toto

  1. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Feisal Salum (Fei Toto) kuhamia Azam

    Feisal Salum (Fei Toto) Ni swala la muda tu Yanga watatangaza kumalizana na Fei Toto na Azam kutangaza kumsajili. Nyumba atakayokwenda kukaa ipo katika hatua za mwisho za Furnishing. Nyumba ipo Oysterbay karibu na kwa makamo wa raisi. Hatimae dogo ataenda kulala akipulizwa na kipupwe cha...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Fei Toto Sasa kwa Hersi ni kulijambia jiwe

    Mwl wangu wa shule ya msingi alinichapia hadithi ya fisi, mfupa na jiwe. Alisema, siku moja fisi mwenye njaa Kali alikiona kitu cheupe mbali kabisa akidhani kuwa ulikuwa ni mfupa unaofaa kula na kuponya njaa yake kali. Pamoja na njaa yake alikimbia umbali mrefu kuufuata "mfupa" aliouona kwa...
  4. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    "niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu. "Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Eddo Kumwembe: Fei Toto alivyotua CAS kwa kasi isiyohitajika

    INACHOSHA lakini ndio hali halisi. Tunalazimika kumzungumzia Fei Toto, ingawa jana kulikuwa na mechi kubwa zaidi katika historia ya Tanzania iliyotazamiwa kucheza. Siwezi kumlaumu Fei. Haikuanzia kwake. Imeendel Soka la Tanzania lazima liwe na habari tofauti inayomhusu mtu mmoja ambayo...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

    Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS; === Picha: Feisal Salum (Fei Toto) Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao: Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
  7. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Miezi sita ya Fei Toto kucheza soka viunga vya TFF

    JINSI ambavyo maisha yanakwenda kasi. Niliwahi kusema mahala. Hatimaye tumefika Mei tukiwa na sakata la Fei Toto mkononi mwetu. Anaitwa mwanasoka lakini hachezi soka la ushindani tangu Desemba mwaka jana. Kwa sasa Fei amekuwa maarufu katika viunga za TFF kando yake akiwa na meneja wake pamoja...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Fei Toto tafadhali ufanyie sana Kazi huu Ushauri wangu mzuri na nakuomba Usiupuuze kabisa

    Mdogo wangu Feisal Salum ( Fei Toto ) leo GENTAMYCINE nimeamua kukupa Ushauri wangu kama ambavyo pia nilimpa Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra Jonas Mkude hakuufuata na sasa yamemkuta hadi anakwepa hata Kuonana nami. Fei Toto najua Sakata lako lote na labda leo niseme tu Ukweli kuwa Mpango...
  9. Mributz

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea ya Fei Toto huko TFF

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana Mei 4, 2023 ilisikiliza shauri la mchezaji Feisal Salum 'Feitoto' aliyewasilisha malalamiko akitaka kuvunja mkataba na waajiri wake Young Africans kupitia barua yake ya tarehe Machi 6, 2023. Baada ya...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Shauri la Feisal Salum 'Fei Toto' kusikilizwa leo TFF

    Picha: Feisal Salum 'Fei Toto' Shauri la FEISAL SALUM na YANGA SC linaenda kusikilizwa leo tarehe 04.05.2023 kupitia kamati ya sheria na hadhi za wachezaji. Taarifa kutoka ndani ya TFF zinaeleza shauri hili huenda litasikilizwa majira ya saa 10 alasiri. Sababu ikiwa ni mawakili wa Yanga SC...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga Haina ugomvi na Fei Toto, bali na Timu inayomtaka

    Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu. Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana kuweza kumuonea Faisal Salum. Yanga haitapendi kuua kipaji Cha mtoto Fei, LAKINi Yanga inafahamu...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Fei Toto aliomba kuvunja mkataba baada ya kuchoka manyanyaso

    Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
  13. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Kwa Fei Toto wa Stars wote tumevuna tulichopanda

    MECHI mbili zilizopita za Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alianzia benchi. Ilianzia pale Ismailia, Misri na Stars ilishinda na ikajirudia hapa Dar es Salaam, Stars iliondoka kichwa chini. Hakuna aliyeshangaa Fei kuwekwa benchi na Adel Amrouche, kocha mpya wa Stars. Watanzania wa leo wana...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Sakata la Fei toto likiisha itachukua muda Fei kurudi kwenye kiwango chake

    Salamu humu. Michuano ya kimataifa inayoendelea sasa hivi kwa Simba na Yanga ambayo inaangaliwa na afrika nzima ilikuwa ni sehemu muhimu Sana kwa dogo Fei kuonyesha dunia kiwango chake na kujipima yeye mwenyewe je anaweza kwenda kucheza kimataifa au abaki humu matopeni. Sijajua alikuwa na...
  15. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusiana na Suala la Feisal Toto na Kigugumizi cha TFF. Chama na Dickson Job wapo kwenye Rada

    Team ya Azam kwa sasa imekuwa chini ya Uangalizi wa mtoto wa Bakhresa anayeitwa Yusuf. Huyu kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya nchi. aliirudi ili aje aisimamie Azam Sports Club baada ya kuwa inasua sua. kwa muda mrefu Azam imekuwa chini ya walimu Wareno hawa wamekuwa wakisaka vipaji na kutoa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy atoa siku 14 kwa NHIF kukamilisha maboresho ya Toto Afya Kadi

    Waziri wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu ametoa wiki mbili (sawa na siku 14) akiuagiza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuhakikisha inarudi na mfumo rafiki kwa ajili ya kundi la watoto wa mwaka sifuri mpaka miaka 18. Ummy ameyasema hayo baada ya swali aliloulizwa na baadhi ya wachangiaji...
  17. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Maboresho katika utaratibu wa usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuutangazia Umma kuwa, unafanya maboresho ya utaratibu wa usajili na huduma kwa watoto waliokuwa wanasajiliwa kupitia utaratibu wa Bima ya Afya ya “TOTO AFYA KADI”...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa NHIF baada ya kusitisha huduma ya Bima ya TOTO AFYA KADI

    Pia soma: NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "Toto Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha
  19. J

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wadau wa JamiiForums juu ya kusitishwa kwa Bima ya TOTO AFYA KADI

    Mnamo Machi 13, 2023 NHIF ilitoa taarifa rasmi kutangaza kusitisha Huduma ya Toto Afya Kadi ili kupisha Maboresho ya huduma hiyo na kuwataka Wazazi kusajili Watoto kama Wategemezi kupitia Vifurushi vingine vya Bima ya Afya au Shule wanazosoma, soma: NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "Toto Afya...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Fei Toto aitwa Taifa Stars katika kikosi cha wachezaji 31

    Picha: Fesal Salum 'Fei Toto' Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda. Picha: Majina ya kikosi kilichoitwa Katika kikosi hicho cha wachezaji 31 kocha Amrouche amewaacha mabeki wa...
Back
Top Bottom