timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Madini tuma timu ifuatilie utendaji wa Kampuni ya Madini Musoma Vijijini inanyanyasa Wafanyakazi

    Ombi kwa Waziri wa Madini kuna kampuni ya uchimbaji dhahabu ipo Musoma Vijijini, Kijiji cha Kwitope inaitwa GDM, haitendi haki kwa sisi wafanyakazi, mshahara ni shida, mikataba ya ujanja, mtu hapewi stahiki zake kwa wakati akiondolewa kazini. Pia kuna kauli mbovu kwa wafanyakazi, watumishi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna timu kutoka Tanzania itakayovuka

    Ile damu iliopo ardhini bado inalia mpaka itendewe haki ndio mambo yatatulia. Na mwakani mwendo ndio huuhuu 👽 AZAM OUT 👽SIMBA OUT 👽YANGA (CCM DEPARTMENT OF SPORTS) OUT
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda speed sana, Leo hii Simba ni wa kuvimba na kujisifu kwa kuinyanyasa timu inayoshika mkia ligi kuu ?

    Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya. Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda: Serikali yampitisha Gamondi timu ya Taifa

    #onemediaupdates🇹🇿 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake aliouonyesha kwenye Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 iliyofanyika...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini familia ya Dewji imegandamana na timu ya Simba?

    Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao. Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha...
  6. JamiiForums Tanzania Mtanzania Joseph Jr Michael asajiliwa na timu ya Vijana ya Celta Vigo ya Hispania

    Kijana wa Kitanzania, Joseph Jr Michael (JJ), amepiga hatua kubwa baada ya kusajiliwa na klabu ya Celta Vigo nchini Hispania kwenye timu ya vijana (Juvenil B) kupitia dirisha dogo la usajili la Januari 2026. JJ mwenye umri wa miaka 18 anayecheza nafasi ya mlinzi wa kati, amejiunga akitokea...
  7. JamiiForums Tanzania Tukatate timu siyo tume ya Samia ya malazimishano na maridhishano yaitwayo maridhiano

    Kichwa cha habari kiko wazi. Timu hii ya wazee wa hovyo haina maslahi ya nchi bali ya. muuaji mmoja aliyewateua. Ni aibu hadi sasa wanaamua kufanya uchunguzi kwa siri. Kwanini siri? Wanaficha nini? Na kwanini?
  8. JamiiForums Tanzania Timu yangu Simba,mkitoboa hapa kwenda robo rasmi nitaamini kweli mpira ni wa duara na hauna pembe.

    Japo mpira una dunda me ndo nataka nione huo mpira unavyodunda kwenye makundi kwamba mnyama aende Robo kama kawaida yake.
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini CAF haiwazuii mashabiki wa timu za Africa kaskazini kumulika wachezaji kwa lasers?

    Huu ujinga ni aibu sana kwa watu waliostaarabika. Wanawaogopa au ni nini?
  10. JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania AFCON: Kuruhusu timu moja inunue tiketi zote ni hujuma.

    NI mara ya pili mfululizo timu zinazopambana na mwemyeji wa AFCON 2025 Morocco kulalamika mashabiki wake kunyimwa tiketi huku wenyeji wakitamba kununua tiketi zote. Inajulikana soka ni biashara, lakini soka ni burudani na burudani inakamilishwa na watu. Inakuwaje timu moja Kwa Kisingizio cha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi Timu inapokea kipigo cha sita mfululizo viongozi wanachukulia poa tu Timu inaendeshwa kwa email badala ya...
  13. JamiiForums Tanzania SIJAWAHI kuona timu MBOVU afrika na duniani kama morocco

    Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo. Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa mali amepewa rushwa na kwa mpira huo mbovu wa kubebwa basi nitamke wazi kua Senegal wanabeba kombe hili...
  14. JamiiForums Tanzania Nawaombea sana moja kati ya timu za kiarabu ichukue AFCON, kila la kheri kwenu

    Nawaombea sana ndugu zangu waislamu wa Afrika ya kaskazini mmoja aibuke na ushindi/kombe. Morocco Algeria Egypt Tunisia Sudan Senegal Especially hao wa juu mmoja aibuke mshindi na wawakate midomo haters, maana kuna watu weusi hawawapendi waarabu, mara utasikia wanabebwa, mara wanajiangusha...
  15. JamiiForums Tanzania Jezi za Zamani na timu zisizojulikana zinatamba mno mitaani

    Siku hizi bongo naona watu wengi wameingiwa ugonjwa wa kupenda jezi za Zamani na zinatamba sana , viwandani wanazitengeneza kwa material ya kisasa kiasi ambacho zitatoka Bomba sana . Mfano jezi ya Man U sharp zipo kila kona , Arsenal JVC za njano , Barcelona , Liverpool, Man city nk. Brazil...
  16. JamiiForums Tanzania Vituko AFCON: Timu ya Cameroon yaita vikosi viwili tofauti, kimoja cha kocha aliyetimuliwa, kingine kaita Etoo kama Rais wa Shirikisho

    Afrika kivyetu vyetu. Huko Cameroon kuna vituko vinaendelea kwa timu yao ya taifa. Kocha wa timu hiyo Marc Bris, aliyefukuzwa kazi na Samuel Etoo amegoma kuachia ngazi baada ya kusikika akisema kuwa yeye ameajiriwa na Wizara ya Michezo ya Cameroon na sio Etoo. Akaenda mbali zaidi akatangaza...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Sasa hivi duniani hamna timu Bora kama Arsenal

    Hamtaki kusema ukweli hii ndio timu Bora duniani imagine imecheza games 3 kubwa wiki Moja na imepata point 7 muhimu gunner to the world
  18. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa mchambuzi wa Azam na ana youtube channeli yake IBRAHIM RAHBY uchambuzi wake ni wachumbuzi wa mpira wenye mahaba na timu zao.

    Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Namshauri Samia amteue hata Abduli ili timu ikamilike

    Kwa unyenyekevu, napenda kumshauri rais Samia, awateue Abduli na Salima Kiwete ili timu ya wateule ikamilike. Wewe unashaurije huu ufalme mpya wa Tanzania.
  20. JamiiForums Tanzania Hizi timu za Kariakoo ni shida tupu ila ni kama uraibu wa dawa za kulevya kwa wabongo wengi

    Kuna taarifa kwamba kuna vijana wengi wa academy ya mpira huko Mwanza waliuuwawa kikatili sana katika machufuko ya October 29 lakini hii timu haikuona hiyo ni habari na badala yake wamejikita katika taarifa za mbibi mmoja huko Botswana aliyefariki kwa kifo cha kawaida tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…