali kusitisha huduma hiyo (iliyolewa mwezi Machi, 2023) na hivi karibuni kutangaza utaratibu mpya wa...
  14. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa na Daganya Toto kwenye ujenzi wa Vituo vya Mafuta

    Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba. Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo...
  15. JamiiForums Tanzania Uhuni hauwezi kumsaidia Fei Toto kuwa mchezaji mkubwa

    Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele. Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye...
  16. JamiiForums Tanzania Azam na Dhambi ya Fei Toto itakayowaandama

    Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting. Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli! Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI NHIF yarejesha utaratibu wa kusajili watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi

    Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
  18. JamiiForums Tanzania Wakala wa Wachezaji Jasmine Razaq: Kumtetea Kwangu Fei Toto kulisababisha nitishiwe kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa

    "Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
  19. JamiiForums Tanzania NHIF na Toto Afya kadi mashuleni hakuna msukomo wa usajili

    Salaam, Mh. Ummy Mwalimu mwaka 2017 pale mnazi mmoja alizindua Toto Afya kadi kwa lengo la kusajili watoto 10m kati ya 25m walio kuwepo wakati huo ili kunusuru afya za watoto wetu kabla ya maradhi. Kampeni hii ili ishia kushindwa kwa kusajili watoto +240k ambao michango yao ilikuwa si zaidi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

    Mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa #AzamFC, Feisal Salum (Fei Toto) amesema fedha ambazo alichangiwa wakati wa sakata lake la kimkataba dhidi ya #Yanga, atazipeleka Msikitini, Kanisani na kwa Watoto Yatima. “Namshukuru Rais Samia kwa kulimaliza hili jambo, nawashukuru viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…