1. Ama kweli mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya iddi.
2. Amekuwa akiambiwa Israel mwezi wa 6 sasa, kiungwana kuachana vita, kuacha shari atafute mapatano ya kudumu.
3. Red sea kuna wa houthi, kaskazini kuna hezbollah anaparurana nao akiambiwa wazi: "ni mwendo mdundo hadi tu vita Gaza vikome."...