timu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA kufungua mashitaka ya kinidhamu kwa timu ya Argentina

    Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua ubingwa wa kombe la Dunia mwezi uliopita. Mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez alionyesha...
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa timu ya taifa ya Denmark na bahati ya mtende katika michuano ya Euro 1992

    Ulishawahi kusikia bahati ya mtende au ngekewa? Au mtu baada ya kuharibu anapewa second chance! Ndio kilichowakuta Denmark mwaka 1992 katika michuano ya Mataifa ya Ulaya. Michuano ya Uefa Euro mwaka 1992 ilipangwa kufanyika katika majira ya joto huko nchini Sweden. Ilikuwa ni michuano ambayo...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

    TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari. Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika kwelikweli na akina Mdude na wengine. Ni TISS ya Diwani Athumani, pamoja na taasisi nyingine...
  4. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ari na munkari wa wachezaji wa timu ya Yanga uwanjani

    Hii ari wanayokuwa nayo wachezaji wa Yanga ndani ya dimba huwa inanifikirisha sana. Wachezaji wa Yanga kwa muda wa misimu hii miwili sasa, wakiingia uwanjani dhidi ya timu yoyote wanaonesha ari ya juu sana, ukiwatazama wanakuonesha kabisa kuwa wanashinda mechi! Hebu wanamichezo wenzangu...
  5. Nyamseri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufaransa kujaza watu weusi kwenye timu ya taifa ni kuendeleza utumwa

    Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia. Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushindi wa Kombe la Dunia wabadili mpango wa Messi kustaafu

    Siku chache baaa ya kuiambia BBC kuwa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakuwa ya mwisho kwake, Nyota Lionel Messi amebadili uamuzi huo na kueleza kuwa ataendelea kucheza kama Mchezaji wa Mabingwa wa Dunia. Messi mwenye miaka 35 ameshinda Mpira wa Dhahabu na kuwa Mchezaji Bora wa Kombe la Dunia...
  7. February Makamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani ni mchezaji bora kwenye timu ya ureno?

    Wakuu kabla ya kuangalia nani ni best player duniani, twende nchi kwa nchi basis. Tuanze na Ureno. Kwangu mimi pale Ureno, Best player kwenye hiyo nchi ni Bruno Fernandez, wewe unadhani ni nani?
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii timu si ya wananchi bali ni ya Matajiri!!

    Wananchi hawasajili wala hawachangishani fedha za kusajili. wanaosajili ni mtajiri. Ila wananchi bado wanasema timu ni yao Wananchi hawatoi hela za kuendeshea Klab, mitaani wanajisifu timu ni yao. Wananchi hawajui hata Jezi wanazovaa mitaani zimeiingizia Klab shilingi ngapi, ila matajiri...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eden Hazard atangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Ubelgiji

    Kiungo huyo mshambuliaji mwenye umri wa miaka 31 amechukua maamuzi hayo baada ya timu timu yake ya taifa kuishia Hatua ya Makundi katika Kombe la Dunia 2022. Hazard ameitumikia Ubelgiji kwa miaka 14 na kwa sasa anaelekeza nguvu katika ngazi ya klabu yake ya Real Madrid. Imeelezwa kuwa...
  10. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno

    Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno. Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya vizuri tu,
  11. Execute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mpira wanaocheza Brazil na kukata pumzi kipindi cha pili, nawashauri mashabiki wake waandae machozi na vitambaa vya kuyafutia

    Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira. Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita...
  12. technically

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laliga yaipongeza Yanga kuwa timu ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kucheza mechi 49 bila kufungwa

    Laliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza. Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa ujumla! Hongera Yanga!
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kibongo bongo, Kwa maslahi kiuchumi yupi ana nafuu kati ya mchezaji wa timu ya kawaida ligi kuu au msanii wa levo za kawaida?

    Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike. A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya kawaida, mfano mchezaji awe anaichezea Kagera Sugar, Mtibwa, Mbeya city, Dodoma jiji, n.k. B. Msanii...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Ni timu ya nchi gani inayoimba wimbo wao wa Taifa kwa HAMASA kubwa? Na ipi haiimbi kwa hamasa?

    Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uzalendo na hamasa ya kuimba wimbo wa Taifa, na kati ya kujiamini na kuimba wimbo wa Taifa. Je ni timu ipi inaimba wimbo wake wa Taifa kwa hamasa kubwa? Nadhani huiyo inaweza kuwasaidia kubeba kombe la dunia! Kwa maoni yangu Ureno ina hamasa kubwa sana katika...
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu ya angani ya Red Bull "Tai Mwekundu" yafanya maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China

    Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya pili huko Nanchang, mkoani Jiangxi. Mkutano wa Sekta ya Usafiri wa Anga ya China na Maonesho ya Ndege...
  16. HPAUL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba hatuna timu ya kushindana na Yanga msimu huu

    Nawashauri Simba wenzagu, kwenye dirisha dogo tusajili wachezaji watakaotusaidia zaidi katika kombe CAF club championship, NBC kwa vyovyote we can't compete with Yanga labda Azam Confederation. Mnakaribishwa kuchangia hoja.
  17. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna Timu ya Afrika Itakayoingia Hatua ya Mtoano Huko Qatar

    Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya mtoano kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo yaleyale ya miaka yote ya timu za Afrika. 1. Lack of seriousness (kutotilia maana I) 2. Lack of...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamu wa kuishinda Argentina, Saudi Arabia yaitangaza kesho kuwa siku ya mapumziko kuwapa nafasi wananchi kusherehekea ushindi!

    Nani kakuambia waarabu hawapendi sana mpira? Mfalme wa Saudi Arabia (King Salman) ameitangaza kesho tarehe 23/11/20-11 kuwa siku ya mapumziko ili watu wapate nafasi ya kufurahia na kusherehekea ushindi wa kuifuinga Argentina yenye Messi kwenye mechi ya Kombe la Dunia! Sipati picha kama...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

    Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama. Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu ya As Vital club huko iliko inaomba isipangwe kundi Moja na mnyama mkali Simba

    Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital. Hii imetokana rekodi mbaya waliyonayo clabu hiyo dhidi ya Simba Sports club. Jamaa aliendelea kudokeza kuwa ingekuwa mserereko...
Back
Top Bottom