tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kauli zinazotolewa na CCM azichukuliwagi hatua tofauti zile zinazotolewa na upinzani

    Dokta silahaa alitoa kauli kuhusu hoja yake lakini jeshi la polisi liliwahi kumkamata sababu ya kauli. Zipo kauli nyingi ambazo vyama pinzani utoa lakini ni za kujenga hoja na kukosoa pale serikali na chama kilichopo madarakani zitakapo kuwa zimekosea. Kitendo cha Amos makala kutoa kauli...
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya baking powder na hamira?

    Wadau naomba msaada juu ya vitu hivyo
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kiburi Cha Karia pale TFF hana tofauti na Malinzi kinarudisha soka la Tanzania nyuma.

    Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi. Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
  4. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

    "JF member" na "senior member" ni maneno yanayotumika sana katika muktadha wa majadiliano ya mtandaoni, haswa kwenye jukwaa la JamiiForums (JF). Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: * JF Member: * Hii ni neno la jumla linalorejelea mtu yeyote aliyesajiliwa na anayeshiriki kwenye...
  5. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

    Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera. Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao...
  6. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Marekani hawajali maadili (Porno Industry) ila Mungu anawapa hela nyingi tofauti na Tanzania inayozingatia sana maadili??

    Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela Marekani waliokosa maadili na kuamua kuwaacha raia wake wacheze picha za utupu. Huyo dada hapo chini ni...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasukuma huwa hawalii misibani tofauti na majirani zao wajita na wahaya?

    Wiki iliyopita nilikuwa Magu Masanza kona kuna msiba mzito,baba wa mji aneaga dunia,Nzengo yote iko pale marehemu ameacha mke na watoto na wajukuu. Kilichonishangaza msiba mzima waliokuwa wakilia hawazidi wanne,tena hata katika nyakati ngumu za kuaga na kuzika.,Mtoto wa marehemu yuko bize na...
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya Muhimbili na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

    Haya majina mawili yachanganya watu, huenda kupitia hapa wengi wanaweza kujifunza jambo. Kwamfano nimeiona hii👇
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sifa za kusifika kimapato tofauti na miundo mbinu iliyomo.

    Kuna wilaya utasikia inasifika kimapato mpaka kuwa kinara ila yaliyomo ndio unaweza kuangua kicheko. Mapato yanayo kusanywa tofauti na miundo mbinu iliyopo. Kuna mada hapa JF imetolewa kuhusu wepo wa viwanda vingi na ufinyu wa barabara. Viwanda vinaweza kuwa na mapato makubwa ya wilaya lakini...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kusema mtumba sio nguo za mdosho sawa na kusema udi sio dawa ya kufukuza mbu

    Wiki zilizopita nili nunua viatu vya kichina ikatokea vikapotea mazingira ambayo ni uzembe wangu.Kwa vile nilipo mji ni mdogo nikashangaa kuulizia na alama niliyo gundua kuwa niliweka mimi nikaambiwa ni mtumba vinadumu. Hivi kwa nini watu wanaamini kilicho tumika kinadumu wakati kinaweza kuwa...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya malaya wa ngono na wa kiasiasa?

    Japo malaya ni malaya, je kuna tofauti kati ya malaya wa ngono na siasa? Malaya wa ngono husababisha umaskini na miwaya. Wa kisiasa nao pia husababisha umaskini na uchawa. Je kuna uhusiano au tofauti gani kati ya malaya hawa aina mbili?
  13. The black panther

    JamiiForums Tanzania Ni kweli embassy ni zero nikotini tofauti na sigara zingine?

    Wakubwa kwema!,jamani Mimi nilikua nauliza je Kuna ukweli wowote kwamba sigara aina ya embassy imetengenezwa Kwa kiwango cha juu kidogo kulikoni hizi sigara zingine,maana nilimsikia mzee mmoja alisema kwamba emmbacy ni zero nikotini tofauti na sigara nyingine kwahiyo ni salama kidogo je Kuna...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nini TOFAUTI ya njugu na njugu mawe?

    Nazozijua Mimi ni njugu ndo nimezizoea ila mtandaoni naona Tena Kuna kitu kinaitwa njugu mawe na kwa English ni almonds wakati njugu zenyewe za kawaida kwa English zinasomeka nuts..na Tena eti wakadai hata karanga ni aina ya njugu.hii imekaaje watalaam naona kama sielewi.
  15. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 35% tu ya kipato Cha mwanaume kinafika nyumbani tofauti na 90% ya Mwanamke

    Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake. Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Ipi tofauti ya kozi hizi??

    Habarini wana jf,hamjambo? Kama kilivyo kichwa cha habari,naamini humu kuna wajuzi wengi wa elimu mbalimbali,ni kwamba jambo hili limekuwa likinikereketa kwa mda mrefu sasa,ni hivi huwa najiuliza (uenda kulingana na uelewa wangu),hizi kozi au fani mfano uhasibu,finance,uchumi,hivi...
  17. Faana

    JamiiForums Tanzania Askari wa Burundi aelezea tofauti kati ya ushirikiano wa Burundi na Tanzania na ule wa Burundi na Rwanda

    Askari wa Burundi aelezea tofauti kati ya ushirikiano wa Burundi na Tanzania na ule wa Burundi na Rwanda. Akielezea jambo hilo askari huyo kutoka Burundi amesema kwamba askari wa Tanzania wanashirikiana na askari wa Burundi kuwakamata majambazi wanaofanya uhalifu Burundi na kukimbilia Tanzania...
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya domain ya .tz na .co.tz

    Tofauti Kati ya .tz na .co.tz Domain: Ulinganisho na Uchambuzi Tanzania ina mfumo wake wa domain inayosimamiwa na Tanzania Network Information Centre (tzNIC). Kupitia mfumo huu, biashara na taasisi zinaweza kupata utambulisho wa mtandaoni kupitia domain ya kitaifa. Tofauti kati ya .tz na .co.tz...
  19. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya .tz na .co.tz domain?

    Mfano domain iwe xyz.tz na xyz.co.tz .tz gharama ni 100,000 kwa mwaka na .co.tz ni 25,000! Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz? Nataka sajili domain naomba mawazo..
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wakatoliki, mliwafanyaje wasabato? Malizeni tofauti zenu.

    Kuna sehemu niliwahi kukaa jirani na kanisa la wasabato. Almost 80 % ya mahubiri niliyokuwa nayasikia ni kuwaponda wakatoliki. Kwamba wao ndio yule joka kuu, mara mwanamke yule kahaba mkuu aliyezini na wafalme wa dunia. Mara papa ni king wa freemason . Wakawa wanadai kwamba wakatoliki wanaabudu...
Back
Top Bottom