tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi uandishi wa habari Tanzania ni tofauti ma nchi nyingine? Kazi hasa ni zipi?

    Kwa wataalamu wa mambo ya sanaa pamoja na sayansi ya uandishi wa habari napenda mtujulishe kazi zao zina mipaka kiasi gani kwa viongozi wa nchi? Habari zinazoandikwa na kuripotiwa ni zile zinazojitokeza zenyewe tu by nature hakuna habari za uchunguzi za kisiasa. wanachunguza mambo ya afya za...
  2. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

    Naibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo wazifanye kama wasaidizi wa Rais wa Jamhuri wa Muungano na si vinginevyo. Kuhusu Bunge, amesema kuna watu...
  3. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu maana ya Hisa na Authorised Share Capital?

    Kama umewahi au unamiliki kampuni basi maneno yafuatayo yatakuwepo katika msamiati wa maneno yako Share Capital, Authorized Share Capital, Paid up and issued shares. Maneno mengine ambayo utakuwa unayafahamu ni pamoja na maneno kama Limited Liability, n.k. Kupata maana ya maneno haya ni rahisi...
  4. JamiiForums Tanzania Sikukuu za Krismasi za zamani ni tofauti na za sasa hivi

    Nakumbuka zamani Christmas ilikua sikukuu kubwa kuliko hata mwaka mpya kwa familia yangu.. ilikua inasherehekewa kwa namna ya kipekee sana kwanza Christmas ilikua ni lazima siku hio mvua inyeshe so inakua na theme ya ubaridi mvua na matope. Lakini sidhani kama hio kitu bado ipo. Zamani...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kimaisha Kati ya krismas ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita?

    Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita kiuchumi nk.tupe mtazamo wako ulivyo hapo ulipo.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Balozi mpya wa China nchini Marekani aonesha tofauti ya uongozi wa busara kati yake na mwenzake wa Marekani

    Ushindani mkubwa kati ya Marekani na China umekuwa ukifukuta na kuatiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Mtazamo hasi wa Marekani dhidi ya China unajidhihirisha wazi zaidi katika kipindi hiki, kwani Marekani bila aibu wala kificho imekuwa ikiishambulia hadharani kwa maneno na kuinyooshea...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wengi wa Redio na Runinga Tanzania wanapenda kuishi 'Fake Life' tofauti na wale 'Wagumu Asilia' wa Magazeti?

    Na hata ukiwachunguza tu wa Redio na Runinga wengi wao ndiyo wanaongoza kwa Kupenda 'Kulelewa' na 'Mijimama', Wana Tamaa za Kipopoma ( Kipumbavu ), Wanafiki, Waongo, Wala Rushwa na wapenda Michongo sana, Wafitini na Wadangaji wengi utawakuta huko na hata ukitafuta 'walioathirika' na Gitaa pendwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tofauti ya wahuni na wazalendo/wanamapinduzi kuongoza wizara

    Utasikia 'rea kuna utapeli mwingi ukome mara moja. Kazi hazikamiliki vifaa vinaibiwa. Kampuni hizo zisipewe tena kazi' 😂😂. Usanii mtupu akisema hivyo ndio imetoka. Wananchi wanahitaji mawaziri wenye uchungu wanachukua hatua. Kwanza kutolea maelezo kinagaubanga mapungufu na hatua za papo kwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wabobezi wa sheria tunaomba tafsiri ya kisheria tofauti ya mtuhumiwa kufutiwa mashitaka na mtuhumiwa kusamehewa mashitaka..

    1.Wabobezi Wa sheria naomba mtupe tafsiri kati ya kusamehewa mashtaka na kufutiwa mashtaka.... 2.Kati ya kusahewa mashtaka na kufutiwa mashtaka ni njia ipi inamsafisha mtuhumiwa mbele ya macho ya jamii.... 3.Ni njia gani ya kuondolewa mashitaka inamtofautisha mtuhumiwa alietenda kosa na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini Maana Na Tofauti ya Akili, Nafsi na Roho?

