timu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa imechaguliwa kishabiki na kimaokoto zaidi kuliko uhalisia

    Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi wala muda mrefu. Ni timu ambayo imeteuliwa kwa kubalance idadi ya wachezi kutoka timu fulani na nani...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aagiza Timu ya Watalaam Kurejesha Miundombinu Lindi

    BASHUNGWA AAGIZA TIMU YA WATALAAM KUREJESHA MIUNDOMBINU LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam mkoani Lindi itakayohakikisha inasimamia urejeshwaji wa miundombinu yote ya barabara na madaraja...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Romania ilienda World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa wakiwa wamepaka Bleach karibia wachezaji wote

    Nimeona wananchi kesho wana mechi ya ligi ya mabingwa afrika, ni mechi muhimu sana kiasi wakaamua kuipa jina “Pacome Day” huku wakinogesha na style ya nywele ya mchezaji wao Pacome. Style hiyo kutumiwa na wachezaji wengi wa timu sio ngeni katika shughuli za michezo hasa kabumbu. Mwaka 1998...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran: Vijana wakamatwa kwa kushangilia anguko la timu ya taifa

    Ayatolla na dini yao wanaendelea kupoteza vijana kwenye taifa la Iran, wanalazimisha ila ndio hivyo, Iran ilishindwa kwenye mechi ya mpira, halafu vijana wakajitokeza kushangilia hilo anguko maana wamechoka na utawala wa kijinga, sasa kumetokea kamata kamata ya vijana wote walioshabikia. Halafu...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria atishiwa maisha

    Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa mwaka huu 2024 nchini Ivory Coast. Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini iliyotolewa ni Timu ya Taifa ya Mali ila Walionuna na Wanaoumia ni Mashabiki wa Yanga SC?

    Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na yenye Heshima kama ya AFCON kuanzia hatua za Nusu Fainali. Hongereni sana Simba Sports Club na hakika...
  7. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

    Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu ya hamasa AFCON mnasemaje kuhusu jezi ya taifa stars?

    Sandaland ndio inayoivalisha timu ya taifa. Wachezaji wetu ni vijana wenye akili timamu wanajua ni Brands zipi duniani zinatengeneza jezi Bora (prestigeous) na zipi zinatengeneza jezi hafifu (inferior) sokoni. Inafahamika kuwa Nike, Puma, adidas, umbro, nk ni kampuni bora kwa vifaa na jezi. Sisi...
  9. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) yatia aibu Côte d'Ivoire

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire). Tanzania tangia tumeenza mchakato wa kupata Vazi la Taifa lililoratibiwa na serikali ya wendawazimu (ccm) hadi leo...
  10. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Congo ikiwa katika picha ya pamoja huku kila mchezaji akiwa amevaa jezi ya Klabu yake

    Nimeupenda ubunifu wao, kwa mbali namuona Inonga na jezi ya Unyamani.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali TFF mwalikeni Sure Boy katika Timu ya Taifa

    Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama Sure Boy ambaye anaweza kuleta umoja kwa Timu ya Taifa ya Tanzania AFCON. Tunaiomba TFF imwite Sure Boy na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni Sure Boy na Aucho tu. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Timu ya Wiki Caf Champions League 2023/2024

    Ligi ya Tanzania imekua wachezaji 5 sio haba .
  13. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya timu ya Wananchi na Mabwanyeye

    Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande wa pili hata simba ambayo ndio timu yake haijatoa hata mia Hapo ndio tofauti inapoanzia Azam...
  14. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania CHAMA hana msaada tena kwa timu ya Simba

    Habari za Jumapili wanajukwaa. Nianze kwa kusema tu kwamba kiuhalisia Jana Simba wamecheza vizuri sana kabla ya Sub Moja haijafanywa, na swala la simba kufungwa 1 tu na Wydad linadhihirisha kua Soka La Bongo Limekua. Tusilete porojo eti Wydad wabovu au Al Ahly kutoa Sare na Yanga basi Ahly...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

    Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Yanga inakuwa timu ya kwanza duniani kucheza mpira angani

    Mie ni Simba lkn yanga ni kiboko dunia hii https://www.facebook.com/reel/724883866181121/?mibextid=ZKlF025XJ6KyrSs8
  17. R

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa inakosaje kuwa na basi lake?

    Wakuu, Nimekutana na video ikionesha Timu ya Taifa inainga uwanjani kwaajili ya mchezo wake na Morocco, wakitumia basi ya Super Feo. Namnukuu Msigwa kama alivyoandika kwenye ukurasa wake Instagram; " Taifa Stars imeingia kibabe sana leo Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kitu cha Marcopolo, sio mchezo!"...
  18. yvee

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Manchester United imewahi kufungwa 39-0 na Arsenal mwaka 1920

    Arsenal inashikilia rekodi ya kuichapa Man U kichapo kikubwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza cha Magoli 39-0 mwaka 1920. Habari hii inasambaa sana mtandaoni, JamiiCheck tunaomba mtusaidie kuifuatilia.
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania BVB kazi yao kugawa wachezaji tu huku wakizoea kuwa vibonde wa Bayern.

    Yani tangia 2011/12 bayern ndio wanabeba tu kombe hadi leo huku hawa dortmund kazi yao ni kuuza vipaji kwa gharama mno bila ya kuinvest vizuri katika team yao. Kwa hio wao sasa wamekuwa soko la kutengeneza wachezaji kuhusu ubingwa na historia hilo kwao hawalijui tena. Walipaswa kuwa european...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi

    Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini? Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa fujo fujo tofauti na timu zingine mfano Timu ya wananchi (Yanga)
Back
Top Bottom