Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 429
- 329
Ifike wakati serikali iweke bei elekezi kwa mazao yote kama inavyofanya kwa zao la korosho. Kwa jinsi bei ya mbaazi ilivyo kwa mwaka 2025 hakiwezi kupunguza umasikini wa kipato kwa kuwa bidhaa ghafi bei zake zipo chini ukilinganisha na bidhaa za madukani. Haiingii akilinini mkulima auze kilo 4 za mbaazi ili apate sukari kg 1