TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland.
Home kit
Away Kit
Third Kit
Ni aibu timu kubwa kama Simba kuruhusu account zenye maadili mabovu ya picha za utupu na ngono katika comments. Simba ni timu inayoheshimiwa ndani na nje ya Nchi. Kuna watu wenye hadhi zao ni washabiki wa simba kama viongozi wa serikali, viongozi wa dini, wanafunzi wa chuo, shule nk. Inakuwaje...
Eeh bana eeeh Robetihno alikuwa mtu na nusu amecheza sana uwanja mkubwa Duniani wa Maracana. Mwamba akivaa jezi no 7 alikiwasha sana.
Huyu mwamba ndiomana hanaga pressure na haogopi kucheza na timu yoyote.
Simba SC imepata bonge la Mwamba katika soka.
Wanaobisha YouTube ipo inakutoa...
Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
. ukichukua kikosi chote cha power dynamoo kiwe chini ya robetino basi hiyo timu itakuwa Gian in africa kupita mamelod Sun down au esparence.Ni tabia ya kittoto sana wanayoonesha wapenzi wa simba eti Robetino hafai.. Mkithubutu kumuachisha kazi Robetino basi mtegemee hata Namungo na geita gold...
Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana.
Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
SHILINGI BILIONI 3 KUDHAMINI JEZI ZA TIMU ZA TAIFA; DKT. NDUMBARO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kuwatumia wawekezaji wa ndani kutengeneza jezi za mpira wa miguu wa timu...
Kumekuwa na tuhuma kwa wachezaji wetu wengi kuhusishwa na kupanga matokeo(rushwa) wanapokuwa kwenye timu zao. Na mmojawao ni Kipa Kakolanya. Kuna muda mwingine ukimuangalia unaona jinsi alivyo makini anapokuwa langoni na kuna muda mwingine anaonekana mpambanaji hasa halafu anakaa position fulani...
AFCON inatarajiwa kuanza huko Ivory Coast chini ya miezi 4 kutoka sasa. Unaenda kutafuta mechi ya ushindi lakini mategemeo yako ni kina Boko ambao hawajacheza mechi ya ushindani kitambo sana maana tayari wameonekana ni liability katika timu pamoja na kwamba kuna viongozi pale Simba wanamkingia...
"Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA)
Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu.
Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuona Mapungufu...
CHAKI (JAFFAR KASMALI) MCHEZAJI WA COSMOPOLITAN NA TIMU YA TAIFA AMEFARIKI LEO NEW YORK
Chaki alikuwa golikipa hodari wa Cosmo katika miaka ya 1960 wakati huo wachezaji wenzake ninaowakumbuka walikuwa Msuba, Mansur Magram, Mustafa Mabuge, Emil Kondo, Kitwana Popat (Kitwana Manara) ni miaka...
Kauli Mbiu ya Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma ( kwa Watani zangu Washamba ) inayomilikiwa na JWTZ na inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania inasema MAPIGO NA MWENDO hivyo mtakavaana nao Kikitokea cha Kuwatokea tusije Kulaumiana.
Na kuna Wachezaji kama Watatu humo ni wale Wazee wa Morogoro sasa...
Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga.
Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga.
Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda...
Nijijibu mwenyewe kuwa ukubwa wa timu ya Azam UPO KWENYE RASILIMALI HASA KIWANJA, TV NA VIWANDA NA WALA SIO UWANJANI.
Uwanjani Timu ya Azam ni sawa tu na Coastal Union, Moro Utd, Mtibwa , Ruvu shooting nk
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2.
Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika mchezo huo, Nigeria imekwama kutumia vizuri nafasi ikiwemo kikosi cha England kuwa pungufu kwa...
Rais kuhudhuria shughuli za Simba ni mpaka aalikwe kwenda Simba day, hii inatia mashaka, hivi Raisi wa Tanzania anashindwaji kubalance mzani wa usimba na uyanga ?
Rais aliibembeleza Yanga ikubali mualiko kwenda Ikulu maana wakati huo Yanga ilikuwa na ratiba ngumu ya kwenda kumaliza mechi za...
Ni suala la muda tu pumba na mchele vitajitenga, nimeona timu zote Azam, simba na Yanga na nimejiridhisha ya kuwa bila kupepesa macho wala kutikisa masikio Wananchi waendelee kutamba mjini bado wanayo timu bora ambayo inakwenda kutwaa tena ndoo kwa mara nyingine!
Kutoa mapovu ni ruksa but...
Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi kubwa ya kufanya, pili awachezi mpira wa malengo na inaonekana wachezaji wao wengi awana uzoefu na...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Morroco ime advance kutoka group stage ya FIFAWWC inayoendelea huko Austarlia na New Zealand na kuingia kwenye group of 16, Wapewe Maua yao.
Wakati ikitangazwa hivyo, wanahabari walidai Morroco ni Nchi ya Kwanza kutoka [Arab Nation] kufanya hivyo.
Kwa kuzingatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.