Tija Gomilar Zickero (born 12 May 2000) is a Slovenian handball player for RK Krim and the Slovenian national team.She represented Slovenia at the 2020 European Women's Handball Championship.
Hamjambo wote!
1. Turudi kwenye majukwaa, vilinge na vijiwe vyetu.
2. Matusi tupunguze maana kuacha kabisa kuna watu najua hawataweza.
3. Uzushi, bullying, kejeli, kuvuana nguo tuache.
4. Ukosoaji uendelee sambamba na suluhu kwa Kila ukosoaji.
Haina maana kukosoa bila kutoa suluhu kwa kile...
Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia.
Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki.
Ukizingatia mbegu, upandaji,
Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri?
Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
Kibinafsi sikuunga mkono maandamano ya D9 kwa sababu zifuatazo:
1: Niliamini hakuna atakayeweza kutatua yale yote tuyatakayo ikiwepo samia kujiuzuru.
2: Mfumo uliopo sasa unaipa nguvu CCM kufanya walitakalo tena bila kupingwa hivyo kuandamana ni sawa na kazi bure kikubwa ni ku-risk maisha...
Siku tutakayopata fursa ya kuandika katiba mpya ya nchi tukumbuke.
1. Kufuta nafasi ya waziri mkuu.
Hakuna tija kuwa na waziri mkuu na makamu wa rais pamoja.
2. Kufuta nafasi za manaibu mawaziri.
Mawaziri wanatosha kumshauri rais na kufanya maamuzi ya kisera na kisiasa katika wizara zao, kazi...
Huyu kamanda aliwahi kuingizwa kwenye kinyang'anyiro cha wale waliotajwa kuwa angeteuliwa kuwa IGP kwenye utawala wa hayati John Magufuli. Hiyo ni kwasababu huko nyuma tayari alikuwa Naibu wa Ernest Mangu aliyekuwa IGP tangu Mwaka 2013.
Baadaye baada ya kufanyiwa figisu aliendelea na cheo cha...
Ifike wakati serikali iweke bei elekezi kwa mazao yote kama inavyofanya kwa zao la korosho. Kwa jinsi bei ya mbaazi ilivyo kwa mwaka 2025 hakiwezi kupunguza umasikini wa kipato kwa kuwa bidhaa ghafi bei zake zipo chini ukilinganisha na bidhaa za madukani. Haiingii akilinini mkulima auze kilo 4...
Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira.
Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini.
Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu...
Hamjambo!
Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake.
Unapotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha mfano Nyukilia ambazo hutolewa kidogo kidogo na kutokea yenye uwezo mdogo kufuatia yenye uwezo Mkubwa...
Habari wakuu, mwenye kujua course ambazo mtu ni wepesi kujiajiri na kupata kazi hata kabla hajamaliza kusoma na baada ya kumaliza kusoma kazi ni uhakika. Nitaanza na baadhi ambazo nazifahamu.
1. Course za computer zote.
2. Interior designing ipo ardhi.
Nyngne mtaje wakuu tusaidie vijana pamoja...
Tanzania ina idadi kubwa ya vijana na wanawake. Kwa mantiki hiyo, makundi haya yanapaswa kuwa na nafasi kubwa katika maamuzi ya kisiasa, hata hivyo hali ya sasa inaonesha kuwa ushiriki wao bado ni mdogo, hasa katika nafasi za juu za uongozi na kisera.
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya...
Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari hapa Tanzania nimegundua ndo mipango mikakati wa kuwapumbaza Watanzania na kuwa Fanya masikio na akili zao yasikie mambo madogo ya kipuuzi
Media za Tanzania
Haiwezekani media zinatumia saa nzaidi ya 8 kuchambua Simba na Yanga kila siku, hivi mpira wenyewe...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri...
Umekutana na mwanamke umeomba namba umepewa, unamcheki anakuwa mzito ila umemtumia vipesa kawa mwepesi kama nyoya
Mwanamke huyo mkikutana hana utofauti na wa kununua, ukitosheka na huduma chapa lapa, huna haja ya kujiproove wala kumridhosha, Umelipa uridhike sioumridhishe.
Nashangaa sana watu...
Wasalaam bandugu.
Naona tujadili hili suala la kamari ya raia wa kigeni "mchina" alias "GUDUGUDU" kwa mtazamo huu..
Uchumi unatuambia muamala unafanyika pale uzalishaji au huduma inapotolewa. Hizi machine za kamari zinaenda tofauti kabisa kwani hakuna hayo mawili niliyoanisha zaidi ya kodi...
Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.
Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi...
Wakuu habari!
Mimi ni kijana wa makamo nimekuwa nikiona mtandaoni kwa mataifa ya Europe na Asia kukiwa na makampuni mengi yanayojihusisha na shughuli za fundraising kwa miradi na mawazo ya kibiashara yenye tija kwa jamìi na ulimwengu na kuwasaidia vijana kufikia malengo yao huku wakiongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.