timu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kocha Timu ya Taifa, Hemed Morocco awafukuza Mkoko, Lanso kambini kwa utovu wa nidhamu

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Suleiman 'Morocco' amewaondoa kambini nyota wake wawili kwa utovu wa nidhamu. Katika taarifa iliyotolewa na ZFF, nyota waliofukuzwa ni Ibrahim Mkoko anayekipiga katika klabu ya Namungo FC na Abdallah Said (Lanso) wa KMC. Utovu wao wa...
  2. nizakale

    JamiiForums Tanzania TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda. TFF badala ya kuchukuwa...
  3. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ameweka video ya Kamanda Mawazo X. Watu waitafsiri kama kijembe kwa timu ya Mbowe

    Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote. Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.
  4. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

    Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa hivi kuna timu ya kuifunga arsenal kwenye uefa

    Nimejiuliza sana sijapata jibu hivi Kwa Sasa hivi Kuna timu ya kuifunga hii arsenal ya Sasa maana naona Kila mtu anachezea kichapo arsenal inaenda kubeba ubingwa wa uefa na Kwa sababu Kwa uwezo wanaoonesha uwanjani ni hatari sana
  6. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Timu ya Mpira wa Kikapu ya Wabunge wa Tanzania yachapwa Vikapu 67 kwa 38 na Wabunge wa Kenya

    Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kuruhusu kufungwa magoli 67-38.Timu hizo zipo Mombasa nchini Kenya kushiriki mashindano ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ikumbukwe hapo jana, Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii timu ya Angola ingecheza na Yanga ingeshinda

    F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
  9. Blender

    JamiiForums Tanzania Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

    Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini. 1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa. 2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan. Ushahidi wanao Azam...
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Sioni kama kuna haja ya kuendelea kutumia wachezaji wazee kwenye Timu ya Taifa

    Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho Samata kwasasa hana...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Timu ya Al Fatah Imetembelea Maktaba Kwa Mazungumzo

    TEAM YA AL FATAH ONLINE TV WALIOPOTEMBELEA MAKTABA KWA MAHOJIANO Sijawahi kufanya kipindi cha namna hii na kwa mtindo huu. Nilimwambia Rashid na wenzake Talib na Juma kuwa Maktaba ina mitaa na ningependa kuwatembeza kuwaonyesha mitaa hiyo. Nilidhani ni kazi nyepesi. Waingereza wana msemo, "A...
  12. Half american

    JamiiForums Tanzania Timu ya taifa ya wanawake Iran yaondolewa michuano ya ASIAN CUP baada ya kuchezesha wanaume

    Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Simba na Taifa Stars: Changamoto na Nini Kifanyike Kuleta Mabadiliko ya kweli

    Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awakabidhi Arusha timu ya Coastal Union ya Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametangaza rasmi kuwa timu ya Coastal Union ya Tanga, maarufu kama "Wagosi wa Kaya," sasa itaanza kutumia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kama uwanja wake wa nyumbani. Hatua hii inalenga kukuza mchezo wa soka mkoani Arusha, huku pia ikileta manufaa makubwa...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Tanzania wajenge utamaduni wa kustaafu kwa hiari kuchezea Timu ya Taifa

    Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa. Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Nigeria imepewa funzo kutoka Libya

    Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg ) Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika Libya wakatelekezwa airport masaa 12 bila msosi Ule msemo wa you punch me once i punch u triple...
  17. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

    Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa Ethiopia ni imara, kutoa sare, Taifa stars ijipongeze

    Watanzania wengi wamekariri Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team. Ethiopia ni hivi majuzi kampiga Egypt The Pharaoh goli 2 bila Taifa stars haijaifunga Ethiopia mechi 7 mfululizo, Sasa maajabu Gani...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Awesu Awesu ni mashine hajaitwa timu ya Taifa ila Feitoto kaitwa. Kuna shida pale Taifa Stars

    Huyu kocha Morocco tumwangalie vizuri, anashida ya ku chagua kikosi. Feitoto ni nuksi timu ya Taifa. This is known. Next time tunamwomba Awesu Awesu. Achana na Fei toto. International games ANAPOTEZA muda.
  20. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Beki wa Simba Valentino Nouma hajaitwa timu ya taifa

    Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa. Najiuliza Je nin kimetokea?
Back
Top Bottom