    Naomba msaada kwa mwenye uelewa anisaidie (Kwa lugha rahisi) kuelezea maana na tofauti ya maneno haya (Akili, Nafsi na Roho). Ikiwezekana kwa mifano halisi au kama kuna vitabu au tovuti ambayo inaweza kuelezea kwa kina dhana hizi za Akili, Nafsi na Roho. Nimeyasikia maneno haya mara kadhaa...
  11. JamiiForums Tanzania Unasaidia wengi kujikwamua kiuchumi na wengi juu it’s majina tofauti, wengine wanaita mchezo, upatikanaji, kibati..

    Faida yake kubwa ni kuwa haina riba, tofauti na mkopo wa benki. Unafundisha nidhamu ya kuweka pesa. Ni watu wengi wanaucheza katika viwango tofauti. Kuna wapika maandazi na vitumbua, au wenye biashara ndogo ndogo, huwekeana kiasi cha kukusanya kila siku, wengi hukusanya faida ya siku. Hii...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania haikuwa colony bali protectorate chini ya muingereza. Nini tofauti ya colony na protectorate?

    Baada ya vita ya kwanza ya dunia, league of nations wakaiweka Tanzania kuwa protectorate chini ya muingereza. Sasa kuwa namna hii na kuwa koloni kama zilivyokuwa Kenya na Uganda kuna tofauti gani? Nini faida tulizopata na hasara tulizopata ukilinganisha na makoloni kama Uganda na Kenya?
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia; Azingatie bodi mbili tofauti kuendesha TPA na napendekeza "two tier board of directors"

    Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Kwanza pole na majukumu makubwa ya kuongoza taifa hili, au nchi hii na bila shaka umethibitisha kwamba nchi hii ni ngumu. Moja ya mambo mazito yanoisumbua nchi hii ni uwajibikaji na baadhi ya wananchi kupenda kupata bila jasho au kupiga kama ambavyo...
  14. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Nauli Air Tanzania Dar to Kenya

    Mwenye experience ya Kusafiri na Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi Kenya, Naona utofauti wa Nauli kati ya TWIGA BASIC na TWIGA BUSINESS ni MKUBWA SANA. Naomba Kujua kuna nini katika TWIGA BUSINESS ambacho hakipatikani katika TWIGA BASIC?
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe; Umejifunza nini kipya?

    Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwafirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gape ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kufanana na Kutofautiana kwa Barua ya Ling'wenya na DR ya Msemwa

    Kesho ni kesho asiye na mwana na akaeleke jiwe. Kesho Mh. Jaji Tiganga atatoa hukumu yake kuihusu barua ya Mohammed Ling'wenya. Kama ilivyokuwa kwa DR na shahidi Jumanne, ilipingwa mahakamani. Hukumu ya Jaji ikaonyesha nini kilitakiwa kifanyike ili iweze kukubalika. Bila ya ajizi WS Chavula...
  17. JamiiForums Tanzania Hayawi sasa yamekuwa: Nedy Music na mwonekano wa tofauti ndani ya gauni la kike

    Said Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi sijawasikia muda katika Vyombo vya Habari tofauti na kipindi cha nyuma. Wewe umemkumbuka nani?

    Awamu ya 5 kuna viongozi waliwika sana hasa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao mbali mbali ya kijamii ambao haipiti siku bila kuwaona au kuwasikia ila kwa sasa imekuwa tofauti wapo kimya mpaka kuona kama awapo katika awamu hii ya 6. Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi...
  19. JamiiForums Tanzania DAWASCO ina aina tofauti za mita au mita zote zinafanana kwa matumizi?

    Nimekua nikipata tatizo la bili ya maji kuongezeka sana kias kwamba ninapata waswas maana tangu nibadilishiwe mita iliyokuwa imefubaa haisomeki vzuri, sahiz bili ya maji inakuja kubwa mpaka natamani irudishwe ya awali. Kama kuna mtu ana uelewa anijuze hizi mita zina utofauti upi isijekuwa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme nchini na matamko 4 tofauti ya Serikali

    1) Mheshimiwa Waziri wa Nishati January Makambaanadai kwamba: a) Tatizo la Mgao wa Umeme limesababishwa na Uchakavu wa Miundombinu ambayo haijafanyiwa Matengenezo kwa miaka 5!! b) Tanesco hawajafanya Matengenezo katika kipindi kilichopita cha miaka 5 (soma: Awamu ya 5) kwa sababu eti kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…