Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake.
Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
Mahakama Kuu ya Kampala nchini Uganda imekataa ombi la Dkt. Kizza Besigye na Obeid Lutale la kurejesha mawakili Martha Karua na Erias Lukwago katika timu yao ya utetezi.
Jaji Simon Peter Kinobe, katika uamuzi wa kurasa 42 uliotolewa Jumanne, amesema kuondolewa kwa Karua nchini Uganda na...
Miaka 33 mpka sasa lakini leo Karudisha viungo wote darasani, kaanza ngoma kakimbia kaja DAMARO kakimbi kaja DUKE, MUDA, na CASSEMIRO hao wataenda kulala na viatu mtaalamu alizima kelele mjini
Kamwe hii timu yangu haiwezi chukua ubingwa mbele ya timu ya Yanga, wana malengo mabaya sana , hatuna plan na tuna matajiri oya oya na viongozi wahuni takataka🚮
Note ..endeleeni kushabikia matajiri wajinga kwenye soka, viva epl clubs✔
Katika historia ya harakati za ukombozi wa Tanganyika, kabla ya TANU kupewa mamlaka ya kuongoza nchi na baadaye kubadilika kuwa CCM, chama hicho kilikuwa kinapigania ukombozi dhidi ya wakoloni weupe.
utawala wa kikoloni ulitafsiri harakati hizo kama tishio kwa utulivu wa kisiasa na hivyo kuweka...
Ni ukweli usiopingika kwamba kwasasa Riadha imekua. Ukuaji huu kwa umetokana na mazingira rafiki yaliowekwa na serikali hususani kupitia taasisi mbalimbali zikiwemo majeshi kwa kuajiri wana riadha ambao hawana kazi ingine yoyote zaiid ya kukimbia, na uboreshaji wa miundombinu mbalimbali na...
Ndani sintofahamu na mivutano ya kiutendaji imekuwa mingi katika Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu ambayo inasimamiwa na Jumuiya ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya Uyumbu (WMA) Wilayani Urambo, Tabora.
Kwa ufupi kuna matumizi mabaya ya madaraka na uingiliaji wa majukumu ya taasisi hiyo unaofanywa na...
Anonymous
Thread
hifadhi
mfukoni
mwekezaji
rais
tabora
timu
viongozi
wananchi
wanyamapori
watendaji
Ni demokrasia kweli kwenye michezo, lakini timu inayoshinda kocha haipangui bila sababu za msingi.
Naogopa kuibadilisha safu ya uongozi wa Yanga uliotutelea makombe kwa miaka 5 mfululizo, maana present is known and secure.
Tusije tungaingiza migogoro ndani kwa mikono yetu wenyewe.
1-Uhispania ni moja ya timu ninayoipenda na kuishabikia, na ligi yao vile vile nimetokea kuipenda sana, pia ni shabiki wa Barcelona....
2-Argentina ni first team kuipenda na kuishabikia, tena kitambo haswaa..
3-Morocco the second team kuipenda na kuishabikia, haijalishi wametolewa...
Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo.
Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi.
R.I.P Jayden Adams
For English Speakers
South...
Katika vitu ambavyo huwa sijawahi kuvielewa ni mtu wa kawaida tena mvuja jasho tu kufunga safari kwenda kwenye maandamano ya timu ya mpira au paredi akitumia muda wake na gharama zake mwenyewe,
Sijawahi kuelewa wanafaidika nini na maandamano kama hayo, michezo kuna namna fulani huwa inawafanya...
Ukiangalia ligi ya Tanzania kuna vituko sana na moja ya kituko ni mtu anakuambia simba ni timu bora na imeonewa na marefa ndo sababu ya kutokuchukua kombe ebu tuangalie takwimu zifuatazo
Timu iliyotoa mfungaji bora sio simba
Timu iliyotoa top assist sio simba
Timu iliyofunga magoli mengi sio...
Mapacha wanaofanana, Hossam na Ibrahim Hassan, wanaandika ukurasa mpya wa kihistoria katika soka la Misri. Sasa wakiwa kama kocha mkuu na mkurugenzi wa timu, ndugu hawa wameiongoza timu ya taifa ya 'Pharaohs' kupata ushindi wao mkubwa na wa kwanza kabisa katika michuano ya Kombe la Dunia, na...
Baada ya kufanya research Kwa muda mrefu nimekuja ku conclude kuwa hakuna timu rahisi kuiongoza kama Simba since mashabiki ni (mbumbumbu) sorry nmekosa tafsiri sahihi
Mangungu anahojiwa baada ya kukosa ubingwa yeye anajibu kuwa kwenye ligi hakuna fairness ....je alikuwa wapi ku take action...
Timu za Afrika kwenye Kombe la dunia zimeonesha tabia zetu halisi kwenye mashindano ya Kombe la dunia.
1. Wachoyo wa kupasiana (ubinafsi)
2. Wazito wa kufanya maamuzi Kwa wakati.
3. Kila anayepata mpira anatamani yeye pekee ndiyo afunge.
4. Uvivu kwenye kukaba adui.
5. Kutokufuatilia...
Mwenyekiti wa Kata ya Buyombe, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza anauza maeneo ya wazi (open space) kinyemela, yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za Kiserikali.
Anaharibu ramani ya mipango miji na anatutengeneza mazingira mabovu ya makazi, tunaomba Mkuu wa Mkoa aje akomeshe tabia...
Anonymous
Thread
ilemela
kiongozi
maeneo
maeneo ya wazi
mwanza
timu
wazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana.
Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa.
Afrika inarudishwa kwa wazungu tena.
Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.