Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri...