Leo ni krismasi kwa mataifa kadhaa duniani, yakiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Mamilioni ya Wakristo wa dhehebu la Orthodox husheherekea Krismasi Januari 7, badala ya Disemba 25, iliyozoeleka na wengi. Unaweza kuiita Krismasi ya Orthodox.
Ni sikukuu inayopewa heshima kubwa kwa baadhi ya...