tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya fedha na utajiri

    Utangulizi Watu wengi wanachanganya fedha na utajiri wakifikiria ni kitu kimoja,lakin ukwel ni kwamba mtu anaweza kuwa na fedha lakin asiwe tajiri. Tofauti kati ya fedha na utajiri Fedha ni kiasi cha pesa mtu ambacho anatumia kila siku kwa mahitaji mbalimbal,lakin utajiri ni jumla ya vitu...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Nimebolt Bajaj kutoka Aiport Dar to Lugalo nauli imekuja tofauti

    Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo...
  3. JamiiForums Tanzania Big up kwa member hamis77 kwa michango yenye facts na mantic

    hamis77 ni baadhi ya great thinkers wachache waliobaki JF Endelea kushusha nondo ndugu Kama vile hapo chini naona comments za "unajipongeza mwenyewe"😂😂😂
  4. JamiiForums Tanzania Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Nimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo. Haya yanajiri wiki...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa taarifa tu mkude ndie mchezaji pekee ataagwa na timu mbili tofauti kwa heshima..Simba day na wananchi day

    KILA.LA KHERI MWAMBA ULIITENDEA HAKI TATHNIA YA MPIRA ALL DBEST NIONGEZE SAUTI AMAA.???
  7. JamiiForums Tanzania Je, mmea wa Bangi unapuuzwa na kuwaziwa tofauti?

    Habari Tanzania ! Naomba kuwauliza wataalamu wa mambo ya afya hasa mwili; Je, ni kweli mmea aina ya Bangi unatibu kabisa mambo yafuatayo; 1. Kansa aina yoyote? 2. Punguza maumivu aidha makali au sugu? 3. Kuchechea hamu ya kula? Karibu.
  8. JamiiForums Tanzania PICHA: Watoto wa Arnold Wamelelewa tofauti, mmoja kalelewa na baba yake mwingine na mama yake. Ona tofauti hapa

    Uzi tayari. Hitimisho: Single maza ndio chanzo cha kupoteza masculinity ya watoto wa kiume.
  9. JamiiForums Tanzania Misamaha miwili yenye uzito tofauti

    Kwanza uungwana ni vitendo.. Na kujishusha ni kuonesha ukomavu wa akili.. Lakini vilevile kutubu ni kuonesha majuto na kujirudi kulikojaa tafakuri Lakini yote hayo huwa na maana ama hukosa maana kama yamefanyika kwa kushurutishwa ama kulazimishwa.. Kama mlengwa ni mtu mmoja ama ni jamii Job...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya 2015 na 2025 ni vigumu kudanganya

    Tofauti ya 2015 na 2025 ni vigumu kudanganya. Kila mtu anajua ujanja wote wa wizi wa kura, kila mtu anajua viongozi wa uchaguzi, kila mtu anajua ACT Wazalendo na Chaumma ni pandikizi. Hii ndiyo tofauti ya 2015 na 2025. Huwezi kutumia uongo uleule ukafanikiwa kwa technologia hii. Mama anapata...
  11. JamiiForums Tanzania Muziki ni haram, wasema masheikh tofauti

    Duh, juzi ilikua kwamba hairuhusiwi kucheka sana kwenye uislamu, kumbe hata muziki ni haram, unapaswa mnuniane tu maisha yaende. Hawa hapa masheikh, sio maneno yangu.... https://www.tiktok.com/@thestrangersstudio/video/7398064026569231633 https://www.facebook.com/reel/640280608424626...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini ipo hivi, yaani unakuta hii inajulikana kabisa kwamba ipo hivi alafu inakua vile au mawazo yangu ni tofauti sana?

    Kipindi kile nilipenda sana somo la geographia, yaani baada ya kujua kusoma bwinde uko kijijini basi mwalimu yule aliefundisha somo la maarifa ya jamii hakika alinivutia sana. Yule mwamba alikua na story nyingi sana katika kusoma. Mara Dunia ina mabara saba, mara mto mrefu kuliko yote Dunian...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania tunajua ni kwanini Samia anasisitiza awamu nyingine kwa tofauti na wenzake?

    Wadau Ninaomba tujadiliane hapa! Mama SSH aliingia awamu moja na Magu na akatumikia kipindi cha kwanza kama makamu wa rais na kipindi cha pili (miezi minne) kama rais. Jumla ni vipindi viwili! Tumejifunza hata kama Magu asingefariki kiutamaduni wa Chama huyu hakutakiwa kurudi kugombea! Tulianza...
  15. JamiiForums Tanzania Public reception ya Mpina imekuwa tofauti na matarajio

    Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR na Lowassa kuhamia CHADEMA. Hawa walipohama walihama na wanachama wa CCM na viongozi wao na jamii...
  16. JamiiForums Tanzania Nini Tofauti ya Home Theatre na Sond Bar?

    Wa Salaam ndugu.kuna hawa waarabu wanapita na magari mashuleni. Wameniuzia home Thearte ya watts 210 ila napenda kujua tofauti ya Sound Bar na Home Theatre. Walinianzia 550,000 ila wakanipa kwa 500,000. Niliipenda ilivyo.
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 2025 Timinga ya Tanzania ku experience uongozi wa Chama tofauti

    Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi! Sababu ziko wazi kabisa 1. Wananchi wameelimika zaidi 2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi 3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Lukuvi ashinda kwa kwa tofauti ya kura 4,587 Ismani

    Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi, ameibuka mshindi wa kishindo katika mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge wa jimbo hilo, akiwashinda wagombea wenzake kwa tofauti kubwa ya kura. Huku wananchi wa Kihorogota na...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini MAISHA ya sasa yamepoteza ladha tofauti na zamani

    Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless. Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have...
  20. JamiiForums Tanzania KUWA WA TOFAUTI MTAANI ,3BEDROOMS ON SMALL PLOT (15X30M) UNIQUE DESIGN CALL US FOR SERVICE +255624004650

    UNAWAZO LA KUANZA UJENZI KARIBU TUKUFANYIE UNIQUE DESIGN YA KWAKO PEKE YAKO 3BEDROOMS KALI SANA CALL/WHATSAP +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…