tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukosefu wa Mijadala ya Falsafa ya Maisha baina ya Waafrika Inanipa Wasiwasi Tofauti Yetu na Sokwe ni Kwamba Sisi Ni Sokwe Tuliochangamka

    Tangu nilipoanza kujitambua na kupitia misukosuko ya utu uzima, nimejikuta nikivutwa na hitaji la kutafakari maisha ya binadamu kiujumla — si kwa mtazamo wa mafanikio binafsi, bali kwa namna ambavyo maisha yetu yameumbika kama jamii, kama viumbe wenye akili. Maswali haya yamekuwa yakijirudia...
  2. R

    Yemen ina tofauti gani na ukuta usio na mlinzi ulioandikwa "usikojoe hapa" ? Inawezekanaje ndege 30 za Israel ziingie bila hata moja kuangushwa ?

    Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
  3. Tofauti ya salio halisi na salio lililopo NMB

    Wakuu habari zenu. Naomba kujua hela yangu halisi/iliyopo kwenye acc yangu ya Nmb ni ipi.Kuna gap kama la elfu 50 kati ya salio lililopo na salio halisi kwenye acc yangu ya NMB.
  4. Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

    Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara. Picha hizi hapa👇 Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇...
  5. Waislam wenye asili ya Zanzibar huwaona wakristo makafiri na maadui tofauti na waislam wabara ambao huwaona wakristo ni wenzao

    Niliwahi kuishi upareni nikakuta ndani ya familia kuna wakristo na waislam wanaishi vizuri tu. Nikaenda Zanzibar nikajiita Karim, nikapata wanawake wazuri sana, ila Walipogundua nina jina la kigalatiana walianza kunibagua japo kiuhalisia siendi msikitini wala kanisani Jijini Dar es salaam...
  6. Kwa nini Historia ya Tanzania kabla ya uhuru ina masimulizi mengi tofauti kwa jambo moja?

    Tanzania mambo ya miaka 1800's na 1900's unaweza kupewa historia moja ina versions(masimulizi) mawili au matatu tofauti kabisa! Kwa nini imekuwa hivi ikiwa inasemekana watu wengi wa pwani tayari walikuwa wanajua kuandika na kusoma enzi hizi? Ukienda Marekani Chuo kikuu cha Havard...
  7. Polisi hawapendi wanachofanya, tunawalaumu bure

    Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao Wote wanajibu...
  8. Hii ya kukamata raia na kuwatesa, kuwatupa mabwepande kwa makundi ni tulikua tunasoma kwenye utawala wa idd amini

    Haijawahi tokea, polisi wanakamata raia wasio na kosa kwa sababu za kutoelewana kwa chama tawala na upinzani, na kwa amri kutoka juu, kukamata badala ya kupeleka watu kituoni wakafunguliwe mashitaka unapeleka kuwa jeruhi kisha kuwatupa maporini. Ukatili wa aina hiyo tunausoma kwenye utawala wa...
  9. Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti

    TRA Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti. Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti kwa kila kada, lakini matokeo yake yamechanganywa. Kwa mtazamo wangu, hali hii inaweza kusababisha...
  10. Tofauti na jamii zingine za ndege, bata hajaongelewa hata kwa bahati mbaya kwenye biblia

    Huenda bata zamani hawakuwepo wameibuka siku hizi Kuanzia mwanzo hadi ufunuo hakuna mstari unaomtaja iwe kwa mazuri au mabaya
  11. Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini?

    Hili suala kusema ukweli linatokea si kwangu tu bali karibia kwa kila mwanamke analalamika "KUTOKOJOZWA" Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini? Wanawake mnatuacha na hamu vitandani au mnataka nani atumalizie hamu zetu. Wanaume wa siku hizi hamjui...
  12. X

    China na Marekani zinatumia mifumo tofauti ya kufanya hesabu za GDP. Kuna uwezekano mkubwa GDP ya China ni kubwa kuliko ya Marekani.

    Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama industrial production, mining, construction n.k minus imports. Na GDP ya China huwa haihesabu...
  13. Hivi mnaoexperience au mliowahi kuziishi hizi tofauti mtuambie iliwezekanaje?

    Hello Hivi mnaoexperience au mliowahi kuziishi hizi tofauti mtuambie iliwezekanaje na inawezekanaje, yaani nataka nijue ukawaida wake,. Yaani ile utakuta familia moja lakini watoto wanakwambia " sisi baba mmoja mama tofauti",. Au wengine " mama mmoja baba tofauti" au sisi wote tumbo moja...
  14. MDAU: Kwanini ni nadra kuona watu wakipeperusha bendera ya Palestina kwenye nchi za Uarabuni tofauti na wanavyofanya Ulaya au Marekani?

    Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya Kiislamu kama Dubai (UAE), Saudi Arabia, Qatar, na kwingineko, lakini wanafanya hivyo wakiwa nchi...
  15. PreGE2025 Bila kujali chama au cheo tofauti na Nyerere ni kiongozi gani nchini ana ueledi, unyenyekevu, uwajibikaji na utekelezaji?

    Bila kujal chama au rank, tofauti na nyerere ni kiongozi gan katika historia ya taifa letu anatik box za ueled, unyenyekevu, uwajibikaj na utekelezaji Moja ya kitu cha kishujaa niliwahi kuona ni pale Nyerere alipo admit makosa yako katika hii interview aliyofanya tena akihojiwa na mtu alie...
  16. S

    Kwa sasa Makanisa hayana tofauti na Kumbi za starehe

    Sijui kanisani ni mahala pa kutongozana!!! Unakuta binti kavaa skirt limembana makalio mpaka chupi inaonekana kabisa. Au Mabinti wanaenda kujiuza kanisani?
  17. Ijuwe tofauti ya kundi ukombozi vs kundi maslahi vs kundi chawa katika siasa za kidemokrasia Africa.

    Kuna aina tatu za Viongozi wa kisiasa Barani Afrika, ikiwemo Tanzania. 1. #KUNDI_UKOMBOZI: Aina ya kwanza ni viongozi watetezi wa nchi, ambapo kwenye kundi hili ndipo utawakuta watetezi wa rasilimali za kiuchumi za nchi, utawakuta watetezi wa utawala wa demokrasia, utawakuta watetezi wa haki na...
  18. L

    Tafakuri: Dhana moja tafsri tofauti pimeni kilicho bora kiutekelezaji

    Nimewasikiliza G55 kwa makini wana hoja za msingi wanazotoa na dhana nzima ya No Reform No election na changamoto za no election kama mkakati wa utekelezaji. Nimemsikiliza TL kuhusu dhana na utekelezaji wake. Kwa maoni yangu zao la utekelezaji limebuniwa na kuzalisha njia mbalimbali za kufikia...
  19. CHAMA CHA KIDEMOKRASIA KISIWE CHA KIDIKTETA KITAKUWA HAKINA TOFAUTI NA CCM

    Naomba kujuzwa mamlaka ya Lissu kutengua uongozi wa wanachama katika nyadhifa mbalimbali anapatia wapi kwa mujibu wa katiba ya chama ? Na je, chama kimetoa nafasi ya yeye kufanya hivyo pasipo wanachama kusikilizwa wala kujulishwa juu ya utenguzi wao umesababishwa na nini ?
  20. Tofauti ya Chuo, Collage na Institute

    Tanzania ina vyuo vikuu vichache mfano Udsm, Must , SAUT, KAMPALA, UDOM n. K College ziko ndani ya chuo mfano udsm ina CONAS ,CoECIT , COET,Vyuo vinaweza kuwa na campas udsm ina campus ya DUCE, MuchAS Institute sio vyuo vikuu DIT, IFM, CBE hivi ni vitivo vinahusika na fani za aina Moja pekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…