Tigo wamepunguza mb+dakika, ni hatari hawa watu

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,324
5,934
Mnasikia ninyi TIGO na mitandao mingine, msitufanye watanzania wapumbavu na wendawazimu, mnaendelea kupunguza vifurushi maanake nini!!! Tumewakalia kimya ndiomaana mnaendelea kufanya ambavyo wanataka.

Nasema hivi endeleeni tu kupunguza, kuna siku kitawaka, kama hamkuona ofisi zenu ziki..teke..tez..wa na moto.

Wasalaam.
 
TZ bidhaa zikishaanza panda bei, kurejeshwa kwenye bei ya kawaida ni nadra sanaaa, kikubwa ni watumiaji wa bidhaa kujijengea utaratibu wa kuzima data mara umalizapo kutumia.

Simu za Android zina mifumo inayatumia data hata kama huperuzi chochote.

Kauli mbiu: Zima data kama huna ulazima wowote wa kuacha data on
 
Back
Top Bottom