tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende. Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
  2. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Baada ya janabi kushinda naona taasisi za kiislamu zinampongeza tofauti na alivyoshinda ndungulile

    Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Je waumini wa dini zote mbinguni watachanganywa pepo moja, ama kutakuwa na Pepo tofauti kwa kila dini pepo yao peke yao ?

    Habari wadau. Naombeni msaada wa majibu. Je watu wa dini zote watakaotenda mema na kuingia peponi, watachanganywa pepo moja ama kila dini watakaa pepo yao peke yao. Je wataungana mbinguni kwenye pepo moja hata kama huku duniani hawataki kuungana ?
  4. FYATU

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya funzo adhabu na laana?.

    Kuna wakati kwenye maisha Mtu unakutana na mitihani mpaka unajaribu kujiuliza kama hiyo ni adhabu ya makosa uliyowahi kufanya, au ni funzo tu unapitia baada ya kutoka kwenye mstari au la ni laana ya Mtu au Watu uliowakosea kwenye harakati zako za maisha. Sasa mtihani unabaki namna ya kutambua...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Uongo tu ndiyo una matoleo tofauti!!

    Uongo wa kibiblia ndiyo wenye matoleo mengi sasa sijui Mungu aliendelea kuwashushia maono hao manabii wa toleo la kwanza hadi la mwisho la kibiblia hata walipokuwa tayari wamekufa ndiyo waliandika matoleo mapya. MWAFRIKA za kuambiwa changanya na za kwako!!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ulisikia maisha ni nafuu ila ulipofika ulikuta hali tofauti

    Mfano kusikia gharama za maisha ya mkoa flani zipo chini kumbe kuingiza hata pesa kidogo ni shida, Kusikia mkoa flani una mzunguko wa pesa kumbe kumbe maisha yapo juu mno
  7. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Fahamu tofauti kati ya mizigo(luggage) na kifurushi (parcel) ukisafiri na SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi wa aina gani ya mizigo abiria anayoruhusiwa kusafiri nayo katika mabehewa ya abiria ya SGR. Akitolea ufafanuzi huo Aprili 12, 2025 katika stesheni ya Magufuli Jijini Dar es Salaam, meneja wa Treni za abiria wa TRC Bw. Ringo Mboma...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya limao na ndimu ni ipi?

    Kuna tofauti gani ya limao na ndimu?
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti kati ya Mungu anavyotaka aaminiwe na Jinsi dini zetu zinavyotaka tuamaini

    Kumuamini Mungu ndio risk (kujihatarisha) kikubwa kuliko vyote KWA mwanadamu wa kawaida. Unamuamini Mungu kupitia maneno ya BIBLIA (wakristo). Na hautakiwi KUWA na ushahidi mwingine wowote wa hicho unachokiamini isipokuwa maneno hayo peke yake. Mfano. Ukisema huogopi, ushahidi wako uwe ni...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumuona Xi Jinping akizungumza tofauti na kuhutubia ni sawa na jogoo kutaga

    Huyu mtawala wa China huwa ni kama roboti fulani, sijawahi kumuona akizungumza na viongozi wenzake au akifanya mazungumzo na waandishi wa habari. Huko Kremlin, Moscow ameonekana kama anazungumza na Putin japo camera bado imeficha kiupande na sauti yake kufigishwa
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Injinia Hersi ana asili ya Clan ya Rahanwein kule Somalia, wanapenda vita, hakuna tofauti ya 'HATUCHEZI' na 'No Reform No Election"

    Kule Somalia kuna koo maarufu tano. Ila koo ya Rahanwein ni koo korofi, inapenda vita, ndio anayotoka injinia Hersi Said. Koo zingine ni Hewiye, Darod, Isaaq na Dir Nasikia anautaka na ubunge, tuwe makini. Hakuna tofauti ya Hatuchezi na No reform no erection,wote wanapimana ubavu. Wote ni...
  12. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Mijadala ya Falsafa ya Maisha baina ya Waafrika Inanipa Wasiwasi Tofauti Yetu na Sokwe ni Kwamba Sisi Ni Sokwe Tuliochangamka

    Tangu nilipoanza kujitambua na kupitia misukosuko ya utu uzima, nimejikuta nikivutwa na hitaji la kutafakari maisha ya binadamu kiujumla — si kwa mtazamo wa mafanikio binafsi, bali kwa namna ambavyo maisha yetu yameumbika kama jamii, kama viumbe wenye akili. Maswali haya yamekuwa yakijirudia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Yemen ina tofauti gani na ukuta usio na mlinzi ulioandikwa "usikojoe hapa" ? Inawezekanaje ndege 30 za Israel ziingie bila hata moja kuangushwa ?

    Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
  14. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya salio halisi na salio lililopo NMB

    Wakuu habari zenu. Naomba kujua hela yangu halisi/iliyopo kwenye acc yangu ya Nmb ni ipi.Kuna gap kama la elfu 50 kati ya salio lililopo na salio halisi kwenye acc yangu ya NMB.
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

    Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara. Picha hizi hapa👇 Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Waislam wenye asili ya Zanzibar huwaona wakristo makafiri na maadui tofauti na waislam wabara ambao huwaona wakristo ni wenzao

    Niliwahi kuishi upareni nikakuta ndani ya familia kuna wakristo na waislam wanaishi vizuri tu. Nikaenda Zanzibar nikajiita Karim, nikapata wanawake wazuri sana, ila Walipogundua nina jina la kigalatiana walianza kunibagua japo kiuhalisia siendi msikitini wala kanisani Jijini Dar es salaam...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Historia ya Tanzania kabla ya uhuru ina masimulizi mengi tofauti kwa jambo moja?

    Tanzania mambo ya miaka 1800's na 1900's unaweza kupewa historia moja ina versions(masimulizi) mawili au matatu tofauti kabisa! Kwa nini imekuwa hivi ikiwa inasemekana watu wengi wa pwani tayari walikuwa wanajua kuandika na kusoma enzi hizi? Ukienda Marekani Chuo kikuu cha Havard...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Polisi hawapendi wanachofanya, tunawalaumu bure

    Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao Wote wanajibu...
  19. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hii ya kukamata raia na kuwatesa, kuwatupa mabwepande kwa makundi ni tulikua tunasoma kwenye utawala wa idd amini

    Haijawahi tokea, polisi wanakamata raia wasio na kosa kwa sababu za kutoelewana kwa chama tawala na upinzani, na kwa amri kutoka juu, kukamata badala ya kupeleka watu kituoni wakafunguliwe mashitaka unapeleka kuwa jeruhi kisha kuwatupa maporini. Ukatili wa aina hiyo tunausoma kwenye utawala wa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti

    TRA Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti. Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti kwa kila kada, lakini matokeo yake yamechanganywa. Kwa mtazamo wangu, hali hii inaweza kusababisha...
Back
Top Bottom